BARCA YA LOUIS ENRIQUE NA MAISHA BAADA YA XAVI HERNANDEZ
Na David Wambura Kwenye moja ya makala zangu hapa, makala iliyokua inamuelezea Thaban Kamusoko niliahidi ipo siku nitagusia namna Spain na Barca walivyolazimika kubadili style ya uchezaji wao kwa...
View ArticleUEFA CHAMPIONS LEAGUE WAMEIACHIA RATIBA YA NUSU FAINALI
Tayari ratiba ya nusu fainali ya michuano ya UEFA Champions League imeshatoka baada ya kuchezeshwa draw ya kutafuta nani ataumana na nani kati ya vilabu vinne vilivyosalia kwenye michuano hiyo baada...
View ArticleMASHABIKI WA LIVERPOOL WANAFURAHIA RATIBA YA NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE...
Baada ya raiba ya UEFA Champions League kutoka, ratiba ya Europa League pia nayo imewekwa hadharani ambapo michezo ya miwili ya raundi ya kwanza nay a pili imepangwa kupigwa April 28 na May 5. Wakiwa...
View ArticleBAADA YA KIMYA KIREFU, HANS POPPE AMEAMUA KUTOA YA MOYONI KUHUSU SAKATA LA...
Sakata la rushwa na upangaji matokeo ambapo viongozi kadhaa wa TFF wakiwa ni watuhumiwa, bado wadau wa soka nchini wameendelea kutoa maoni yao kuhusu kashfa hiyo nzito inayolikabili soka la Bongo huku...
View ArticleYANGA ITAIPIGA MTIBWA NA KUREJEA KILELENI, JKT RUVU KUISHUSHA COASTAL, SIMBA...
Na Baraka Mbolembole MECHI Tatu za ligi kuu Tanzania bara zinataraji kuchezwa Jumamosi na siku ya Jumapili. Mabingwa watetezi Yanga SC walio nafasi ya pili ya msimamo wakiwa na alama 56 watawakaribia...
View ArticleATLETICO MADRID NA MKOSI WA MANAHODHA WASAIDIZI WANAOVAA JEZI NAMBA 4 KWENYE...
Na Zaka Zakazi Ratiba ya mechi za nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya imetoka na kushuhudia mabingwa mara kumi, Real Madrid, ambao wamecheza nusu fainali nyingi zaidi (26, kushinda 13 na kushindwa...
View ArticleDONE DEAL: MANCHESTER UNITED YANASA KIFAA KIPYA
Manchester United imeendelea kutekeleza sera yake ya kuwekeza kwa vijana baada ya mashetani hao wekundu kufanikiwa kumsajilikinda wa miaka 16 Nishan Burkhart kutoka klabu ya FC Zurich. Story hiyo...
View ArticleYANGA YAREJEA KILELENI VPL
Yanga imerejea kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kuifunga mtibwa Sugar kwa goli 1-0 kwenye mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa taifa. Yanga ilienguliwa kileleni mwa ligi na...
View ArticleJay Z anaifukuzia saini ya Marcus Rashford wa Man United
Marcus Rashford ni moja ya majina katika wiki za hivi karibuni yamekuwa yakitawala sana midomoni mwa washabiki na waandishi wa habari wa michezo duniani – uwezo wake wa uwanjani umewavutia watu wengi...
View ArticleSAMATTA AENDELEA KUWASHIKA ULAYA (Video)
Kwa mara nyingine tena nyota wa Tanzania Mbwana Samatta ameendelea kung’ara kwenye ligi ya Ubeligiji (Belgium Pro League) baada ya kuifungia timu yake bao moja wakati ikiibuka na ushindi wa magoli...
View ArticleWAKATI CHELSEA INASULUBIWA NA AGUERO, HAZARD ALIKUWA ‘BUSY’ NA ICE CREAM
Eden Hazard amekuwa kwenye kiwango kibovu ndani ya Chelsea tangu kuanza kwa msimu huu, akitoka kuwa mchezaji bora wa EPL msimu uliopita lakini hadi sasa ameshindwa kuonesha makali yake. Mashabiki wa...
View ArticleArticle 3
Pep Guardiola amefanikiwa kuwakwepa wachezaji wake wa waajiri wake wajao Manchester City wakati Bayern Munich ilipopangwa kucheza dhidi ya Atletico Madrid katika nusu fainali ya Champions League....
View ArticleMADRID YATOA DOZI NENE LA LIGA, BBC YAHUSIKA
Real Madrid imeisulubu Getafe kwa bao 5-1 kwenye mchezo wa La Liga na kuanza kuwapumulia mgongoni vinara wa ligi hiyo Barcelona. Karim Benzema alianza kufungua gharika hiyo kwa kumalizia krosi...
View ArticleFainali ya UCL baina ya City vs Bayern – Huenda ikamfanya Pep Guardiola...
Pep Guardiola amefanikiwa kuwakwepa wachezaji wake wa waajiri wake wajao Manchester City wakati Bayern Munich ilipopangwa kucheza dhidi ya Atletico Madrid katika nusu fainali ya Champions League....
View ArticleMSUVA: UKIKUBALI KUSHANGILIWA, KUBALI KUZOMEWA
Mara baada ya game ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar, nimekutana na winga wa Yanga Simon Msuva na kupiga nae story kuhusu game yao na Mtibwa ambapo yeye alifunga bao pekee lililoirejesha timu yake...
View ArticleNGASSA AWAFANYIA YANGA BONGE LA ‘SURPRISE’
Ngassa akiingia ndani ya uwanja wa taifa na kuelekea kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha timu yake ya zamani Yanga SCWinga wa zamani aliyetamba na Yanga Mrisho Khalfan Ngasa ‘Uncle’ amekifanyia...
View ArticleHANS AONYA WAANDISHI WANAOMCHONGANISHA YANGA
Kocha mkuu wa Yanga amelalamika juu ya waandishi ambao wamekuwa wakiandika vitu ambavyo yeye hajazungumza kwasababu vinamletea matatizo na waajiri wake. Hans amesema hivyo baada ya gazeti moja kutoa...
View ArticleRONALDO AMEAMUA KUTULIA KWA KIFAA CHA KI-AFRIKA
Cristiano Ronaldo sasa anahusishwa na mrembo mwingine wa Angola Maria Borges baada ya awali kutoka taarifa kwamba anatoka na model wa kituruki Cansu Taskin ambaye alifanyiwa mahojiano na kituo kimoja...
View ArticleNDONDO CUP YAENDELEA KUITEKA DAR
Mchezaji wa Mjivuni FC mbele akijaribu ku-contral mpira mbele ya beki wa Temeke Squad Michuano ya Sports Extra Ndondo Cup 2016 chini ya udhamini wa Dr. Mwaka Foreplan Clinic imeeendelea kuliteka jiji...
View ArticleTOTO YATIA MCHANGA KITUMBUA CHA SIMBA
Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya wenyeji Simba SC dhidi ya Toto Africans ‘Wanakisha mapanda’ wa Mwanza umemalizika kwa Toto kuondoka na pointi tatu baada ya kuifunga Simba kwa bao...
View Article