Ligi mbalimbali bado zinaendelea duniani, wapenda soka wanapenda kujua ratiba za gili mbalimbali hasa katika siku za mwisho wa wiki ili wapate kufuatilia baadhi ya michezo itakayopigwa kwa kuzikutanisha timu tofauti.
Hapa chini kuna ratiba ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara (VPL), ligi kuu England (EPL) na ligi kuu ya nchini Hispania (La Liga) kwa michezo ambayo itachezwa Jumamosi, October 31 na Jumapili, Novemba 1.
Tanzania-VPL: Mechi zote zitaanza saa 16:00
England-EPL
Hispania-La Liga