Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

JIANDAE KUSHUHUDIA MASHINDANO YA CLUB ZA EPL Vs CLUB ZA MLS

$
0
0

2C1CFCEE00000578-0-image-a-22_1441801120906

Ligi ya marekani inajaribu kufanya mambo mbalimbali ili kujitangaza na kufanya vizuri kwenye biashara kutokana na soko kubwa la wapenda michezo ndani ya . Hivi sasa club za Marekani zinawalipa pesa nyingi wachezaji wanaomaliza kucheza soka Ulaya na kwenda Marekani, lengo moja wapo ni ku-promote ligi hiyo.

Viongozi wa juu wa ligi hizi mbili wamekutana na kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu soka na jinsi gani wanaweza kuziunganisha ligi zao kwa njia mojawapo. Kwenye mazungumzo hayo imesemakana kuna uwezekano wa kuwepo mashindano maalum ya club za EPL na MLS. Mshindi wa ligi ya EPL, ligi ya MLS, mshindi wa FA Cup na mshindi wa US Open Cup wakawa na mashindano ya pamoja.

Kama mashindano hayo yangekuepo sasa hivi tungeona Chelsea, Arsenal, LA Galaxy na Seattle Sounders wakicheza kwa ajili ya title hiyo. Ligi zote mbili zina nafasi ya kufaidika kwenye mashindano haya kama yakianzishwa.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>