UTANI NDANI YA UTANI, NI MURO VS MANARA
Mambo ya utani si jambo baya sana. Picha hii imesambaa mtandaoni, kwamba Msemaji wa Yanga, Jerry Muro anajiandaa kwenda Misri wakati Msemaji wa Simba, Haji Manara yuko njiani kwenda Uwanja wa Taifa...
View ArticleTEGETE ATAJA SABABU ZA KUINYIMA SIMBA POINTI 3
John Tegete-Kocha Toto Africans Kocha wa Toto Africans John Tegete amesema timu yake inacheza soka linaloshabihiana na la Simba kwa kiasi kikubwa lakini wachezaji wake wananguvu na ndiyo siri ya...
View ArticleMESSI AINGIA TENA KWENYE VITABU VYA REKODI
Superstar wa Argentina Lionel Messi usiku wa jana amefikisha magoli 500 katika maisha yake ya soka aliyoifungia klabu yake na timu yake ya taifa baada ya kufunga bao moja wakati Barca ikilala 2-1...
View ArticleSIMBA INAJIFUNGA YENYEWE
Unaweza kusema Simba ni kama imejifunga yenyewe kwenye mchezo wake wa ligi wa Jumapili dhidi ya Toto Africans ya Mwanza au kwa maneno ya vijana wa mjini wanasema ‘wamejilipua’ wenyewe kwa mabomu yao....
View ArticleMagoli 500 ya Messi: Uchambuzi wa kinamba, aliyempa assists nyingi zaidi,...
Lionel Messi jana usiku alitimiza magoli 500 tangu alipoanza kucheza soka la ushindani, wakati Barcelona ilipofungwa 2-1 nyumbani na Valencia. Hii ni rekodi mpya kwa Messi na imekuja baada ya miaka...
View ArticleSIPENDI SIMBA IWE KAIZER CHIEFS, HANS POPPE AWE KAIZER MOTAUNG MRADI WA BOKO
Na Athumani Adam Nadhani unaifahamu Kaizer Chiefs, klabu ya mpira wa miguu yenye makazi yake jijini Johannesburg maeneo ya Soweto. Inasemekana ni klabu yenye mafanikio zaidi nchini Afrika Kusini, wana...
View ArticleAZAM FC ‘ITAWAPOTEZA’ ZAIDI SIMBA SC, YOTE HAYA YAMEANZIA HAPA…
Ajib akakutana na wachezaji wa Azam FC na kupiga nao story mbilitatu mara baada ya game yao ya FA Cup dhidi Africa Lyon kumalizika (Picha haina uhusiano wowote na makala haya) Na Baraka Mbolembole...
View ArticleMIGI ANASEMAJE KUHUSU NAFASI YA AZAM MBELE YA ESPERANCE?
Jean Baptiste Mugiraneza ‘Migi’-kiungo Azam FC Kiungo wa Azam FC, Jean Mugiraneza ‘Migi’, amesema kuwa licha ya timu hiyo kukabiliwa na mchezo mgumu wa ugenini dhidi ya Esperance, bado ina nafasi ya...
View ArticleEDEN HAZARD AMEFANYA MAAMUZI JUU YA HATMA YAKE CHELSEA
Eden Hazard amemwambia kocha anayekuja Chelsea Antonio Conte kwamba atasalia kwenye kikosi hicho licha ya kuwepo kwa taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kwamba ataihama klabu hiyo. Mbeligiji...
View ArticleKilichoikuta Mallorca msimu wa 1998/99 kwa Van Gaal, kinaweza kuikuta...
Barcelona walionekana wanaelekea kutwaa ubingwa wa pili mfululizo wa La Liga siku kadhaa tu nyuma, lakini kuanguka kwa kiwango chao kumewafanya sasa wawe sawa kwa pointi na Atletico Madrid kwenye kiti...
View ArticlePamoja na Kiwango Kibovu Uwanjani – Man Utd yazifunika Barca, Madrid, katika...
Mauzo makubwa ya haki ya matangazo ya TV, mauzo ya jezi, mauzo ya wachezaji na uuzaji, matangazo ya biashara na uuzaji wa bidhaa mbalimbali zenye nembo za vilabu ni moja ya mambo yaliyozitengenezea...
View ArticleKANE HAKAMATIKI KWA KUTUPIA NYAVUNI EPL
Harry Kane alikuwa miongoni mwa nyota wakati Spurs ikipata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Stoke jana usiku kwenye dimba la Britania baada ya kuifungia timu yake magoli mawili na kuendeleza ubora wake...
View ArticleCHICHARITO AZUNGUMZIA HATMA YA VAN GAAL OLD TRAFFORD
Striker wa zamani wa Manchester United Javier Hernandez anaamini Louis van Gaal anaweza akafanikiwa akiwa Old Trafford licha ya kuwa na matokeo magumu msimu huu. Siku za maisha ya maisha ya kocha...
View ArticleSIMBA YAMUWASHIA KESSY TAA YA KIJANI KWENDA ANAKOTAKA
Ramadhani Kessy-Beki wa Simba SC Uongozi wa Simba umemuwashia taa ya kijani beki wake wa kulia Hassan Kessy baada ya nyota huyo kusema hatoendelea kutoa huduma yake kwenye klabu hiyo baada ya kuchezea...
View ArticleVita ya ufungaji magoli: MSN, BBC, waendelea kuumana kwa tofauti ya goli moja
Safu za ushambuliaji za ligi kubwa barani ulaya zinaendelea kuchuana vikali kuelekea mwishoni mwa msimu huu wa 2015/16. La Liga safu za ushambuliaji za Real Madrid na FC Barcelona mchuano unaendelea...
View ArticleSERENGETI BOYS KUKIPIGA DHIDI YA MAREKANI, KOREA KUSINI
Timu ya taifa ya Tanzania vijana wenye umri chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ inatarajiwa kushiriki mashindano maalumu ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 nchini India, yatakayozishirikisha nchi...
View ArticleTFF YAZIFUNGULIA NJIA AZAM, YANGA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezitakia kila la kheri timu za Azam FC na Yanga SC katika michezo yao ya kimataifa inayoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF). TFF...
View ArticleDOCTOR WA MBEYA CITY AWATOA HOFU BENCHI LA UFUNDI
KUELEKEA mchezo ujao wa ligi kuu ya soka Tanzania bara dhidi ya Mtibwa Sugar, uliopangwa kuchezwa tarehe 30 mwezi huu kwenye uwanja wa Manungu Complex uliopo Turiani mkoani Morogoro, Mkuu wa kitengo...
View ArticleAZAM YATUPWA NJE MICHUANO YA AFRIKA
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Azan FC wametupwa nje ya michuano ya hiyo baada ya kuchapwa kwa magoli 3-0 na Esperance ya Tunisia kwenye mchezo wa...
View ArticleBaada ya kiwango kushuka, kampeni chafu zaanzishwa dhidi ya Neymar
Kampeni chafu dhidi ya Neymar zimerejea tena, safari hii hazitokei Madrid, bali upande wa Barcelona wenyewe. Wakati timu ikiwa inahitaji msaada kutoka kila mmoja anayeizunguka klabu, ili kuondokana...
View Article