Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARSENE WENGER AWAPA JEURI MASHABIKI WA ARSENAL

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameweka mkazo kwamba yupo tayari kutumia pesa kusajili mchezaji sahihi ambaye ni anaweza kufiti kwenye mfumo wake. Mpaka sasa, Arsenal wamefanikiwa kutumia kitita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUNGU, TAMU, MIEZI 32 YA MALINZI TFF – Part II

Na Lasteck Alfred ZIMEBAKI siku 98,  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, atimize miaka mitatu tangu aiingie madarakani usiku wa kuamkia Oktoba 28, 2013 kuliongoza shirikisho hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA BEI YA POGB KUWA GUMZO DUNIANI, SCHOLES AMETOA KAULI YAKE

Paul Scholes anaamini kwamba Manchester United hawatakuwa wanatenda haki endapo watatoa kiasi cha paundi mil 92 (euro mil 110) kuinasa saini ya Paul Pogba kutoka Juventus, ada ambayo inaelezwa kuvunja...

View Article

HIVI NDIVYO TEMEKE MARKET ALIVYOMTOA MAKUMBA FC NDODO CUP

Nusu fainali ya kwanza ya mashindano ya Sports extra ndondo cup kati ya MAKUMBA FC na TEMEKE MARKET imepigwa pale uwanja wa bandari na kushudia Temeke market wakimtoa mashindanoni makumba fc kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RONALDO AZINDUA HOTEL YAKE YA KIFAHARI

Kamwe Cristiano Ronaldo hajawahi kushindwa kitu. Kwa sasa ni moja ya wanamichezo matajari duniani ambaye ameamua kujaribu bahati yake kwenye biashara ya Hoteli. Ndio ameamua kufanya hivyo. Baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEMEKE MARKET HIYOOO FAINALI YA NDONDO CUP

Timu ya Temeke Market imefanikiwa kutangulia fainali ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup 2016 baada ya kuifunga Makumba FC kwenye kwa penati 3-1. Dakika 90 za pambano hilo lililopigwa kwenye uwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 15: UHONDO WA NDONDO NJE YA UWANJA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WA SOKONI WAITAKA KAUZU FAINALI

Mwenyekiti wa Market Ahmad Juma Mtemi akitamba kuitaka Kauzu FC kwenye mchezo wa fainali ya Ndondo Hatimaye Temeke Market wamefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup. Sasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAUCHO AKUBALI KIROHO SAFI

Mchezaji bora wa mchezo wa nusu fainali ya kwanza iliyozikutanisha Makumba FC dhidi ya Temeke Market alitajwa kuwa ni Ally Mohamed maarufu kama ‘Gaucho’ akitokea Makumba FC timu ambayo ilipoteza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: MARCELO AMEKUTANA NA JAMAA ANAYEFANANA NAE, MAMBO YAKAWA HIVI…

Beki wa kushoto wa Real Madrid Marcelo amekutana na jamaa ambaye wanafanana kwa kiasi kubwa anayefahamika kwa jina la Michael Salazar mshambuliaji wa Montreal Impact. Jamaa hawa wana wanaonekana kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIBU LA RONALDO BAADA YA KUULIZWA KAMA ANAFIKIRIA KUTWAA BALLON D’OR

Cristiano Ronaldo aliamua kurejea Madeira mji aliokua, akitokea kwenye mapumziko ya muda katika kipindi hiki cha majira ya joto barani Ulaya. Haikuwa kwa sababu nyingine bali ni kuzindua hoteli yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI KAUZU VS TEMEKE MARKET FAINALI YA NDONDO CUP

Kauzu FC imetinga fainali ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup baada ya kuichapa Misosi FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati. Mchezo huo wa nusu fainali ya pili ulipigwa kwenye uwanja wa Bandari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAGE: KWANINI MNAKIMBILIA KUSAJILI NJE? NJOONI NDONDO MCHUKUE VIFAA

Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage, naye pia alikuwepo uwanja wa Bandari kwenye game ya nusu fainali ya Ndondo Cup kati ya Kauzu FC dhidi ya Misosi na baada ya mechi hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

METERSACKER AWANYIMA UBINGWA ARSENAL MAPEMAA!!!

Beki wa Arsenal Per Mertesacker anaamini ilikuwa ni miujiza kwa timu yake kushika nafasi ya pili katika msimu uliopita wa ligi ya England. Arsenal waliwapiku mahasimu wao wa jiji la London Tottenham...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKOCHA WATANO BORA KUWAHI KUFUNDISHA TIMU YA TAIFA ENGLAND

Na Athumani Adam Sam Allardyce ni kocha wa kumi na tatu kuifundisha timu ya taifa ya England . Ukiwaondoa Sven Goran Eriksson raia wa Sweden na Fabio Capello kutoka Italia, makocha wengine wote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: UHONDO WA NDONDO NJE YA UWANJA

Pambano la nusu fainali kati ya Kauzu na Misosi ilihudhuriwa na mashabiki wengi sana, ukiachana na mechi ndani ya uwanja, nje ya uwanja kulikuwa na pambano kali la mashabiki wa timu hizo mbili. Kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATA RAIS MAGUFULI ANAPENDA NDONDO – MAKONDA

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda amesema mashindano ya Sports Extra Ndondo Cup yanamvutia pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Maguli. Mh. Makonda alikuwa mgeni rasmi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARSENAL WANAHITAJI ZAIDI YA SANCHEZ NA OZIL-COLLYMORE

Arsenal wanahitaji kufanya usajili zaidi kutokana na kukosa wachezaji wenye ubora wa juu huku Mesut Ozil, Alexis Sanchez na Granit Xhaka wakisemwa kwamba si wazuri kwa kiwango hicho, hii ni kwa mujibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GUARDIOLA NA MOURINHO KUGONGA VICHWA VYA HABARI KWA MARA NYINGINE

Na Mahmoud Rajab Kama ilivyoada kwa Jose Mourinho, mara nyingi amekuwa ni mtu wa kufanya mambo ambayo muda mwingi yatawaacha watu wakimzungumzia. Kwa sasa yupo nchini China kwa ajili ya michezo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KUTEMWA NA YANGA, TELELA AMESAINI MKATABA NA TIMU NYINGINE  YA VPL

Kiungo wa zamani wa Yanga Salum Telela amesaini mtaba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu ya Ndanda FC ya mkoani Mtwara. Telela amesaini mkataba huo leo mchana Julai 25, afisa habari wa klabu hiyo Idrisa...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>