Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

MTAZAME DIDIER DROGBA NA WENZAKE WAKICHEZA ‘SELFIE’ YA KOFFI OLOMIDE

$
0
0

didier drogbaHakuna shaka kuwa nyimbo ya ‘Selfie’ iliyoimbwa na mwananamuziki mkongwe barani Afrika toka nchini DRC Congo Koffi Olomide inazidi kuwa maarufu kila kukicha na kupendwa na watu wa rika na kada tofauti tofauti duniani.

Miongoni mwa watu wanaovutiwa na nyimbo hiyo ni mshambuliaji wa klabu ya Montreal Impact ya nchini Canada Didier Drogba.

Drogba ameonekana akicheza nyimbo hiyo na wenzake katika vyumba vya kubadilishia nguo vya klabu ya Montreal baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi ya Marekani ‘MLS’

Nyimbo ya ‘Selfie’ipo katika albamu ya Koffi Olomide inayojulikana kama ’13th Apostle’ iliyozinduliwa mwezi uliopita ikiwa ni albamu ya 20 ya Koffi Olomide.

Tazama video ya Didier Drogba akicheza wimbo wa’ Ekotite’ au ‘Selfie’ wa Koffi Olomide.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>