STORY 5 KUBWA ZA USAJILI ZINAZOTESA BARANI ULAYA
Kutana na story 5 kubwa zinazotawala vyombo vya habari vya majuu leo zikihusisha klabu ya Chelsea kutenga dau la £64m kwa ajili ya kumnasa mchezaji anayewaniwa na Manchester United, star wa...
View ArticleTIMU YA MSIMU YA LIGI KUU YA UINGEREZA KULINGANA YA NICASIUS AGWANDA...
Mawazo na imani za watu wengi zimepishana sana kwa wakati huu kila mtu akifikiri na kuwaza lake linalomfaa. Kuna wasiohitaji Leicester atwae ubingwa, kuna wale wasioamini nafasi vilabu vyao vilipo na...
View ArticleYANGA YAIKALIA SIMBA MGONGONI
Wachezaji wa Yanga Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Malimi Busungu na Godfrey Mwashiuya wakishangilia bao la pili lililofungwa na Niyonzima April 14, 2016 ligi ya bongo imeendelea kwa michezo miwili...
View Article#UCL – Mara ya mwisho Barca kushindwa kufunga katika mechi ya ulaya ilikuwa...
Ni wazi kwamba ikiwa Barcelona watafanikiwa kufunga leo usiku katika uwanja wa Vicente Calderon, itakuwa hatua kubwa katika kuelekea kufuzu. Sio tu kwa sababu itawabidi Atletico kufunga magoli 3 ili...
View ArticleVODACOM YATOA MSIMAMO WAKE KUHUSU SAKATA LA UPANGAJI MATOKEO
Matina Nkurlu-Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wanafuatilia kwa ukaribu na umakini sana sakata la...
View ArticleUNAJUA KWA NINI JULIO ALIGEUKA MBOGO BAADA YA KUCHAPWA NA YANGA?…HUU NDIYO...
Jamhuri Kihwelu ‘Julio’-Kocha Mwadui FC Kama utakuwa unakumbuka vizuri leo April 13 2016 Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea kwa Yanga kucheza mchezo wake wa kiporo dhidi ya klabu ya Mwadui FC ya...
View ArticleHISTORIA YAITESA BARCA CHAMPIONS LEAGUE
FC Barcelona ambao walikuwa mabingwa watetezi wa taji la klabu bingwa Ulaya wamevuliwa ubingwa huo na Antoine Griezmann baada ya kuwashanga kwa kichapo cha magoli 2-0 kwenye mchezo wa marudiano wa...
View ArticleBINGWA FA/BINGWA VPL NANI ATACHEZA SHIRIKISHO AFRIKA?
Na Baraka Mbolembole Kuanzia jana nimekuwa nikiulizwa maswali mengi na wasomaji wa mtandao huu, wengi wamekuwa wakitaka kufahamu ikiwa bingwa wa FA pia atashinda ubingwa wa VPL ni timu gani...
View ArticleKUTANA NA WAREMBO WANNE WALIOUPAMBA MCHEZO WA YANGA VS MWADUI
Kabula (kushoto) akiwa na swahiba zake wakishuhudia mtanange kati ya Yanga dhidi ya Mwadui kwenye wanja wa taifa Ukiachana na matokeo ya Yanga kuifunga Mwadui FC kwa magoli 2-1 kwenye mchezo uliochezwa...
View ArticleAHSANTE SANA KOBE BRYANT “BLACK MAMBA” UTAKUMBUKWA DAIMA. KOBE ASTAAFU RASMI
Hatimaye waliwahi kusema na kuandika kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha na kila kazi ngumu hufuatiwa na pumziko. Mchezaji wa klabu ya mpira wa kikapu chini Marekani ya Los Angeles Lakers, Kobe...
View ArticleHATIMAYE YAMETIMIA…GOLDEN STATE WARRIORS YA STEPHEN CURRY YAIONDOA BULLS YA...
Nani asiyemkumbuka Michael Jordan? Wapo wanaomfahamu pasipo kumwona na hawajui anafananaje lakini jina lake wanalifahamu. Nani asiyemkumbuka Scottie Pippen na ni nani asiyekuwa na kumbukumbu ya Dennis...
View ArticleMAMBO KUMI NILIYOJIFUNZA BAADA YA ROBO FAINALI UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Inawezekana kabisa watu na wachambuzi mbalimbali wamesahau kama kuna mchezaji bora anayeitwa Koke. Ni nadra sana kukutana na mchezaji bora anayeishi maisha ya ukimya kama huyu, lakini huyu ndiye hasa...
View ArticleTOP 10 YA HAT-TRICKS ZA KUKUMBUKWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Baada ya Ronaldo kupiga hat-trick dhidi ya Wolfsburg na kuisaidia klabu yake ya Real Madrid kuvuka hatua ya robo fainali na kutinga nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya, mtaani...
View ArticleMASHUJAA WATATU USIKU WA MABINGWA ULAYA
Na Athumani Adam Timu ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali, klabu bingwa Ulaya maarufu kama UEFA Champion League tayari zimejulikana. Baada ya mechi za Jumanne na Jumatano wiki hii kuchezwa, tumeona...
View ArticleDakika 452, hakuna goli wala assist – Lionel Messi kwenye kiwango kibovu...
Je presha ya kufunga goli namba 500 imemkamata Lionel Messi? Mshindi wa mara ya 5 wa Ballon d’Or amekuwa kwenye kiwango cha chini zaidi kwenye maisha. Messi alikuwa anakaribia kutimiza magoli 500...
View ArticleLIVERPOOL YAISHANGAZA DUNIA KWA MARA NYINGINE (Video)
‘Majogoo wa jiji’ Liverpool wameushangaza ulimwengu kwa mara nyingine tena baad ya kutoka nyuma ya Borussia Dortmund na kufanikiwa kushinda game kwenye uwanja wa Anfield kisha kutinga hatua ya nusu...
View ArticleVIDEO: JIBU LA KLOPP ALIPOULIZWA KUHUSU LIVERPOOL KUTWAA UBINGWA WA EUROPA...
Jurgen Klop alikuwa ni mwenye hisia kali baada ya kikosi chake kufanya maajabu ya kutoka nyuma na kuichapa klabu yake ya zamani Borussia Dortmund kwa mabao 4-3 na kufuzu kucheza nusu fainali ya Europa...
View ArticleVIDEO: UNAJUA KLOPP ALIWAAMBIA NINI WACHEZAJI WAKATI WA MAPUMZIKO? DIVOCK...
Moja kati ya wachezaji walioirudisha Liverpool kwenye mchezo ni pamoja na Divock Origi ambaye alifunga goli la kwanza dakika chache baada ya kuanza kwa kipindi cha pili. Kinda huyo wa Ubeligiji...
View ArticleYANGA HAIBEBWI, BALI INAJIBEBA YENYEWE NA MBINU ZAKE…
Na Baraka Mbolembole YANGA SC inacheza vizuri zaidi ya vile unavyoweza kuandika msimu. Akianza na wachezaji wanne katika safu ya ulinzi ambao hawakutumika katika mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika siku...
View ArticleKapombe arejea Bongo, afya yake yaimarika.
BEKI kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, amerejea nchini jana jioni baada ya wataalamu wa Hospitali ya Morningside Mediclinic ya jijini Johannesburg, Afrika...
View Article