Timu ya taifa ya Tanzania imerejea leo asubuhi kutoka nchini kenya walikokwenda kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Harambee Stars.Mchezo huo ambao uliisha kwa sare ya goli 1-1.Mchezo huo ulikua ni sehemu ya maandalizi ya timu hiyo kuelekea mchezo wake dhidi ya Misri.
Tazama hapa kuona mahojiano hayo.