VAN GAAL AMTAJA CHRIS SMALLING UNAHODHA MAN UNITED
Kocha Louis Van Gaal amemtaja mlinzi wa kati wa timu yake Chris Smalling kuwa anaweza kuja kuwa nahodha siku moja baada ya Rooney na Carrick kutoweka. Van Gaal ameyasema hayo zikiwa zimesalia siku...
View ArticleTUMUOMBEE LEGENDARI MDACHI JOHAN CRUYFF
Nyota wa zamani wa Barcelona, Johan Cruyff (kulia) akimkabidhi jezi yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) wakati kikosi cha magwiji wa Barcelona kilipomtembelea...
View ArticleMESSI AELEZEA UADUI WAO NA CRISTIANO RONALDO
Mshambuliaji Leonel Messi ameshindwa kukanusha kuihama klabu hiyo siku moja huku pia akisisitiza hana uadui na Cristiano Ronaldo wa Madrid. Messi ambaye alihusishwa na kuhamia Chelsea msimu uliopita...
View ArticleKOCHA MWINGINE VPL AONESHWA MLANGO WA KUTOKEA BAADA YA MATOKEO MABOVU
Kocha wa klabu ya Kagera Sugar Mbwana Makatta ametimuliwa kwenye klabu hiyo kufuatia mfululizo wa matokeo mabovu yanayoikabili timu hiyo kwenye mechi zake za ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu...
View ArticleBAABA YA TAARIFA KUZAGAA KUWA KOCHA WA SIMBA KAKALIA ‘KUTI KAVU’, HII NDIYO...
Baada ya taarifa kuzagaa kwenye baadhi ya vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii kwamba kocha mkuu wa ‘wekundu wa Msimbazi’ Simba amekalia ‘kuti kavu’ kunako klabu hiyo kutokana na kufungwa...
View ArticleULIISIKIA HII YA JUMA KASEJA KUPANDA BASI LA SIMBA KULE MBEYA?
Na Mwandishi Wetu, Mbeya Kipa mkongwe nchini, Juma Kaseja, juzi Jumatano alijikuta akisababisha hali ya sintofahamu kwa mashabiki wa timu yake ya Mbeya City, hiyo ni baada ya kuingia ndani ya basi la...
View ArticleKING KIBADENI: STRAIKA NI TATIZO JKT RUVU
Abdallah Kibaden ‘King Kibaden (kushoto) na Mrage Kabange wakati wakifatilia kwa karibu mchezo kati ya JKT Ruvu dhidi ya Mtibwa Sugar Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Baada ya kuiongoza kwa mara ya...
View ArticleHANS POPPE: MAGULI ALIACHWA NA KOCHA SIYO UONGOZI
Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya klabu ya Simba Zacharia Hans Poppe (kulia) akijadili jambo na kocha wa viungo wa klabu hiyo Na Hemed Kivuyo MWENYEKITI wa kamati ya usajili ya timu ya soka ya Simba...
View ArticleJERRY TEGETE: MECHI 3, MAGOLI 3 VPL
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Straika wa zamani wa Yanga SC, Jeryson Tegete ‘Jerry’ ameanza vizuri msimu huu akiwa na klabu ya Mwadui FC ya Shinyanga. Tegete ambaye alianza kuichezea Mwadui...
View ArticleKOCHA WA GOLDEN STATE WARRIORS STEVEN KERR NJE
Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Kocha wa Golden State Warriors Steve Kerr atakosa michezo ya ufunguzi kutokana na kuendelea kupata matibabu na kupona matatizo ya mgongo aliyoyapata siku...
View ArticleGERALD GREEN AKUMBANA NA FAINI YA ZAIDI YA MILIONI 50 BAADA YA KITENDO HIKI
Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Mchezaji mpya wa klabu ya Miami Heat Gerald Green amekumbana na adhabu ya kutozwa faini ya dola za kimarekani elfu ishirini na tano ($25,000) kutokana na...
View ArticleBREAKING NEWS: KOCHA WA TOTO AFRICANS AJIUZULU
Taarifa iliyoufikia mtandao huu hivi punde ni kwamba, kocha wa Toto Africans Martin Grelics amejiuzulu. Hii hapa ni barua rasmi ya kujiuzulu kwake. Taarifa zaidi zitakujia hapahapa na kupitia Sports...
View ArticleHABARI MPYA KUHUSU HALI YA HAMISI KIIZA, JE ATACHEZA AU HATOCHEZA DHIDI YA...
Hamisi Kiiza, mshambuliaji wa klabu ya Simba Kikosi cha ‘wekundu wa Msimbazi’ Simba kikiwa katika maandalizi ya kuwavaa ‘wagosi wa kaya’ Coastal Union siku ya Jumatano, hali ya majeruhi Hamisi Kiiza...
View ArticleKOBE BRYANT “BLACK MAMBA” AREJEA
Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Mashabiki wa klabu ya Los Angeles Lakers na mchezaji Kobe Bryant au The Black Mamba, sasa wanaweza kuwa na ahueni baada ya taarifa rasmi kutoka kuwa...
View ArticleBAADA YA TETESI ZA MPYA ZA POGBA TO BARCELONA…HII NI RIPOTI MPYA
Pogba mchezaji mwenye miaka 22 kwa mara nyingine tena amehusishwa kwa kiasi kikubwa kujiunga na club bingwa ya Ulaya Barcelona. Kutokana kiwango kikubwa alichokionyesha kwenye msimu uliopita, kipindi...
View ArticleWACHEZAJI WA YANGA WAANZA KUKIMBIA MIKWAJU YA PENATI
Golikipa wa Azam FC aishi Manula akipangua penati iliyopigwa na kiungo wa Yanga Thabani Kamusoko Kufuatia hali ya kukosa mikwaju ya penalti iliyowakumba wachezaji wa Yanga, baadhi ya wachezaji wa timu...
View ArticleAUBAMEYANG ATOA SIRI YAKE YA KUFUNGA HAT-TRICK YA PILI
Mmoja kati ya mastaa wakubwa ambao wanaoing’arisha ligi ya Bundesliga ni Aubameyang ambae anatupia magoli ya kutosha nyavuni na kuisaidia club yake ya Borussia Dortmunda. Ukitaka kumcheki huyu jamaa...
View ArticleHII NDIO LIST MPYA YA TEAM BRANDS ZENYE THAMANI KUBWA DUNIANI
Wiki iliyopita jariba linaloaminika kwa kutoa lIsti mbalimbali la Forbes, lilitoa brands za wanamichezo zenye thamani kubwa duniani. Hivi sasa wametoa list ya brand za team za michezo zenye thamani...
View ArticleCHELSEA SASA YACHAFUKA ADHABU
Klabu ya Chelsea ya jijini London inakabiriwa na adhabu pamoja na faini kutoka kwa chama cha mpira England FA kutokana na utovu wa nidhamu uliopelekea kadi 6 za njano. Sheria za FA ziko wazi kuhusu...
View Article