Imevuja: Neymar anapokea mshahara mdogo kuliko Ashley Young
Ama kwa hakika ukitaja wachezaji bora watatu hivi sasa duniani, jina la Mbrazil Neymar haliwezi kukosekana miongoni mwao. Inafahamika kwa wengi kwamba aina ya wachezaji ya Neymar huvuna pesa nyingi...
View ArticleWAKATI, THOMAS ULIMWENGU AKIWA NJIA PANDA, JUMA LIUZIO KUCHEZA 8 BORA...
Juma Liuzio-Mshambuliaji wa Zesco United ya Zambia Na Baraka Mbolembole Mshambulizi wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Juma Ndanda Liuzio anaamini kwamba ushindi wa 3-1 ugenini dhidi ya Stade...
View ArticleSAFARI YA 12 YA YANGA UGENINI DHIDI YA WAARABU, REKODI NI MBAYA, ILA…
Na Baraka Mbolembole “Yanga ni timu inayocheza mchezo mzuri wenye pasi nyingi, na hii inatulazimu kucheza kwa kutumia mipira mirefu katika mchezo wa marejeano ili tuweze kupata ushindi wa hata magoli...
View ArticleFERGIE NA TONY BLAIR MARAFIKI AMBAO MIZIMU YAO INAZITESA TAASISI WALIZOZIACHA
Umewahi tilia mashaka Uhalali wa Fergie kupata cheo cha ‘U-sir’? japo ukweli unabaki alistahili kupata hicho cheo kwa mafanikio ya kipekee aliyoyapata mwaka 1999 (dinstinctive achievements) moja ya...
View ArticlePanama Paper Leaks: Raisi wa FIFA ahusishwa na skendo ya rushwa ya uuzaji wa...
Raisi wa FIFA Gianni Infantino ametoa utetezi zaidi kuhusu nafasi yake kuhusiana na sakata la ‘Panama Papers Leak’ linahusisha dili la haki ya matangazo ya TV. Infantino alichagulia kuwa raisi wa...
View ArticleSIMBA WANABAHATI, ANGEKUWEPO MIRAJI ADAMU ANGEMALIZA MCHEZO MAPEMA – JANGALU
Kocha wa Coastal Union Ally Jangalu anasema mchezo wa dhidi ya Simba angeumaliza mapema kama angekuwa na beki wake Miraji Adam ambaye anacheza Coastal kwa mkopo akitokea Simba huku akiwa na pingamizi...
View ArticleTEVEZ APIGA BAO LA AJABU ARGENTINA (Video)
Carlos Tevez amefunga bonge la bao baada ya kuwapunguza mabeki akitoka na mpira nusu ya pili ya uwanja hadi golini kisha kuujaza mpira wavuni wakati Boca Junior ikicheza dhidi ya Bolivar kwenye mchezo...
View ArticleMAYANJA: KIIZA, JUUKO, WAMESABABISHA SIMBA KUTUPWA NJE FA CUP
Jackson Mayanja-Kocha Simba SC Safari ya Simba kutafuta nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa kupitia kombe la FA (Azam Sports Federation Cup) imehitimishwa na vibonde wa ligi ya kuu Coastal Union...
View ArticleJULIO AILILIA SIMBA
Jamhuri Kihwelo ‘Julio’-Kocha Mwadui FC Kocha mkuu wa ‘wachimba almasi’ Mwadui FC, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ anaisikitikia klabu ya Simba baada ya kuchapwa bao 2-1 na ‘wagosi wa Kaya’ Coastal Union ya...
View ArticleKUTANA NA MA-STAR 10 WA SOKA WAKALI WA ‘KUTUPIA’
Umekuwa ukiwaona ndani ya jezi wakiwajibika uwanjani lakini baada ya filimbi ya mwisho wanabalika na kuingia kwenye ulimwengu mwingine wa kawaida kuishi maisha yao ya kila siku. Baadhi ya ma-star wa...
