USWIZI WAFUNGUA EURO KWA USHINDI, WAICHAPA ALBANIA 1-0
Uswizi imefanikiwa kuifunga Albania kwa goli 1-0 katika mchezo kundi A kwenye muendelezo wa michuano ya Euro 2016 inayofanyika nchini Ufaransa. Mchezo huo ulipigwa katika kunako uwanja wa Stade...
View ArticleBALE AIONGOZA WALES KUICHAPA SLOVAKIA
Wales wameanza kwa kicheko michunao ya Euro 2016 inayofanyika nchini Ufaransa baada ya kuwanyuka Slovakia kwa mabao 2-1, mchezo wa kundi B uliofanyika kunako dimba la Matmut Atlantique huko jijini...
View ArticleRUSSIA YAIKABA KOO NA KUINYIMA USHINDI ENGLAND
England wameruhusu goli la kusawazisha dhidi ya Russia dakika za lala salama kwenye mchezo wa Kundi B kwenye michuano ya Euro 2016 na kushuhudia mechi hiyo ikimalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1....
View ArticleLionel Messi: Hat Tricks 35 – hizi hapa 3 za haraka zaidi
Kuangalia Messi akifunga hat trick sio jambo la ajabu tena machoni mwetu, lakini kwa namna alivyofunga hat trick yake ya mwisho hivi karibuni ameweka alama nyingine kwenye maisha yake ya soka....
View ArticleUONGOZI MPYA WA YANGA UMETANGAZWA BAADA YA KURA ZOTE KUHESABIWA
Wajumbe wa kamati ya uchaguzi ya Yanga, wakihesabu kura za wagombea Yusuf Manji ameshinda nafasi ya uenyekiti wa Yanga kiulaini kutokana na kutokuwa na mpinzani kwenye nafasi hiyo hivyo kupita bila...
View ArticleVideo.HIVI NDIVYO MCHAKATO WA UCHAGUZI WA YANGA ULIVYOKUA.
Yusuf Manji ameshinda nafasi ya uenyekiti wa Yanga kiulaini kutokana na kutokuwa na mpinzani kwenye nafasi hiyo hivyo kupita bila kupingwa kwenye nafasi ambayo alikuwa akiitetea. Clemen Sanga nae...
View ArticleVURUGU UWANJANI ZAWAPONZA RUSSIA, ENGLAND
UEFA imezitahadharisha England na Russia huenda zikaondolewa kwenye michuano ya Euro 2016 kama vurugu zao zilizotokea kwenye mchezo wao wa ufunguzi huko Marseille zitaendelea. Matukio tofauti kabla na...
View ArticleUJERUMANI YAANZA KWA USHINDI NA KUENDELEZA REKODI YA KIBABE ULAYA
Mabingwa wa dunia timu ya taifa ya Ujerumani wameanza michuano ya Ulaya kwa rekodi kwa kuinyuka Ukraine. Ukiachilia mbali kiwango cha juu kilichooneshwa na Toni Kroos na goli la mapema la kichwa...
View ArticleGAME YETU NA POLAND ITATOA MWELEKEO WA KUNDI C-LOW
Mara baada ya mchezo wa Ujerumani dhidi ya Ukraine, kocha wa Ujerumani Jochim Low amewaambia waandishi wa habari kwamba, haikuwa rahisi kupata ushindi dhidi ya Ukraine yenye safu ngumu ya ulinzi...
View ArticleMIAKA 30 IMEPITA TANGU BRAZIL ITOLEWE HATUA YA MAKUNDI COPA AMERICA
Brazil ambazo ni mabingwa mara tano wa Kombe la Dunia wamechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Peru na kutupwa nje ya michuano ya Copa America katika hatua ya makundi kwa mara kwanza baada ya miaka...
View Article#EURO 2016: USIKOSE MECHI HIZI ZA HATUA YA MAKUNDI
Na Naseem Kajuna ITALY VS BELGIUM JUNE 13 Ni nadra sana kwa timu mbili zenye matumaini ya kutwaa kombe hili kukutana hatua ya makundi na ndiyo maana mechi hii inasubiriwa kwa hamu sana na mashabiki....
View ArticleEURO 2016 MATCH PREVIEW: SPAIN VS CZECH
Na Mahmoud Rajab Michuano ya Euro inaendelea tena leo ambapo mbali na michezo mingine, mchezo kati ya Uhispania ya Jamhuri ya Czech utakuwa na uhondo wa aina yake. Huu ni mchezo wa kundi D ambao...
View ArticleMTIBWA SUGAR YATHIBITISHA KUPOKEA OFA NYINGI KUTOKA…
Na Baraka Mbolembole Mtibwa Sugar ya Turiani, Morogoro kupitia kwa msemaji wake Thobias Kifaru imesema kwamba imepokea ofa nyingi kutoka klabu za Azam FC na Simba SC zikiwahitaji wachezaji wake ambao...
View ArticleNI VITA YA KUNDI E EURO 2016, UBELGIJI USO KWA USO NA ITALY, KUTANA NA...
Na Mahmoud Rajab Eden Hazard na Thomas Vermaelen wamepona majeraha yao, ambayo yalikuwa yakitishia uwepo wao katika mchezo wa leo wa kundi E dhidi ya Italy ‘Azzurri’, utakaochezwa katika uwanja wa...
View ArticleSIMBA NI NJIA YANGU NYINGINE-MNYATE
Jamal Simba Mnyate (katikati) amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba SC kwa ada ya uhamisho inayodaiwa kufika Tsh. 15,000,000 Na Baraka Mbolembole KIUNGO-mshambulizi wa zamani wa timu za...
View ArticleVIBABU VYA IRELAND NA VIMBAUMBAU WA UTURUKI: TAKWIMU ZOTE KALI ZA EURO 2016...
Na Eusebius Paul Asalam Aleykum iwe ni salamu yangu ya upendo na heri njema kwa wataalamu wangu wote mnaopenda kupata habari na takwimu bomba za kimichezo. Msimu wa soka la kitabu na magoli...
View ArticleHISPANIA IMEWEKA REKODI MPYA ULAYA BAADA YA KUICHAPA JAMHURI YA CZECH
Hispania imeanza vizuri kampeni za kutwaa taji la mataifa ya Ulaya kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuichapa Jamhuri ya Czech. Bao la kichwa la dakika za lala salama lilofungwa na mlinzi Gerard...
View Article#EURO 2016: MASHABIKI WA ENGLAND WAHUKUMIWA JELA UFARANSA
Jumla ya mashabiki sita wa wa England wamefungwa kutokana na kuhusika katika vurugu zilizotokea jijini Marseille katika michezo ya awali ya Euro mwaka huu, wote wakifungiwa kwenda Ufaransa kwa miaka...
View ArticleMA-STRIKER WA EPL WAPELEKA USHINDI ITALY
Magoli ya Emanuele Giaccherini na Graziano Pelle yameeipa ushindi Italia wa magoli 2-0 dhidi ya Ulelgiji na kuanza vema mbio za kufukuzia taji la Euro 2016. Striker wa Sunderland Giaccherini alianza...
View ArticleJESUS CORONA AIOKOA MEXICO MIKONONI MWA VENEZUELA
Jesus “Tecatito” Corona na Jose Manuel Velazquez walipachika mabao kwenye bonge la game kati ya Mexico na Venezuela mchezo uliomalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1 huku Mexico wakitwaa uongozi wa...
View Article