Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Zidane kamzungumzia mwanae Enzo kwenye mechi ya kwanza na goli

$
0
0

screen-shot-2016-12-01-at-12-34-58-pm
Ni mara chache sana huwa inatokea baba anakua kocha wa mwanae kwenye timu kubwa kama Real Madrid. Hivyo ndivyo inavyotokea sasa hivi kwa Zidane na Enzo.

Enzo mwenye miaka 21 alicheza club ya vijana ya Juventus kabla hajahamia Real Madrid ambapo alikua chini ya baba yake. baada ya Zidane kupewa majuku ya kikosi cha kwanza amemjaribu kwa mara ya kwanza mwanae kwenye mechi ya Copa del Rey jana.

Enzo ameingia mara ya kwanza na amefunga goli, “Nina jivunia kwa Enzo kama kocha na kama baba yake. Najivunia kikosi kizima jinsi walivyocheza leo usiku. Tumepata tulichokitaka huku tukiwapa nafasi vijana wadogo kucheza kwenye mechi ya jana.”

Enzo anavaa jezi yenye jina la Enzo badala ya Zidane ilikuepusha kufananishwa na makali ya baba yake uwanjani. Hili ni goli la Enzo kwenye mechi hiyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles