Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

TEVEZ APIGA BAO LA AJABU ARGENTINA (Video)

$
0
0

Tevez-Boca

Carlos Tevez amefunga bonge la bao baada ya kuwapunguza mabeki akitoka na mpira nusu ya pili ya uwanja hadi golini kisha kuujaza mpira wavuni wakati Boca Junior ikicheza dhidi ya Bolivar kwenye mchezo wa Libertadores Cup.

Tevez alianza kuwanchambua wachezaji wa Bolivar huku akiwa katika speed kali kuelekea kwenye lango la wapinzani wake, kabla ya kufunga ‘alimfinya’ beki wa Bolivar na kupachika bao hilo pekee kuipa ushindi timu yake.

Angalia video jinsi Tevez alivyowapangua wachezaji wa Bolivar kisha kuifungia Boca Junior bao pekee


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>