HAWA NDIO MAGOLIKIPA SITA BORA DUNIANI
6. Julio Cesar-InterMilan (Brazil) Tuzo binafsi Kipa bora wa Serie A mwaka, 2008–09, 2009–10 Kipa bora wa UEFA mwaka : 2009–10 Kipa bora wa kombe la shirikisho mwaka 2013: FIFA Confederations Cup...
View ArticleROONEY! ROONEY! ROONEY! MFALME MPYA ENGLAND
Jina la mchezaji Wayne Mark Rooney limekua gumzo nchini England wiki hii hasa pale ambapo alikua amebakiza goli moja tu kuwa mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya England, akimpita Sir Bob...
View ArticleROONEY AMWAGA MACHOZI, ATOA UJUMBE MZITO KWA WENZAKE
Baada ya kuvunja rekodi na kuwa mfungaji bora wa timu ya taifa ya England kwa kufikisha magoli 50 hivi sasa, Wayne Rooney alijikuta mwenye hisia kubwa mbele ya wachezaji wenzake na mashabiki waliokuwa...
View ArticleMAYWEATHER: “PACQUIAO ATAKUWA BONDIA BORA BAADA YA MIMI KUSTAAFU”
Bondia na mwanamichezo tajiri zaidi duniani Floyd ‘money’ Mayweather amemtupia maneno ya kejeli bondia mwenza Manny Pacquiao kwamba inabidi asubiri yeye astaafu ndio atabaki kuwa bondia bora. Floyd...
View ArticleKOZI YA MAKOCHA WA MAKIPA YAFUNGWA ZANZIBAR
Makocha wa magolikipa wakiwa wameshika vyeti vyao mara baada ya kumaliza mafunzo yao ya siku saba visiwani Zanzibar Na. Abubakar Kisandu Kozi ya Makocha wa makipa visiwani Zanzibar imefungwa asubuhi ya...
View ArticleJOSE MOURINHO AMETOKELEZEA NA BINTI YAKE MATILDE KWENYE RED CARPET
Kocha wa Chelsea mwenye miaka 52 ametokelezea kwenye red carpet na mwanae wa kike Matilde mwenye miaka 18 wakiwa kwenye sherehe za utoaji wa tuzo za jarida la GQ. Kwenye tukio hilo Mourihno ni moja...
View ArticleADNAN JANUZAJ AMEANZA KUFANYA MAMBO NDANI YA BORUSSIA DORTMUND
Haijamchukua muda mrefu Januzaj kuanza kutupia nyavuni akiwa na timu yake mpya Borrussia Dortmund akitokea Manchester United. Mchezaji huyu mwenye umri mdogo amejiunga na club hii inayoshiriki ligi ya...
View ArticleMESSI AMEPIGA FREE KICK MBOVU HUWEZI KUAMINI KAMA NI YEYE
Sio kila siku Messi ataonyesha maajabu uwanjani kama tunavyotegemea, wakati mwingine anatoa maboko kama wachezaji wengine japokua sio sana. Akiwa kwenye mechi dhidi ya Mexico Messi alipiga free kick...
View ArticleMAJIMAJI FC: “TUKO TAYARI KUIKABILI JKT RUVU JUMAMOSI”
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Majimaji FC ya Songea imekamilisha maandalizi yake kuelekea mchezo wao wa Jumamosi hii dhidi ya JKT Ruvu ya Pwani. Utakuwa ni mchezo wa kwanza wa ligi kuu baada...
View ArticleAIRTEL YATWAA VIKOMBE VINNE AFRIKA MASHARIKI
Katibu Mkuu wa Wizara ya viwanda na Biashara Uledi Abbas Musa (kushoto) akimkabithi kikombe Afisa masoko na biashara wa Airtel, Emmanuel Raphael mara baada ya kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel...
