#EURO2106: MCHEZO WA KUNDI B SLOVAKIA VS ENGLAND, LEO NI KUSUKA AU KUNYOA LEO
Na Mahmoud Rajab England na Slovakia wanaingia uwanjani kusaka tiketi ya kucheza hatua ya 16 bora, mchezo wa kundi B utakaofanyika majira ya saa nne usiku kunako dimba la Stade Geoffroy-Guichard...
View ArticleKAMA ULIKUWA HUJUI, HII NDIYO SABABU KWANINI MECHI ZA MWISHO ZA MAKUNDI...
Na Naseem Kajuna Michuano ya Euro 2016 imeendelea jana kwa droo ya 0-0 kwenye mechi ya Ufaransa dhidi ya Switzerland na ushindi wa 1-0 wa Albania dhidi ya Romania Na leo kutakuwa na mechi nyingine...
View ArticleJICHO LA 3: MO BEJAIA 1-0 YANGA, ‘WAKIMATAIFA WANAOISHI KATIKA FIKRA ZA...
Na Baraka Mbolembole Kuelekea mchezo wao wa kwanza wa CAF Confederations Cup 2016, mabingwa wa Tanzania walijitahidi kufanya kila jitihada kuhakika wanapata kambi bora yenye utulivu, na walitua...
View ArticleBALE ATOA SABABU ZA KUBADILISHA MTINDO WA UPIGAJI FAULO, VIPI KUHUSU KUMUIGA...
Gareth Bale ametolea ufafanuzi juu ya kwanini amebadilisha staili yake ya kupiga mipira ya adhabu na kuamua kutafuta namna nyingine ambayo inaanza kutoa matunda hasa katika michuano ya Euro mwaka huu....
View ArticleVIDEO;PENGO LANGU LILIONEKANA MECHI YA JANA-JUMA ABDUL
Mabingwa wa soka la Tanzania bara Yanga SC wameanza vibaya kampeni zao za kuwania kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupoteza mchezo wao wa kwanza kwa bao 1-0 dhidi ya MO Bejaia ukiwa ni chezo wa...
View ArticleSHABIKI WA NDONDO CUP AMUUZIA DR. MWAKA I PAD 4 KWA SH. 500,000
Mdhamini mkuu wa mashindano ya Sports Extra Ndondo Cup Dr. Juma Mwaka amemwaga shilingi 500,000 kwa kikundi cha ushangiliaji cha timu ya Keko Furniture kilichokuja uwanjani kwa style ya kipekee wakati...
View ArticlePICHA 10: KILIVYO-HAPPEN NDONDO CUP UWANJA WA BANDARI
Kama kawaida utamu wa Ndondo Cup unazidi kunoga kadiri siku zinavyozidi kuyoyoma mbele. Mashindano haya yanaongezwa msisimko na mashabiki nje ya uwanja ambao kila siku wamekuwa wakija kwa style...
View ArticleENGLAND IMESHINDWA KUONGOZA KUNDI B EURO 2016
England imeshindwa kuongoza Kundi B la michuano ya Euro 2016 baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana na Slovakia katika mchezo wa mwisho wa kundi hilo uliochezwa huko Saint-Etiene, Ufaransa....
View ArticleMAJIBU YA PUMA BAADA YA SHUTUMA NYINGI KWA JEZI ZAO ‘FEKI’
Mapema leo nyota wa Uswizi XHERDAN SHAQIRI alikaririwa akisema “Puma hawawezi kutengeneza kondom” baada ya mchezo wao dhidi ya Ufaransa kufuatia kushuhudia jezi za wachezaji wenzake wanne...
View ArticleASANTE DIMITRI PAYET, ACHA NIFUNGE UKURASA WAKO
Na Brian Marian Mrope (Gascoigne Brian) Kulikuwa na Ronaldinho mmoja tu katika ulimwengu huu. Akaja Xavi na zile pasi zake nae ameenda zake. Juninho yule mchawi wa mipira iliyokufa nae ameenda na...
