$ 0 0 Taarifa iliyoufikia mtandao huu hivi punde ni kwamba, kocha wa Toto Africans Martin Grelics amejiuzulu. Hii hapa ni barua rasmi ya kujiuzulu kwake. Taarifa zaidi zitakujia hapahapa na kupitia Sports Xtra ya Clouds FM.