Siri ya viungo kuwa makocha bora Duniani
Tumeshuhudia makocha wengi wakipata mafanikio makubwa kwenye mchezo wa soka, lakini kikubwa zaidi ni wachezaji wengi ambao walicheza soka katika nafasi ya kiungo wamekuwa wanafanya vizuri katika...
View ArticlePICHA 5: Golikipa wa Medeama ya Ghana ametua Simba
Baada ya Vicent Angban kuonekana ame-relax kutokana na kujihakikishia namba ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha Simba SC, hatimaye timu hiyo imeshashusha golikipa mpya kwa ajili ya kuongeza...
View ArticleAjali 4 za Ndege zilizogharimu maisha ya wachezaji wengi zaidi Duniani
Story ya kuanguka kwa ndege iliyokuwa imebeba wachezaji wa klabu ya Chapecoense ya Brazil imechukua headlines kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii dunia nzima, huku likiwa tukio ambalo...
View ArticleMartial ataitia hasara Man United endapo ataendelea kufunga
Ulikuwa ni usiku mzuri kwa upande wa mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial. Mfaransa huyo alionekana kurejea kwenye ubora wake kenye kikosi cha Jose Mourinho na kufanikiwa kutupia bao...
View ArticleSamatta amepiga mbili, Genk ikiibuka na ushindi ugenini
Mbwana Samatta amefanikiwa kupiga bao mbili wakati KRC Genk ikipata ushindi wa ugenini wa magoli 3-1 dhidi ya Waasland-Beveren katika mchezo wa kuwania taji la Croky. Samatta alianza kufunga goli la...
View ArticleArsenal yasukumwa nje ya EFL
Magoli ya Jordy Clasie na Ryan Bertrand yameitupa nje Arsenal kwenye kombe la EFL na kuipeleka Southampton hatua ya nusu fainali kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1987. Kocha wa Arsenal Arsene Wenger...
View ArticleMtoto wa Zidane amefunga goli kwenye mechi yake ya kwanza Real Madrid
Kocha wa Real Madri Zinedine Zidane akimpa maelekezo mtoto wake Enzo kabla hajaingia uwanjani Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema ilikuwa ni ‘special’ kwa mtoto wake Enzo kufunga goli kwenye...
View ArticleHawa mashabiki wa Arsenal wamewashangaza watu ndani ya Emirates Stadium
Picha kadhaa zilizopigwa kwenye mechi tofauti za Arsenal kwenye uwanja wa Emirates zimeshangaza watu na kaunza ku trend kwenye mitandao. Kwa kawaida inajulikana kwamba shabiki akienda uwanjani lazima...
View ArticleUmtiti katema mbovu kuhusu kikosi cha Peo Guardiola
Kocha wa sasa wa Manchester City alishinda kila taji akiwa na Barcelona kabla hajaenda Bayern Munich. Mwaka huu Barcelona wamesajili Samuel Umtiti ambaye alikua anaifatilia Barcelona tangu ikiwa chini...
View ArticleZidane kamzungumzia mwanae Enzo kwenye mechi ya kwanza na goli
Ni mara chache sana huwa inatokea baba anakua kocha wa mwanae kwenye timu kubwa kama Real Madrid. Hivyo ndivyo inavyotokea sasa hivi kwa Zidane na Enzo. Enzo mwenye miaka 21 alicheza club ya vijana ya...
View ArticleKipa kafunga goli kwa Tik Tak dakika ya 95
Kipa huyu ameingia kwenye vichwa vya habari huko England toka South Africa ambapo ameikoa club yake kupoteza point zote kwenye mechi ya ligi kuu ya South Africa. Kipa Oscarine Masuluke wa Baroka FC...
View ArticleDONE DEAL: Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji
Kiungo mkabaji raia wa Zambia Justine Zulu amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga mabingwa watetezi wa taji la VPL na Azam Sports Federation Cup (FA Cup). Zulu alikua akiichezea...
View ArticleWawa kafanya kweli kwa mzazi mwenzake
BEKI wa zamani wa Azam FC, Serge Pascal Wawa amefunga ndoa na mzazi mwenzake aliyezaa nae watoto watatu. Wawa amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram picha zinazomuonyesha akiwa na mwanamke huyo...
View ArticleRonaldinho & Riquelme wametoa ufafanuzi kuhusu tetesi za kuichezea Chapocoense
Tangu ndege iliyokuwa imebeba Chapocoense alipoangua na kuua idadi kubwa ya wacgezaji wa timu hiyo, kumekuwa na tetesi nyingi zikiibuka kila dakika. Ilikuwepo tetesi kwamba, PSG waliahidi kuchangia...
View ArticleSimlaumu Ngasa kusaini Mbeya City, namlaumu kulazimisha kuondoka Afrika Kusini
Na Baraka Mbolembole MARA baada ya kushinda taji lake la Tatu la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/15 akiwa na kikosi cha Yanga SC, kiungo-mshambulizi, Mrisho Ngasa alijiunga na timu ya Free State...
View ArticleYaliyowahi kutokea kwenye El Clasico
Na Athumani Adam Ni El clasico nyingine ambayo itafanyika siku ya Jumamosi kwenye uwanja wa Camp Nou kati ya FC Barcelona dhidi ya wapinzani wao wakubwa kwenye soka la nchini Hispania, Real Madrid....
View ArticleBushiri si chaguo sahihi lakini anaweza kuwa bora Mwadui FC
Na Baraka Mbolembole CHAGUO la Ally Bushiri kama kocha wa Mwadui FC si baya, lakini nadhani timu hiyo ilihitaji kocha bora na mwenye uzoefu zaidi katika soka la Tanzania Bara ili waepuke kushuka...
View ArticlePambano jipya la Floyd Mayweather lanukia
Mayweather alistafu kucheza boxing akiwa na rekodi ya kushinda 49-0. Sasa kuna hitaju kubwa la mashabiki kutaka Mayweather arudi ulingoni kucheza pambano na bingwa wa UFC Conor McGregor ambae amepata...
View ArticleKama hili lingefanyika Ronaldo asingecheza Manchester
Umaarufu mkubwa aliopata Cristiano Ronaldo akiwa Manchester united labda usingekuwepo tena kama mambo ambayo anazungumza Rais wa zamani wa Barcelona yangetimia. Leo hii Ronaldo ni mchezaji hatari...
View ArticleMourinho anataka Manchester ivunje kibubu kumsajili Neymar
Kutoka kwenye ripoti ya Daily Record ni kwamba kocha wa United ameweka macho kwa Neymar ambae anaonekana anataka sana kutoka nje ya Hispania sasa hivi. Vilabu vya England vimepewa taarifa kuhusu...
View Article