View ArticleJIANDAE KUSHUHUDIA MASHINDANO YA CLUB ZA EPL Vs CLUB ZA MLS
Ligi ya marekani inajaribu kufanya mambo mbalimbali ili kujitangaza na kufanya vizuri kwenye biashara kutokana na soko kubwa la wapenda michezo ndani ya . Hivi sasa club za Marekani zinawalipa pesa...
View ArticleJE, WAYNE ROONEY NI STRIKER BORA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA ENGLAND?
Baada ya Wayne Rooney kufikisha magoli 50 na kuvunja rekodi ya muda mrefu ya striker mwenye magoli mengi kwenye timu ya taifa ya England, maswali mbalimbali yameibuka na watu wanajaribu kujiridhisha...
View ArticleMSIMU WA TATU WA MBEYA CITY, GEMU YA 53, NA UREJEO WA JUMA KASEJA VPL…
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Msimu wa tatu wa ligi kuu kwa klabu ya Mbeya City utaanzia katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Kagera Sugar. City wamekuwa wakicheza na Kagera katika gemu za mwanzo...
View ArticleHUU NDIO UAMUZI WA STEWART HALL KUELEKEA MSIMU MPYA WA VPL
Stewart Hall (kushoto) Kocha mkuu wa Azam FC Azam FC inaendelea na mazoezi kujiandaa na mechi za Ligi Kuu Bara ambapo kocha mkuu wa timu, Stewart Hall amepiga ‘stop’ kikosi chake kucheza mechi za...
View ArticleHAWA NDIO WACHEZAJI WATANO WENYE MAFANIKIO MAKUBWA WAKIWA NA KLABU MOJA NDANI...
5. Jamie Carragher (Liverpool – michezo 737, magoli 5) Beki huyo wa zamani England alicheza michezo 737 akiwa na Liverpool. Carragher (37) alishinda makombe mawili ya FA, kombe la vijana la FA,...
View ArticleORODHA YA WACHEZAJI WATANO WALIOPATA WAKATI MGUMU CHINI YA UTAWALA WA JOSE...
Jose Mourinho ni moja ya makocha wenye heshima kubwa sana katika ulimwengu wa soka, anajulikana kama “Special One” kama ambavyo mwenyewe pia hujiita. Mourinho ametajwa kwenye orodha ya makocha watano...
View ArticleKUELEKEA VPL JUMAMOSI, PATA HISTORIA YA AFRICAN SPORTS ITAKAYOVAANA NA SIMBA
Kikosi cha timu ya African Sports ya Tanga ‘wanakimanumanu’ Unapozungumzia historia ya soka nchini Tanzania hususan mkoa wa Tanga, utakuna na klabu kongwe kabisa ambayo ni African Sports...
View ArticleIJUE HISTORIA YA TOTO AFRICANS KIBOKO YA SIMBA ILIYOREJEA VPL
Kikosi cha timu ya Toto Africans ‘wanankurunkumbi’ Timu ya Toto Africans ya jijini Mwanza imeanzishwa mnamo mwaka 1972 na hapa mcheaji wa zamani wa timu hiyo Halfani Ngassa ambaye ni baba wa mchezaji...
View ArticleHAWA NDIO WANAUME WANAOMNYAMAZISHA ROONEY NA TAIFA LAKE KWA REKODI ALIYOIWEKA...
Na Salym Juma Wiki hii vyombo vingi vya habari vya Uingereza na mataifa yote yaliyo chini ya jumuiya ya madola yalitawaliwa na habari moja pekee. Nadhani kwa unayefuatilia michezo utakuwa una fahamu...
View ArticleSIMBA ITAKUSANYA POINTI 2 AU 3 KABLA YA KUIVAA YANGA KWENYE GAME YA NNE
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Gemu ya kwanza ya Simba msimu huu itakuwa ni ile dhidi ya African Sport katika uwanja wa Mkwakwani, Tanga siku ya Jumamosi hii. Watacheza na JKT Mgambo siku tatu...
View Article