Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Video: KOCHA WA WEST HAM ACHIZIKA KWA GOLI LA PAYET

$
0
0
 

Bilic

Kocha wa West Ham United Slaven Bilic jana alikuwa kwenye TV akiangalia mchezo kati ya Ufaransa na Albania, akifanya uchambuzi wa mchezo huo ambao mchezaji wake Dimitri Payet alikuwepo dimbani.

Kwa bahati nzuri nyota wake huyo aliifungia Ufaransa goli la pili katika dakika ya 96 baada ya Griezmann kufanya hivyo dakika ya 90.

Dimitri Payet (29) amekuwa kwenye kiwango bora kabisa katika michuano hii na mpaka sasa ana magoli mawili akiwa ni moja ya wanaongooza kwa ufungaji mpaka sasa..

Kocha wake sasa, ambaye bado haamini kama Payet ni kijana wake, alishangilia kwa furaha ya ajabu baada ya Mfaransa huyo kufunga goli na kuwaacha wachambuzi wenzake hoi.

Angalia video uone kile alichokifanya kocha wa West Ham baada ya Payet kuifungia bao Ufaransa


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>