View ArticleSIMBA SC IMESHINDWA KUSHINDA GEMU 5 ITWAE FA CUP, ITAWEZA LIGI YENYE MECHI 30?
Na Baraka Mbolembole Timu ambayo imeshindwa kushinda ubingwa katika michuano ya michezo mitano, itawezaje kushinda ubingwa katika ligi yenye gemu 30? Ndoto ya kwanza ya kufikirika imeshindwa kutimia,...
View ArticleKAPOMBE ‘NDO BASI’ TENA MSIMU HUU
Mlinzi wa kulia wa Azam FC Shomari Kapombe akitolewa nje ya uwanja kwa machela baada ya kuumia kwenye moja ya mchezo wa VPL msimu huu Mlinzi wa kulia wa Azam FC, Shomari Kapombe, anaendelea vema na...
View ArticleReal Madrid vs Wolfsburg: Rekodi ya ufungaji Bernabeu chini Zidane Inawapa...
Real Madrid bado wanaamini wanaweza kubadili matokeo ya 2-0 dhidi ya Wolfsburg na kufanikiwa kuendelea mbele katika michuano ya klabu bingwa ya ulaya. Ukiachana na mzimu wa historia ya miaka 29 ya...
View ArticleAZAM FC WAENDE TUNIS WAKIWA KAMILI, FARID ASIENDE KOKOTE…
Na Baraka Mbolembole Ushindi wa 2-1 nyumbani dhidi ya Esperance ya Tunisia ni hatua kubwa kwa Azam FC kuelekea kufuzu kwa hatua ya ‘kapu’ litakalo jumuisha timu nane washindi wa michuano ya Shirikisho...
View ArticleRATIBA YA NUSU FAINALI FA CUP HADHARANI
Droo ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), imefanyika kesho Jumanne saa 3 usiku. Baada ya timu nne za Azam FC, Mwadui FC, Yanga SC pamoja na Coastal Union kukata tiketi...
View ArticleHAT-TRICK YA RONALDO YAIBEBA MADRID HADI NUSU FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE...
Cristiano Ronaldo ameushangaza ulimwengu kwa mara nyingine tena baada ya kusukuma kambani goli tatu huku Real Madrid ikipindua matokeo ya kupoteza mchezo wa kwanza ugenini kwa bao 2-0 dhidi ya...
View ArticleMAN CITY YAANDIKA HISTORIA ISIYOFUTIKA CHAMPIONS LEAGUE (Video)
Manchester City imetinga hatua ya nusu fainali ya Champions League kwa mara ya kwanza baada ya Kevin de Bruyne kupachika bao dakika za lala salama na kuipa City ushindi wa bao 1-0 nyumbani dhidi ya...
View ArticleVIDEO: NEYMAR, GERARD PIQUE, JAVIER MASCHERANO & ANDRES INIESTA WAMPIGIA...
Ma-star wa Barcelona Neymar, Gerard Pique, Javier Mascherano pamoja na Andres Iniesta kwa pamoja wametoa heshima kwa mcheza Basketball Kobe Bryant kwenye tanazo la campaign ya Nike. Wakali hao kutoka...
View ArticleTFF IMECHEMKA KUPANGA RATIBA FA CUP, IMESHINDWA KUTAZAMA MUDA WA AZAM NA...
Baraka Mbolembole Kulikuwa na ulazima gani kwa michezo ya nusu fainali ya kombe la FA kupangwa kuchezwa 24 April wakati tayari ratiba ya Shirikisho la Soka Afrika-CAF inaelekeza kuwa wawakilishi wa...
View ArticleHat trick ya Ronaldo Yaingizia Madrid bilioni 20, na hizi hapa ndio rekodi...
Usiku wa jana ulikuwa wa Cristiano Ronaldo – magoli yake matatu yakaiwezesha Real Madrid kusonga hatua ya nusu fainali kwa mara 6 mfululizo. Kingine kikubwa pamoja na kuivusha timu yake – magoli hayo...
View Article