PICHA: YANGA YAANZA MAKAMUZI YA USIKU
Kikosi cha Yanga kipo nchi Uturuki kikiendelea kujifua kwa mazoezi chini ya benchi la ufundi linaloongozwa na kocha mholanzi Hans van der Pluijm akisaidiwa na mzalendo Juma Mwambusi. Usiku wa jana...
View ArticleVINCENT BOSSOU KUJIUNGA KAMBINI UTURUKI
BEKI wa kati wa Yanga, Mtogo, Vincent Bossou atajiunga na wenzake leo kambini nchini Uturuki. Yanga imeweka kambi katika hotelki ya Rui mjini Antalya, Uturuki kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Kundi A...
View ArticleJICHO LA 3: FDL SI LIGI, NI MICHUANO YA KUZIBEBA BAADHI YA TIMU
Na Baraka Mbolembole Timu 6 kati ya 24 kutoka Mkoa wa Dar es Salaam zitacheza ligi daraja la kwanza Tanzania bara (FDL) msimu wa 2016/17 na timu tano zimeangukia kundi moja-Kundi la Kwanza. Abajalo...
View ArticleHATMA YA YANGA NA TELELA IMEMFANYA JUMA ABDUL KUYAANDIKA HAYA…
Ni wazi sasa kiungo wa Yanga Salum Telela hatokuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kwa ajili ya msimu ujao baada ya nyota huyo kumaliza mkataba wake wa kuitumikia klabu hiyo na uongozi wa Yanga...
View Article#EURO 2016: LEO NI VITA YA NDUGU WAWILI, AUSTRIA VS HUNGARY
Leo michuano ya Euro inaendelea tena nchini Ufaransa, ambapo katika kundi F kutakuwa na kibarua kizito kati ya Austria na Hungary. Mchezo huu ambao utapigwa majira ya saa moja usiku kwa saa za Afrika...
View ArticleMATCH PREVIEW: URENO INAPOCHEZA NA ICELAND TAIFA LENYE WAKAZI WASIOZIDI 330,000
Ureno na Iceland wanakutana leo katika kinyang’anyiro cha Euro 2016, kwenye mchezo kundi F utakaochezwa saa nne kamili usiku kunako dimba la Stade Geoffroy Guichard lililopo manispaa ya Saint-Etienne....
View ArticleKAMA HUKUONA VIWANJANI LEO YA CLOUDS TV NIMEKUSOGEZEA HAPA.
Ni mengi yametokea viwanjani leo lakini hapa nimekuletea habari za michezo kutoka VIWANJANI LEO ya Clouds tv.angalia habari kwa kina hapa.
View ArticleISHU YA TELELA KUTEMWA YANGA IMEGUSA WENGI, ULIMWENGU NDANI
Ile ‘ishu’ ya Salum Telela kutoongezwa mkataba mpya mpya (kutemwa) na klabu ya Yanga imeendelea ku-trend kwenye mitandao ya kijamii nah ii ni baada ya nyota wa Tanzania Thomas Ulimwengu anayecheza...
View ArticleDUNGA ATIMULIWA TIMU YA TAIFA, HUYU HAPA ANAYEWEZA KUMRITHI
Brazil imemtimua kocha wake Carlos Dunga siku ya leo Jumanne baada ya Selecao kushindwa kufnya vyema na kutupwa nje katika hatua ya makundi katika Copa America Centenario. Peru iliwaondoa Brazil kwa...
View ArticleRONALDO KASHINDWA KUISAIDIA URENO KUPATA USHINDI MBELE YA ICELAND
Ureno wamelazimishwa sare na Iceland wakati wa kampeni zao za kuwania taji la Mataifa ya Ulaya zikishindwa kufanikiwa kwa kupata ushindi dhidi ya timu ambayo haikupewa nafasi ya kuwazuia mastaa wa...
View ArticleETO’O AMEAMUA KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA KITAMBO
Nyota wa Cameroon na soka la Afrika Samuel Eto’o aliyewahi kutamba na vilabu maarufu vya Ulaya kama FC Barcelona, Inter Milan na Chelsea amefunga pingu za maisha June 14. Eto’o ameamua kufungia ndoa...
View ArticleMEDEAMA SC YA GHANA YAJIPANGA KUIKIMBIA YANGA
Taarifa kutoka Ghana zinaleza kuwa, wapinzani wa Yanga katika kundi A Medeama SC iko mbioni kujitoa kwenyemichuano ya Shirikisho Afrika kutokana na kukumbwa na ukata mkubwa. Hii ni kwa mujibu wa...
View ArticleHUYU HAPA MAKAMU WENYEKITI YANGA NDANI YA SPORTSBAR YA CLOUDS TV.
Baada ya Klabu ya Yanga kupata uongozi wake mpya basi kipindi cha SPORTSBAR ya CLOUDS TV ilimwalika makamu mwenyekiti wa klabu hiyo CLEMENT SANGA na kuongea mipango mingi sana kuelekea kuijenga Yanga...
View ArticleICELAND IWE FUNDISHO KWA TANZANIA
Kwenye dunia ya michezo, miaka ya nyuma ilikuwa ni story kubwa sana kushuhudia mataifa ambayo hayakupewa nafasi au hayakuwa namajina makubwa kwenye tasnia ya soka kupata matokeo dhidi ya timu vigogo...
View Article#EURO 2016 MATCH PREVIEW: UFARANSA VS ALBANIA
Didier Deschamps atakuwa kwenye mtihani mwingine leo kuhakikisha timu yake inashinda dhidi ya Albania ili kujihakikishia tiketi ya kwenda hatua ya mtoano. Mchezo huu wa raundi ya pili wa kundi A,...
View ArticleMIRAJ ADAM ‘MR. FREEKICK’ : NIPO TAYARI KUICHEZEA TIMU YOYOTE ISIPOKUWA…
Na Baraka Mbolembole “Sijajua kama nitarejea Simba maana viongozi bado hawaeleweki,” anasema mlinzi wa pembeni na ‘mtaalamu wa mipira iliyokufa,’ Miraj Adam katika moja ya majibu yale ya wazi kwa...
View ArticleVideo: RONALDO ALIMNYIMA JEZI NAHODHA WA ICELAND?
Nahodha wa Iceland Aron Gunnarsson anajivunia kuliongoza taifa lake kupata sare ya kufungana bao 1-1 na Ureno, na kupata pointi moja kwenye mashindano ya Ulaya waliyoshiriki kwa mara ya kwanza. Lakini...
View ArticleGRIEZMANN, PAYET, WAIPELEKA UFARANSA 16 BORA
Magoli mawili ya dakika za lala salama kutoka kwa Antoine Griezmann na Dimitri Payet dhidi ya Albania, yanaipeleka Ufaransa hadi hatua ya mtoano ya michuano ya Euro 2016. Albania waligongesha mwamba...
View ArticleVideo: KOCHA WA WEST HAM ACHIZIKA KWA GOLI LA PAYET
Kocha wa West Ham United Slaven Bilic jana alikuwa kwenye TV akiangalia mchezo kati ya Ufaransa na Albania, akifanya uchambuzi wa mchezo huo ambao mchezaji wake Dimitri Payet alikuwepo dimbani. Kwa...
View ArticleNI MANJI TENA KATIKA UKURASA WA AGANO JIPYA (MANJI WA NDANI YA UWANJA)
Na Ayoub Hinjo Yuko wapi yule aliyesema imani inaponya? Katika hili hakukosea kabisa maana imani ya wanachama wa Yanga imemrejesha tena Manji. Imani ya matokeo ya uwanjani imemrejesha tena. Na katika...
View Article