View Article#EURO2016: CROATIA KUTOBOA MBELE YA SPAIN KUNDI D LEO?
Na Mahmoud Rajab Timu mbili zenye nguvu katika kundi D, Croatia na Uhispania zinakutana leo katika mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi utakaochezwa majira ya saa 4 usiku kunako dimba la Nouveau...
View ArticleMECHI 28 COPA, 28 EURO: MAKIPA WANATESWA MAREKANI, WASHAMBULIAJI WAMEDODA...
Na Baraka Mbolembole KABLA ya ‘pambano la michuano’ kati ya wenyeji wa michuano ya Copa America 2016, Marekani vs Argentina Alfajiri ya kuamkia siku ya kesho, wachezaji mastaa kama Leonel Messi,...
View ArticleMCHEZAJI MZEE ZAIDI DUNIANI AWEKA REKODI MPYA YA UFUNGAJI
Na Naseem Kajuna Nywele zake zimebadilika rangj na miaka imechukua miguu yake lakini akiwa na miaka 49 Kazoyushi Miura, Jumapili alionesha kwamba bado hayukotayari kustaafu baada ya kuweza kuvunja...
View ArticleHII NDIYO SIRI YA ITALY KUZIANGAMIZA KIRAHISI TIMU PINZANI
Katika mchezo wa soka, kama kuna eneo linalotakiwa kuwa la kwanza kutupiwa macho kwa umakini basi ni safu ya ulinzi. Kama timu ina udhaifu mkubwa katika safu ya ulinzi, basi ama hakika haiwezi kuwa...
View ArticleSIKU KOCHA WA WEST HAM UNITED HARRY REDKNAPP ALIMPOCHEZESHA SHABIKI KWENYE MECHI
Na Naseem Kajuna Soma stori hii ikihadithiwa na kocha wa zamani wa Tottenham na West Ham Harry Redknapp kuhusu siku aliyomchezesha shabiki kwenye mechi. Mwaka 1994 katika klabu ya West ham tulikuwa na...
View ArticleVideo: HII HAPA SPORTS BAR YA CLOUDS TV JUMATATU WIKI HII
Michezo mbalimbali iliendelea wiki iliyopita katika viwanja mbalimbali na matukio mengi ya kimichezo yaliendelea, Clouds TV kupitia kipindi chake michezo (Sports Bar) imekuandalia habari mbalimbali za...
View Article‘TP MAZEMBE SI ILE YA SAMAGOAL, ILA YANGA MNAMJUA MTU HATARI KALABA?
Na Baraka Mbolembole Baada ya kupoteza game ya kwanza ugenini dhidi ya MO Bejaia ya Algeria siku ya Jumapili iliyopita, mabingwa wa Tanzania bara, Yanga SC watawakabili mabingwa mara tano wa...
View ArticleREAL MADRID YAAMUA KUMREJESHA MORATA
Real Madrid leo wamethibitisha kumsajili straika wa Juventus Alvaro Morata kwa ada ya paundi milioni 23, wakitekeleza kipengele walichokubaliana wakati wakati wakiwauzia mchezaji huyo miaka miwili...
View ArticleKICHAPO CHA CROATIA KINAIKUTANISHA SPAIN NA ITALY 16 BORA
Spain itakutana na Italy kwenye hatua ya 16 bora ya michuano ya Euro 2016 baada ya kumaliza katika nafasi ya pili katika Kundi D kufuatia kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa Croatia ambao wameongoza kundi...
View ArticleEXCLUSIVE: NIZAR KHALFAN AMEZIKATA RASTA ZAKE ALIZODUMU NAZO KWA MIAKA 12!!
Mwonekano mpya wa Nizar Khalfan baada ya kukata rasta zake na kuzibakiza chache sehemu ya nyuma ya kichwa (karibu na shingo). Nizar alidumu na rasta zake ambazo alianza kuzifuga miaka 12 iliyopita...
View Article