Leo ligi kuu ya soka nchini England (EPL) itaendelea kwa jumla ya michezo saba kupigwa, mchezo kati ya Manchester United dhidi ya Liverpool ndio umeangazwa na vyombo vingi vya habari duniani kote kutokana na ukweli kwamba mhezo huo ndio mkubwa kulingana na upinza wa timu hizo mbili zenye mafanikio makubwa kwenye ligi hiyo.
Ukiachana na mchezo huo, kunamichezo mingine sita itakayochezwa kwenye ligi hiyo ambayo ratiba yake kamili ipo hapa chini, angalia kujua timu gani zitapambana kwenye michezo hiyo.