YANGA YAKAMILISHA MAZOEZI YA MWISHO KUIKABILI MEDEAMA
Klabu ya Yanga leo imefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja wa Essipong Sports mjini Sekondi, Ghana kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano dhidi ya Medeama utakaochezwa kesho Jumanne Julai 26....
View ArticleJICHO LA 3: MEDEAMA V YANGA, MECHI 9 MFULULIZO BILA USHINDI! NI WAKATI WA...
Na Baraka Mbolembole Mechi 9 mfululizo bila ushindi! Nadhani sasa imetosha, na mabingwa mara 26 wa Tanzania Bara, timu ya Yanga SC wanapaswa sasa ‘kuwalipa’ mashabiki wao kwa kupata ushindi wa kwanza...
View ArticleWACHEZAJI 7 WALIOSAJILI KWA MKWANJA MREFU NA KLABU ZAO ZA ZAMANI
Pogba yuko mbioni kurejea kunako klabu ya Manchester United akitokea klabu ya Juventus kwa ada itakayavunja rekodi ya dunia ya paundi ml 100. Alisajiliwa na Juventus akitokea klabu ya Manchester...
View ArticleKAMUSOKO AMEANDIKA UJUMBE MZURI KUM-WISH MKEWE HAPPY BIRTHDAY
Ujumbe wa Kamusoko kum-wish mkewake happy birthday uliambata na picha hii Leo Julai 26 mke wa kiungo wa Yanga Thaban Kamusoko anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa (birthday), katika kuona umuhimu huo,...
View ArticleVIUNGO 6 WAKABAJI WALIOTIKISA EPL MSIMU ULIOPITA
Mara nyingi kumekuwa na tabia ya kuthamini zaidi washambuliaji na makocha endapo inatokea timu imeshinda na kusahau magoli hayo yametokana na muunganiko wa nguvu ya wachezaji wote. Mabeki na viungo...
View ArticleTAMBWE NJE, NIYONZIMA NDANI, ANGALIA KIKOSI KAMILI CHA YANGA VS MEDEAMA
Benchi la ufundi la mabingwa wa Tanzania bara klabu ya Yanga, tayari limeachia majina ya wachezaji ambao wataiwakilisha klabu hiyo kwenye mchezo wake wa marudiano dhidi ya Medeama utakaochezwa Ghana...
View ArticleJEBA, MSUVA, MNYATE, KABUNDA NA WENGINE 20 WAITWA STARS KUIKABILI NIGERIA
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini Julai 30 kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Nigeria...
View ArticleMATUKIO MANNE YALIYOMUUDHI MOURINHO KWENYE PRE-SEASON TOUR NCHINI CHINA
Jose Mourinho tunaweza kusema kwamba hajaifuria kambi yake ya muda aliyokuwa na timu yake ya Manchester United nchini China. United walitoa taarifa ya kufutwa kwa mchezo wao dhidi ya Manchester City...
View ArticleYANGA NDO BASI TENA!!
Yanga imeshindwa kutamba kwa mara nyingine tena kwenye michuano ya kimataifa baada ya kukubali kipigo cha bao 3-1 mbele ya Medeama kwenye mchezo wa Kundi A wa michuano ya kombe la shirikisho Afrika....
View ArticleSIMBA YATOA KICHAPO MECHI YA KIRAFIKI MORO
Mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Polisi Moro umepigwa katika uwanja wa chuo cha High Land uliopo Bigwa nje kidogo ya manispaa ya Morogoro mjini Mchezo huo umemalizika kwa Simba kupata ushindi...
View ArticleOFFICIAL: HIGUAIN NI MALI YA JUVENTUS
Juventus wamekamilisha dili lao la kumsajili Gonzalo Higuain kutoka Napoli kwa ada ya euro mil 90. Higuain alikuwa akihusishwa kwa muda mrefu kujiunga na miamba hiyo ya Italy baada ya kukamilisha...
View ArticleARSENAL WAMEIKOSA SAINI YA MSHAMBULIAJI WA LYON
Timu ya soka ya Lyon ya nchini Ufaransa imekataa ofa ya euro mil 35 (paundi 29.3m) kutoka kwa klabu ya Arsenal kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wao Mfaransa Alexandre Lacazette. Lacazette (25)...
View ArticleMWAMBUSI AMEZUNGUMZIA KIWANGO CHA CHIRWA
Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi Kocha msaidizi wa klabu ya Yanga Juma Mwambusi amevunja ukimya na kutoka ufafanuzi kuhusu watu wanaobeza kiwango cha mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia Obrey...
View ArticleJICHO LA 3: MPANGO ‘A’ UMEKWAMA, HUU NDIYO MPANGO ‘B’ UTAKAOIKOMBOA YANGA
Na Baraka Mbolembole Miaka ya mwanzoni mwa 2000, aliyekuwa Waziri mwenye dhamana ya michezo, Mh.Juma Kapuya alishauri jinsi wanahabari wa michezo wanavyopaswa kufanya kazi yao hasa wakati wa matukio...
View ArticleCHUNGU, TAMU, MIEZI 32 YA MALINZI TFF – Part III
Na Lasteck Alfred ZIMEBAKI siku chini ya 98, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, atimize miaka mitatu tangu aiingie madarakani usiku wa kuamkia Oktoba 28, 2013 kuliongoza...
View ArticleHADITHI ZA PAUL POGBA NA CHANGAMOTO ZA LIGI YA ENGLAND
Ikiwa kama Paul Pogba atasajiliwa na Manchester United kwa ada ya uhaisho ambayo inatajwa kuvunja rekodi, basi itathibitisha rasmi utajiri uliopo kwenye ligi ya England. ligi ambayo ndio maarufu...
View Article‘MECHI 3 YANGA SC WEWE BADO UNAMSUBIRIA TU OBREY CHIRWA?’
Na Baraka Mbolembole LICHA ya kusajili kwa matarajio makubwa katika klabu ya Yanga SC akitokea FC Platnum ya Zimbabwe, kiungo-mshambulizi raia wa Zambia, Obrey Chirwa ni kama tayari ‘amejiweka’ katika...
View ArticleFABREGAS AMEJIBU YUPI NI KOCHA BORA KWAKE KATI YA MOURINHO NA WENGER
Fbregas alikataa kujiunga na Mourinho kwenye klabu ya Manchester Unitedna kusema, Wenger ndiye kocha mwenye mchango mkubwa kwenye maisha yake ya soka. Kiungo huyo wa kihispania alijunga na Arsenal...
View ArticleGUARDIOLA APIGA MARUFUKU BAADHI YA ‘MISOSI’ KWA WACHEZAJI
Pep Guardiola amewaengua baadhi ya wachezaji kwenye kikosi cha Manchester City kufanya mazoezi na wengine kufuatia kuongezeka uzito kupita kiasi. Awali, iliarifiwa kuwa Yaya Toure na Samir Nasri...
View ArticleKAULI YA JEBA BAADA YA KUITWA STARS KWA MARA YA KWANZA
Kiungo wa Mtibwa Sugar Ibrahim Rajab ‘Jeba’ amesema ni wakati wake sasa kuitumikia timu ya taifa baada ya kusubiri kwa muda mrefu kuitwa kwenye kikosi cha Stars. Jeba ameitwa kwa mara ya kwanza kwenye...
View Article