Jana usiku TP Mazembe ilipata ushindi ugenini wakicheza dhidi ya USM Alger kwa matokeo ya 2-1. Sasa hivi wana kazi moja tu iliyobaki ili kushinda fainali. Mbwana Samatta alitupia goli moja na kufanikiwa kufikisha magoli 7 ambapo amekuwa mfungali bora akifunga na mchezaji mwingine.
Hiii ni highlight ya mechi yenyewe..