Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMATTA AISOGEZA TP MAZEMBE KWENYE UBINGWA WA AFRIKA

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anaekipiga kwenye timu ya TP Mazembe ya Congo DR usiku wa Jumamosi November 1 kuamkia Jumapili aliisaidia klabu yake kupata ushindi wa goli 2-1 dhidi ya USM Alger...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: KAMA HUKUIONA HAT-TRICK YA AJIB IANGALIE HAPA

Mwamuzi Alex Mahagi akimkabidhi mpira Ibrahim Ajib baada ya kufunga magoli matatu kwenye mechi kati ya Simba dhidi ya Majimaji FC Ibrahib Ajib jana alipiga magoli matatu (hat-trick) wakati Simba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJIB: KILA MSIMU NAWEKA HAT-TRICK

Ibrahim Ajib amesema kila msimu anataka kupiga hat-trick Straika wa Simba Ibrahim Ajib amesema anafurahi kufunga hat-trick na kila msimu atakua akifafanya hivyo pindi akipata nafasi. Ajib amesema awali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KUICHEKI UWANJANI…HII NI SUMMARY YA MECHI YA KAIZER CHIEFS VS...

31 October 2o15 ndio siku ambayo mechi kati ya Kaizer Chiefs Vs Orlando Pirates imefanyika kwenye uwanja wa FNB Stadium. Mechi hii ni kubwa sana ambapo hizi ndizo club kubwa za Soweto na kuifanya kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHABIKI CHELSEA WAMBAKIZA MOURINHO

Baada ya jana kukubali kichapo kingine cha bao 3-1 katika uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Liverpool, mashabiki wa Chelsea waliamua kuimba huku wakimtaja jina kocha wao Mourinho wakati wote wa mechi....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YAYA TOURE AGOMA KUBAKI UWANJANI, AKASIRISHWA NA PELLEGRINI

Kweli hakuna kazi ngumu kwa kocha kama kuwa na kikosi chenye wachezaji maarufu wenye majina kama Yaya Toure. Baada ya jana Toure kuifungia goli la ushindi timu yake ya Manchester City kwa penati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKI HIGHLIGHTS ZA SAMATTA NA ULIMWENGU WAKIWA NA TP MAZEMBE Vs USM ALGER

Jana usiku TP Mazembe ilipata ushindi ugenini wakicheza dhidi ya USM Alger kwa matokeo ya 2-1. Sasa hivi wana kazi moja tu iliyobaki ili kushinda fainali. Mbwana Samatta alitupia goli moja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STEPHEN CURRY NI CURRY HAKUNA MWINGINE, WARRIORS YAIMALIZA PELICANS

Golden State warriors wameendelea kuthibitisha kuwa wao ni bora baada ya kuifunga New Orleans Pelicans mara mbili ndani ya michezo yao mitatu ya ufunguzi msimu huu. Wakitoka kuipiga Houston Rockets,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CARMELO ANTHONY, “YEAH BOY, YEAH MELO”, KNICKS YAFANYA KAZI

Miezi zaidi ya nane iliyopita, Carmelo Anthony alifanyiwa upasuaji wa goti lake la kushoto . Lakini alfajiri ya leo unaweza kusema alikuwa katika ubora wake, New York Knicks ikifanya kweli mbele ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GRIFFIN ANG’AA, JORDAN AWEKA REKODI.CLIPPERS MWENDO ULE ULE

Blake Griffin sasa anacheza kama anahhitaji tuzo ya MVP, yupo katika ubora wa khali ya juu na kiwango chake kimeendelea kupanda kadiri siku zinavyokwenda. Alfajiri ya leo aliweza kuifungia Clippers...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA JUMLA YA NBA TAREHE 31/10

FINAL UTA 97 IND 76 1 2 3 4 T 23 19 28 27 97 29 20 12 15 76 FINAL NYK 117 WAS 110 1 2 3 4 T 29 30 28 30 117 29 27 34 20 110 FINAL GSW 134 NOP 120 1 2 3 4 T 31 33 41 29 134 28 37 26 29 120 FINAL BKN 91...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM YAREJEA KILELENI MWA VPL KWA KISHINDO

Timu ya Azam FC imerejea tena kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kufuatia ushindi wa goli 5-0 dhidi ya Toto Africans ya Mwanza kwenye mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE JKT RUVU YAONJA LADHA YA USHINDI VPL

Kikosi cha timu ya JKT Ruvu Stars Hatimaye timu ya maafande wa JKT Ruvu leo imepata ushindi wake wa kwanza tangu kuanza kwa ligi kuu ya Vodacom msimu huu, JKT Ruvu ilicheza michezo tisa bila kupata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNA AITETEA MAJIMAJI KUTOKANA NA KIPIGO CHA SIMBA

Nahodha wa Majimaji FC Fred Mbuna ameitetea timu yake baada kufungwa na Simba goli 6-1 mchezo wa ligi kuu Tanzania bara Mchezaji mkongwe Fred Mbuna ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Yanga lakini kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIIZA: SITAKI KUWA MFUNGAJI BORA

Mshambuliaji wa Simba Hamis Kiiza amesema hataki kuwa mfungaji bola wa ligi kuu Tanzania bara Mshambuliaji wa Simba Hamisi Kiiza ‘Dieogo’ amesema hataki kuwa mfungaji bora wa VPL na badala yake lengo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘KING CARLOS’ TEVEZ AWEKA HISTORIA MPYA BOCA JUNIOR

Ujio wa mara ya pili nyumbani kwao Boca Junior umekamilika kwa Carlos Tevez kuisaidia Boca kutwaa ubingwa wa ligi yao tangu walipofanya hivyo miaka minne iliyopita (2011). Tevez ambaye aliondoka Boca...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI NI PICHA ZA BIRTHDAY TSHABALALA MCHEZAJI WA SIMBA

Jana ilikua ni siku ya kuzaliwa kwa Tshabalala mchezaji wa Simba S.C. Hizi hapa ni picha kutoka kwenye birthday party yake

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KEVIN DURANT AWAKA, OKC YAENDELEA KUKITIMUA

Kevin Durant alifunga pointi 25 na kusaidia Oklahoma City Thunder kuifunga  Denver Nuggets 117-93 siku ya Jumapili usiku . Durant alipata mitupo  8 kati  ya 11 na kupata mitupo huru yote 6 na kumsaidia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAMIRES, OSCAR WATOA NENO KUHUSU MATOKEO MABOVU YA CHELSEA

Kiungo wa Chelsea na timu ya taifa ya Brazil Ramires bado anaamini kwamba kocha wa klabu yake Jose Mourinho bado ana sapoti kubwa kutoka kwa wachezaji wa Chelsea licha ya timu yao kupoteza michezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LAMARCUS ALDRIDGE , SPURS WAIFANYIA KWELI CELTICS. GINOBILLI, DUNCAN, PARKER...

Aldridge alikuwa na pointi 24 na 14 rebounds , Kawhi Leonard aliongeza pointi 19 na Spurs kuwapiga Boston Celtics 95-87 siku ya Jumapili. ” Hakuna hakuna namna, kwa mfumo wowote atakaokutana nao...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>