M-NIGER APIGWA CHINI YANGA
Winger wa kimataifa wa Niger Issoufou Boubacar Garbar ambaye alisajiliwa na klabu ya Yanga wakati wa dirisha dogo la usajili la mwezi January, amepewa barua ya kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo. Garbar...
View ArticleNDONDO CUP KAMA KAWA, KEKO FURNITURE YAITULIZA STAKH SHARI
Michuano ya Sports Extra Ndondo Cup chini ya udhamini wa Dr. Mwaka imeendelea tena leo, kwenye uwanja wa Bandari ulipigwa mchezo kati ya Stakh Shari vs Keko Furniture. Meshack Abel (kushoto)...
View ArticleEric Bailly: Kisiki kipya cha Man United – mfahamu alipotokea na sifa zake.
Klabu ya Manchester United leo imeripotiwa kukamilisha upimaji wa afya wa beki wa kimataifa wa Ivory Coast Eric Bailly katika kuelekea kukamilisha usajili wake kutoka Villareal. Wengi wa wapenzi wa...
View ArticleKOCHA WA ZAMANI WA NIGERIA STEVEN KESHI AFARIKI DUNIA
Nigeria wamepata pigo baada ya taarifa kwamba Stephen Okechukwu Keshi aka ‘the Boss’ amefariki ghafla mapema leo asubuhi. Mchezaji huyo wa zamani ambaye pia alimpoteza mkewe Kate mwaka jana aliyekuwa...
View ArticleEXCLUSIVE: SIKUJA YANGA KUSHINDANA NA JUMA ABDUL- KESSY
Na Baraka Mbolembole Ikiwa ni siku kadhaa baada ya kuanza mazoezi kama mchezaji wa kikosi cha Yanga SC, mlinzi namba-2 wa zamani wa Mtibwa Sugar na Simba SC, Hassan Kessy Ramadhani amesema kwamba...
View ArticleASANTE NONGA, SI DHAMBI KUKIOGOPA KIVULI CHAKO
Simon Msuva wakishangilia na Paul Nonga moja ya magoli ya leo dhidi ya Friends Rangers Na. Ayoub Hinjo Kila mtu ni shujaa wa maisha yake. Haijalishi ni ugumu au urahisi wa maisha lazima kuna kitu...
View ArticleSIMBA ITALAZIMIKA KUTUMIA MILIONI 100 KUWASAINI SHOMARI, KICHUYA
Na Baraka Mbolembole Simba italazimika kutumia si chini ya milioni 60 kama ‘dau’ la kuwashawishi wachezaji wa upande wa kulia wa Mtibwa Sugar ‘wing aliyehamishiwa katika fullback 2’ Ally Shomari na...
View ArticleYANGA ITAWAPIGA ‘BAO’ LINGINE SIMBA KWA TELELA
Na Baraka Mbolembole Salum Telela ameshindwa kuzungumzia ‘mustakabali’ wake baada ya kumaliza mkataba wake katika klabu ya Yanga SC. Nahodha huyo wa zamani wa timu za Taifa za vijana na klabu ya Moro...
View ArticleBURIANI KESHI, HAKIKA UMEACHA YA KUKUMBUKWA AFRIKA, PUMZIKA KWA AMANI
Na Mahmoud Rajab Leo familia nzima ya soka barani Afrika imempoteza mtu muhimu sana aliyekuwa na mchango mkubwa katika soka la Afrika. Huyu si mwingine bali ni Stephen Keshi, kocha mzawa wa Nigeria...
View ArticleWEKA KANDO TABIA ZA DJEMBA DJEMBA NA WENZAKE, HUYU BAILLY NI FORTUNE MWINGINE
Na Ayoub Hinjo Wakati mwingine tunasoma au kusimuliwa historia kuhusu matukio yaliyotokea zamani. Binafsi sikuwahi kumshuhudia Fortune akicheza lakini alikuwa na sifa za kipekee ambazo nimekuwa...
View ArticleJE, WENGER AMEANZA KUBADILIKA?
Naseem Kajuna Moja ya sifa ya watu watokao nchini Ufaransa ni tabia yao ya ubishi, kwenye lugha ya Kingereza kuna msemo usemao “ You can’t teach an old dog new tricks” ama huwezi kumfundisha mbwa mzee...
View ArticleALVES ANAONDOKA BARCA NA KUACHA ALAMA 16 ZA KUKUMBUKWA
Na Mahmoud Rajab Dani Alves ni moja ya wachezaji waliocheza Bracelona kwa mafanikio makubwa sana. Ameitumikia kwa uaminifu klabu hiyo kwa takriban misimu nane. Alves anaondoka rasmi Barcelona na...
View ArticleGOLIKIPA WA UJERUMANI AJIUNGA NA WWE
Golikipa wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani na klabu ya Werder Bremen Tiem Wiese (kushoto) akitambulishwa rasmi ndani ya WWE Golikipa wa zamani wa Ujerumani na klabu ya Werder Bremen Tiem Wiese...
View ArticleCOUTINHO APIGA HAT-TRICK BRAZIL IKIITWANGA HAITI 7-1 COPA AMERICA
Baada ya suluhu ya mchezo wa kwanza wa kundi B, Brazil wametoa kipigo cha mbwa mwizi dhidi ya Haiti baada ya kuwanyuka magoli 7-1 katika muendelezo wa mashindano ya Copa America Centenario mchezo...
View ArticleTAMBWE, NGOMA, KUANZA TIZI, YANGA ITATOKEA UTURUKI ‘KWENDA KUVUNJA MWIKO WA...
Na Baraka Mbolembole Mabingwa na wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la Shirikisho Afrika, timu ya Yanga SC tayari imeanza kambi ya maandalizi jijini Dar es Salaam kujiwinda na mchezo wao...
View ArticleFAHAMU MAMBO 10 MUHIMU KUHUSU BEKI MPYA WA MAN UNITED ERIC BAILLY
Na Mahmoud Rajab Manchester United chini ya kocha wao mpya Jose Mourinho imeanza rasmi kazi ya usajili kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi na michuano mbalimbali. Jana United walikamilisha...
View ArticleNIMESAINI MTIBWA SUGAR- MESSI
Na Baraka Mbolembole Kiungo wa zamani wa African Sports, Coastal Union na Simba SC, Ibrahim Twaha ‘Messi’ ameamua kuichagua Mtibwa Sugar ya Turiani, Morogoro na kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu....
View Article