Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STAND UTD NA VILABU VINGINE, SI USHUJAA KUKUBALI MAAMUZI YA ‘BOSMAN RULE’...

Na Athumani Adam Mwaka 1990 mchezaji raia wa ubeligiji, Jean Marc Bosman ambaye alikuwa anachezea timu iliyokuwa daraja la kwanza nchini kwao iitwayo RFC Liege alishindwa kuhamia nchini Ufaransa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAMADHANI KESSY, MWANADAMU ANAISHI MARA MOJA

Na Brian Marian Mrope (GASCOIGNE BRIAN) Mwanaharakati mmoja nchini Ujerumani aliwahi kusema, “hakuna haja ya kusubiri dakika moja kabla ya kuanza kuboresha dunia”. Wakati mwingine natamani nikae...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC ‘ITAWAPOTEZA’ ZAIDI SIMBA SC, YOTE HAYA YAMEANZIA HAPA… (Sehemu ya...

Na Baraka Mbolembole SIMBA SC itakuwaje masikini wakati ni taasisi kubwa na ya kale sana iliyokuwapo hata kabla ya Tanganyika kupata uhuru (1961), kisha kuzaliwa kwa Tanzania (1964)? Ngoja nikupe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 13: FARID MUSA ANAVYOWASHIKA SPAIN

Farid ameongezewa muda wa wiki moja zaidi kufanya majaribio kwenye klabu ya Tenerife baada ya kulivutia benchi la ufundi la klabu hiyo Kinda wa Azam FC Farid Musa anaendelea kufanya vizuri kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA, AZAM, ZAIFADISHA YANGA

Matokeo ya sare kati ya Simba dhidi ya Azam yanaifaidisha Yanga ambayo imeendelea kukaa kileleni mwa ligi bila presha kubwa kutoka kwa Simba na Azam ambazo zimeshindwa kupata matokeo ya ushindi ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKATI SIMBA IKIBANWA NA AZAM, MWINYI KAZIMOTO ALIKUWA AKISHEREKEA NDOA

Kiungo mkongwe wa wekundu wa Msimbazi Simba Mwinyi Kazimoto, hakuwepo kwenye kwenye kikosi cha Simba kilichocheza dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa ligi kutokana na kuwa mapumzikoni kufuatia kufunga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHABIKI WA MAN UTD WAITUHUMU MAN CITY KUTETEA KIBARUA CHA VAN GAAL OLD...

Premier League ni ligi ya aina yake, wakati unafikiria timu iko nje ya top four wapinzani wao wanaweza kuwarejesha tena kwenye reli ya kuwania nafasi hiyo ambayo inatoa fursa kwa vilabu hivyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: LEICESTER ILINYIMWA TUTA ILI ISITANGAZE UBINGWA OT?

Kwanini haikuwa penati? Baada ya mchezo kati ya Manchester United vs Leicester City kumalizika story kubwa kwenye mindao ya kijamii ilikuwa ni tuta ambalo Leicester walinyimwa pengine ndiyo lingezaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVERPOOL YAMPA AYEW REKODI

Swansea City imeitoa nishai Liverpool na kujihakikishia maisha kwenye Premier League ndani ya msimu ujao. Andre Ayew alianza kutupia bao la kwanza kwa kichwa kabla ya goli linguine kutoka kwa Jack...

View Article


VIDEO: KAMA HUKUIONA MECHI YA SIMBA NA AZAM BASI HII HAPA

Ligi kuu Tanzania (VPL) iliendelea jana, pale uwanja wa taifa palichimbika mechi kubwa kati ya SIMBA SC wakitoshana nguvu na AZAM FC na matokeo hadi kipyenga cha mwisho ni suluhu. Hebu cheki kosa-kosa...

View Article

VIDEO: HIVI NDIVYO TOTO WALIVYOISAFISHIA NJIA YA UBINGWA YANGA.

Baada ya SIMBA na AZAM kusuluhu jana basi mbio za ubingwa ligi kuu Tanzania bara zimekua nyepesi kidogo kwa wanajangwani. Kama hukuona kilichotokea pale Mwanza wakati Yanga ikiichapa Toto Africans kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA MSAIDIZI SIMBA AIPA UBINGWA YANGA

Baada ya mchezo wa jana kati ya Simba dhidi ya Azam, kocha msaidizi wa Simba Adam Abdallah amekiri kwamba Yanga inaelekea kuwa bingwa kutokana na wao kuchemka kupata ushindi kwenye mchezo wao dhidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JONAS MKUDE KAWAPA NENO MASHABIKI WA SIMBA KUHUSU UBINGWA WA VPL 2015-16

Kiungo wa Simba na nahodha msaidizi Jonas Mkude amewaomba mashabiki wa timu yake kutoka tamaa mapema kuhusu mbio za ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara kwasababu chochote kinaweza kutokea licha ya kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 23: KILIVYO-HAPPEN KWENYE MEI MOSI SPORTS EXTRA BONANZA

Shaffih Dauda wa Mawingu Stars (kushoto) akijaribu kumtoka mchezaji wa Azania Bank wakati wa mchezo wao hatua ya makundi Sports Extra Bonanza lilifanyika jana kwenye uwanja wa TCC Chang’ombe katika...

View Article

SPORTS XTRA DAY ILIBAMBA HATAREE

Makampuni mbalimbali ya jijini Dar yalijumuika pamoja katika viwanja vya CDS PARK zamani TCC CHANG’OMBE katika kuazimisha sikukuu ya wafanyakazi Tanzania.Bonanza hilo lilikua la mchezo wa soka wa timu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE LEICESTER YATWAA NDOO EPL

Leicester City wameshinda ndoo ya Premier League na kuweka bonge la historia kwenye kwenye mchezo wa soka ya muda wote. Sare ya bao 2-2 kati ya Chelsea vs Tottenham Jumatatu usiku, ilipeleka mafaniko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: ‘VIJIMAMBO’ BAADA YA LEICESTER KUSHINDA TAJI LA PREMIER LEAGUE

Gary Lineker mtangazaji wa mechi kati ya Chelsea vs Tottenham aliahidi kutangaza mechi hiyo bila kuvaa nguo Unaweza ukasema usiku wa Jumatatu umekuwa mzuri sana kwa wachezaji na mashabiki wa Leicester,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWINYI HAJI AMEAMUA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUPIGANIA JINA LAKE

Na Abubakar Kisandu, Zanzibar Baba mzazi wa Mwinyi Haji Ngwali, mlinzi wa kushoto wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) amepania kulifungulia kesi gazeti la michezo la Bingwa baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJADALA WA LEO:NINI MAONI YAKO JUU YA MAFANIKIO YA LEICESTER CITY,YANATUPA...

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA VPL APATA ULAJI KENYA

Aliyekuwa kocha mkuu wa African Sports Ramadhani Aluko amepata nafasi ya kwenda nchini Kenya kwenda kuinoa timu ya Kisumu Hot Star, inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini humo. Aluko ambaye...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>