UNAFAHAMU ALGERIA WANAKUJA LINI KWA AJILI YA KUKABILIANA NA STARS?
Msafara wa timu ya Taifa ya Algeria (The Desert Fox) unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Alhamis kwa ndege binafsi ya kukodi, ukiwa na jumla ya watu 65 wakiwamo wachezaji 24 tayari kwa mchezo wa...
View ArticleAZAM FEDERATION CUP: THE MIGHT ELEPHANTS YAITUPA NJE AFRICAN WONDERERS
Michuano ya Azam Federation Cup imeendelea kwenye manispaa ya Songea kwa kuzikutanisha The Might Elephant ya songea na African Wanderers ya Iringa. Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Majimaji mjini...
View ArticleTOTO AFRICANS YAITISHA MKUTANO WA DHARURA
Mkutano Mkuu wa Dharula wa Klabu ya Toto Africans unatarajiwa kufanyika tarehe 22 Novemba Mwaka huu jijini Mwanza. Taarifa hiyo imetolewa leo na mwenyekiti wa klabu hiyo Bw. Godwin Aiko wakati...
View ArticleKOCHA WA JANG’OMBE KURUDI KWAO UTURUKI
Kocha mkuu wa Jang’ombe Memik Vurucu (kushoto) siku ambayo aliwasili Zanzibar Kocha mturuki Memik Vurucu wa Jang’ombe Boys ya Zanzibar atalazimika kurudi nyumbani kwao Istanbul, Uturuki kwa ajili ya...
View ArticleSABABU KWANINI POGBA HAFAI KUSAJILIWA NA FC BARCELONA
Vyanzo kadhaa vya habari za michezo duniani vimekuwa vikimhusisha kinda wa kifaransa Paul Pogba na usajili kwenda jijini Catalunya kujiunga na FC Barcelona. Pogba anapaswa kujivuna kwa kuivutia...
View ArticleUNAHAFAMU TOTTI ALILAZIMIKA KUTOA FEDHA KWA POLISI ILI KUMLINDA MTOTO WAKE
Imegundulika kuwa nyota wa klabu ya AS Roma Francesco Totti amekuwa akiwalipa Polisi kwa miaka miwili kuanzia mwaka 2008 na 2010 ili kumlinda mtoto wake wa Kiume Cristian kutoka katika magenge...
View ArticleEXCLUSIVE: WACHEZAJI WA TANZANIA WANAWEZA, KIKUBWA NI JUHUDI, MALENGO NA...
Mbwana Samatta muda mfupi baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Nyota wa Tanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wanaocheza soka la kulipwa kwenye klabu ya TP...
View ArticleSAMATTA AFANYIWA BONGE LA SURPRISE NA FAMILIA YAKE!!
Mbwana Samatta akivalishwa taji na mdogowake muda mfupi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere leo asubuhi Familia ya Mzee Ally Samatta leo ilikuwepo uwanja wa ndege...
View ArticleMOISE KATUMBI: WACHEZAJI WOTE WANGEKUWA NA NIDHAMU KAMA SAMATTA NA ULIMWENGU,...
Shaffih Dauda (kushoto) akifanya mahojiano maalumu na rais wa TP Mazembe Moise Katumbi (kulia) Wakati viongozi wa mpira Tanzania wakipiga kelele kuhusu wachezaji kuwa na nidhamu, rais wa TP Mazembe...
View ArticleMTAZAME DIDIER DROGBA NA WENZAKE WAKICHEZA ‘SELFIE’ YA KOFFI OLOMIDE
Hakuna shaka kuwa nyimbo ya ‘Selfie’ iliyoimbwa na mwananamuziki mkongwe barani Afrika toka nchini DRC Congo Koffi Olomide inazidi kuwa maarufu kila kukicha na kupendwa na watu wa rika na kada tofauti...
View ArticleHII NDIYO RATIBA KAMILI YA STARS KABLA YA MCHEZO DHIDI YA ALGERIA
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inarejea leo nyumbani kwa shirika la ndege la Fastjet, ambapo inatarajiwa kuwasili uwanja wa JK Nyerere...
View ArticleKING KIBADENI AKABIDHIWA MIKOBA KILIMANJARO STARS
Abdallah Kibaden (kushoto) akiwa na kocha mkuu wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limemteua Abdallah Kibadeni kuwa kocha mkuu wa timu wa Taifa ya Tanzania...
View ArticleUchambuzi wa Filamu Cristiano Ronaldo kwenye namba – Rihanna, Man Utd,...
Ni siku mbili tangu filamu ya mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ilipotoka kwa mara ya kwanza na kufanyiwa uzinduzi jijini London – nilipata bahati ya kuitazama filamu hiyo na hapa najaribu...
View ArticleJe Messi anaweza kutamba Britannia kwa Stoke? Barca ingeweza kutwaa EPL?...
“Yeah, but can he do it on a cold rainy night in Stoke. (Ndio, lakini anaweza kufanya anayofanya kwenye usiku wa baridi na mvua pale Stoke?” Huu ni msemo maarufu kwenye soka unaotumika kwa mastaa wa...
View ArticleMIAMI HEAT YAFANYA BIASHARA. MCHEZAJI ALIYESHINDA NAO UBINGWA MARA 2, MARIO...
Miami Heat Ilitangaza Jumanne kwamba imefanya biashara ya mkongwe point guard wao Mario Chalmers kwa kumpeleka kunako klabu ya Memphis Grizzlies . Katika hiyo wachezaji wanne wamehusika katika...
View ArticleMWAMBUSI: MAANDALIZI, NIA, KUJITOA, KUTAISAIDIA STARS DHIDI YA ALGERIA
Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam SIKU chache kabla ya kuwavaa Algeria ‘desert fox’, timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inapaswa kutambua ugumu wa mchezo huo...
View ArticleZITTO: WIZARA YA MICHEZO IJITEGEMEE NA IWE CHINI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshauri kwamba, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Magufuli atakapokuwa akitangaza baraza lake la mawaziri, aipe nafasi...
View ArticleBAADA YA KUFANYA VYEMA TP MAZEMBE, KUNA KILA DALILI SAMATTA AKATIMKIA UFARANSA
Wakati Rais wa TP Mazembe akiwa ameshamuwashia Samatta taa ya kijani tayari kuelekea barani Ulaya kucheza soka la kulipwa, kuna taarifa zinasema nyota huyo tayari ameshapata klabu ambayo inashiriki...
View ArticleHII NDIYO KAULI YA CARLO ANCELOTTI KUHUSU CHELSEA
Kocha wa zamani wa klabu za AC Milan, PSG, Chelsea na Real Madrid, muitaliano Carlo Ancelotti ameelezea tatizo lililopo Chelsea hivi sasa huku akisema kuwa wachezaji wa Chelsea wamekosa morali na...
View ArticlePSG, MADRID WAMVAA EDEN HAZARD CHELSEA
Klabu ya PSG imejitosa kugombana na klabu ya soka ya Real Madrid kuwania saini ya mchezaji Eden Hazard wa Chelsea katika majira ya kiangazi mwakani. Hazard raia wa Ubelgiji amekua akihusishwa hivi...
View Article