Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EXCLUSIVE INTERVIEW YANGU NILIYOFANYA NA QUINTON FORTUNE NIKIWA MANCHESTER

SHAFFIH : Manchester watacheza dhidi ya Liverpool hivi karibuni…mawazo yako ni yapi juu ya huu mchezo? QUINTON FORTUNE : Bila shaka itakua mechi ngumu ukizingatia Manchester united wamepoteza mchezo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA MECHI YA MAN VS LIVERPOOL : STEVEN GERRARD ASEMA NINGEBAKI ANFIELD...

Kuelekea kwenye mechi muhimu ambayo Liverpool wanayo dhidi ya Manchester united Jumamosi hii, lazima watamkumbuka captain wao Steven Gerrard. Captain wao alikua na uzoefu uwanjani, anaongoza kwa mfano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA WAKALA MENDES NA DE GEA WAKIWA MANCHESTER WA AJILI YA MKATABA MPYA

Wiki chache zilizopita ilibidi wakala huyu afanye makeke ili mkataba usainiwe na De Gea ajiunge na Real Madrid. Lakini kutokana na kile ambacho hakuna hata club moja inakubali ni kosa lake, hadi sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIO FERDINAND FACE TO FACE NA MBAYA WAKE YAYA TOURE`

Kama unakumbuka kwenye mechi ya Man City dhidi ya Man United mwaka 2013 ambapo United ilichapwa 2-1 kulitokea crash kati ya Yaya na Rio. Kwenye mchezo huo hadi Ferdinand alionyesha alama ya kidole...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA MAN UNITED VS LIVERPOOL : TETESI ZINASEMA KWAMBA DE GEA ANAWEZA...

Jana nikiwa hapa Manchester alionekana wakala wa De Gea ambapo baada ya mazoezi inasemakana kulikua na kikao kati ya Van Gaal na De Gea ili kumaliza tofauti zao. Sasa kutokana na sababu za Van Gaal...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MESSI AMWAGIA SIFA WAYNE ROONEY, ASEMA NI BORA KATIKA KIZAZI CHAO

Mchezaji bora mara nne wa dunia, mu-argentina Lionel Messi amemuelezea Wayne Rooney kuwa ni moja kati ya wachezaji bora zaidi katika kizazi chao. Huku akisisitiza Rooney huweka maslahi ya timu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIRI YAFICHUKA: MASTAA WA MAN UTD WALIA NA UKOLONI WA VAN GAAL

Hali si shwari katika kikosi cha Manchester United, wachezaji wana mengi moyoni mwao, kocha Louis Van Gaal hana sifa za kuwa baba wala mlezi, Victor Valdes, Rafael ni baadhi ya wachache waliopata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANCHESTER UNITED VS LIVERPOOL: MECHI MUHIMU ZAIDI ENGLAND WEEKEND HII

Na Simon Chimbo Katika ulimwengu wa soka, karibu kila taifa ama mji kumekuwa kuna utani wa jadi wa timu mbili katika nchi ama mji huo. Hapa kwetu Tanzania, tunazungumzia Simba na Yanga, lakini pia ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJIA GANI ITAMUOKOA STEWART HALL?

Stewart Hall, Kocha mkuu wa Azam FC Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Asikudanganye mtu, hakuna timu iliyo tayari kumvumilia kocha asiye na matokeo mazuri. Muingereza Stewart Hall amerejea kwa mara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA ITAWEZA KUTETEA UBINGWA?

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam   Ligi kuu Tanzania bara inataraji kuanza Jumamosi hii kwa timu 14 kushuka katika viwanja saba tofauti. Ndanda FC ya Mtwara itakuwa nyumbani  Nangw’anda Sijaona...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI MBAYA KWA MASHABIKI WA CHELSEA…

Chelsea wamepata pigo kubwa baada ya kipa wao Thibaut Courtois kupata jeraha la goti litakalomuweka nje kwa takribani miezi miwili.  Thibaut Courtois anatarajiwa kuwa nje kwa takribani miezi miwili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARSENAL ITATOA £1 KWA KILA TICKET YA MECHI Vs STOKE CITY KWA AJILI YA...

Wiki hii habari ya wakimbizi ambao walizama baharini wakijaribu kutoka Syria na kuingia Ulaya ili kutafuta maisha imewa-touch watu wengi sana duniani. Hasa kuna picha ya mtoto ambae alisukumwa na maji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ADEBAYOR BASI TENA KUCHEZA SPURS, KOCHA AMTIMUA

Kocha wa Tottenham Hotspur Mauricio Pochettino amethibitisha kuwa mshambuliaji raia wa Togo Emmanuel Adebayor hatacheichezea tena klabu hiyo ingawa bado ataendelea kupokea mshahara wake wa pauni laki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFRICAN SPORTS VS SIMBA, JE WEKUNDU WA MSIMBAZI WATAVUNJA MWIKO MKWAKWANI?

Kikosi cha Simba kilichocheza dhidi ya Sports Club Villa siku ya ‘Simba Day’ Mchezo wa ligi kuu kati ya African Sports ya Tanga dhidi ya Simba SC yajijini Dar es Salaam ni kati ya mihezo ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACHANA NA MAN U VS LIVERPOOL, HII NDIO RATIBA YA MECHI ZOTE ZA LEO EPL

Leo ligi kuu ya soka nchini England (EPL) itaendelea kwa jumla ya michezo saba kupigwa, mchezo kati ya Manchester United dhidi ya Liverpool ndio umeangazwa na vyombo vingi vya habari duniani kote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAHAMU DONDOO MUHIMU KULEKEA MTANANGE WA TOTO AFRICANS VS MWADUI FC LEO

Kikosi cha Mwadui FC kilichocheza mchezo wa kirafiki na Simba SC mwezi uliopita kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Mchezo kati ya Toto Africans dhidi ya Mwadui FC ni mchezo mwingine mkubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRISONS KUENDELEA KUIBANIA AZAM NDANI YA CHAMAZI?

Kikosi cha timu ya Azam FC Mchezo kati ya Azam FC dhidi ya Tanzania Prisons utakuwa ni mchezo pekee utakaopigwa kwenye jiji la Dar es Salaam ambapo uwanja wa Azam Complex utakuwa kwenye patashika pindi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHABIKI WA ARSENAL MSIKIENI WENGER ALICHOKISEMA BAADA YA KUSHINDWA KUSAJILI...

Arsenal hawana tatizo katika safu yake ya ushambuliaji, hayo ni maneno ya Arsene Wenger ambaye pia anasema uwepo wa Alexis Sanchez, Olivier Giroud na Theo Walcott, unaweza kumpa magoli zaidi ya 20 kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOTTENHAM YAMZUIA MCHEZAJI WAKE KUNUNUA GARI LENYE RANGI NYEKUNDU, YATOA...

Klabu ya Tottenham Hotspur yenye makao yake makuu jijini London imemkataza winga wao mpya mwenye uraia wa Korea Kusini Son Heung-Min, kununua gari lenye rangi nyekundu.  Spurs ambao kesho watajitupa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZI WA KINA MECHI KATI YA MANCHESTER VS LIVERPOOL

Na Nicasius Nicholaus Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Mchambuzi wako Nicasius anakuletea kona tano za kila upande zitakaoamua mchezo huu. kwa kuanza na Manchester United zifuatazo ni njia tano...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>