Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIONEL MESSI AWEKA REKODI MPYA YA UFUNGAJI ARGENTINA IKITINGA FAINALI COPA...

Lionel Mesi sasa anaongoza orodha ya wafungaji katia taifa la Argentina baada ya kuopiga mkwaju wa free-kick uliozama moja kwa moja kambani wakati Argentina ikiiangamiza USA kwa bao 4-0 kwenye mchezo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RONALDINHO NI MCHEZAJI BORA ZAIDI YA RONALDO NA MESSI – DECO

Na Naseem Kajuna Deco amesema kwamba Ronaldinho alikuwa na kipaji zaidi ya Cristiano Ronaldo na hata Messi. Mchezaji huyu wa zamani alicheza kwenye Barcelona  pamoja pamoja na Messi na Ronaldinho na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 7: ‘HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA’, DAUDA Jr UWANJANI AKIJIFUA

Ule usemi wa ‘mbuyu ulianza kama mchicha’ nauona hapa, Dauda-Solskjaer Dauda ameanza kuonesha kuusudu mchezo wa soka na tayari ameanza kujifua. Wazazi mnatakiwa kuwapa-support watoto kwa kile...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

#EURO2016: NI VITA YA KUNDI F URENO VS HUNGARY, RONALDO KUVUNJA MWIKO LEO?

N Mahmoud Rajab Ureno leo wanakutana na Hungary kuwania nafasi ya kufuzu kuelekea hatua ya 16 bora katika mchezo wa kundi F utakaofanyika kunako dimba la Stade des Lumieres lililopo manispaa ya Lyon....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIUZIO: ZESCO ‘ISIYO KAMILIKA’ ILIWAFUNGA AL AHLY, LENGO NI KUTINGA FAINALI…

Juma Luizio-mchezaji wa timu ya Zesco United ya Zambia Na Baraka Mbolembole Mechi ya kwanza ya hatua ya makundi CAF Champions League ilikuwa mbaya kwa mabingwa mara nane wa kihistoria, Al Ahly ya Misri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HANS AMETAJA KILICHOINYIMA YANGA USHINDI

Baada ya Yanga kushindwa kupata pointi tatu katika mchezo wake wa tatu mfululizo kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ikiwa ni hatua ya makundi, mkufunzi mkuu wa timu hiyo Hans van Pluijm...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSUVA: YANGA BADO INANAFASI YA KUSONGA MBELE

Winga wa Yanga Simon Msuva anaamini klabu yake bado inanafasi ya kusonga mbele kwenye hatua ya nufu fainali ya kombe la shirikisho Afrika licha ya kuwa na pointi moja pekee kwenye Kundi A...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TULIJUA WACHEZAJI WA KUWADHIBITI YANGA – KOCHA MEDEAMA

Kocha wa kikosi cha Medeama Pride Yaw Owusu amesema, walikuwa wanajua wachezaji gani nyota wa Yanga wanaotakiwa kuchungwa ili kuwadhibiti. Japo hakuwataja kwa majina ni wachezaji gani ambao walitakiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMA ABDUL – HATUKUCHEZA VIZURI

Beki wa kulia wa Yanga Juma Abdul amesema tiku yake haukucheza kwa style yao iliyozoeleka kutokana na wachezaji kuwa kwenye tension kubwa ya kutafuta matokeo kwenye mchezo wao dhidi ya Medeama. Abdul...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATA ULAYA WANAMJUA JERRY NA MAGUFULI – MURO

Kufungiwa mwaka mmoja kujishughulisha na masuala ya soka hakumnyimi Jerry Muro kuishangilia timu yake ya Yanga, na alifanya hivyo wakati wa mchezo wa kimataifa wa kombe la shirikisho Afrika dhidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARAKA WANGU KWA TFF: “NI TFF PEKEE INAWEZA KULIFANYA SOKA LETU LIWE BORA...

Na Alcheraus Mushumbwa TFF – ni kifupi cha ‘Tanzania Football Federation’ kwa kimombo, yaani ‘Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania’ kwa Kiswahili lugha yetu adhimu. Ni shirikisho au taasisi ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIGEZO 9 VINAVYOZINGATIWA KUPANGA BEI YA MCHEZAJI

Na Mahmoud Rajab Miaka ya hivi karibuni tumeona mchezo wa soka duniani ukivamiwa na matumizi makubwa ya fedha hasa katika masuala ya usajili wa wachezaji. Mwenendo wa usajili katika mchezo wa soka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOP 6 YA WACHEZAJI WANAOMILIKI MAGARI YA KIFAHARI BAADA YA RONALDO KUSHUSHA...

Soka ni moja ya michezo maarufu zaidi ulimwenguni ambapo wachezaji huvuna mamilioni ya fedha. Kutokana na hali hiyo wachezaji humiliki mali nyingi yakiwemo magari ya kifahari ambayo hutokana na pesa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO MANNE MAKUBWA YALIYOJIRI KWENYE MCHEZO WA MAN UNITED V WIGAN

Jose Mourinho kwa mara ya kwanza jana alisimama kama kocha wa Manchester United kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Wigan Wigan Athletic na kushuhudia timu yake ikipata ushindi wa mabao 2-0, magoli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMA ABDUL MCHEZAJI BORA VPL 2015/16

Usiku wa Jumapili Julai 16 zimetolewa tuzo kwa timu, wachezaji na makocha kutokana na kufanya vizuri kwenye ligi kuu Tanzania bara katika msimu wa 2015/16 ambao ulimalizika mwezi Mei kwa Yanga kuibuka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: MATUKIO 18 YALIYOBAMBA TUZO ZA VPL 2015/16

Wachezaji wote walioshinda tuzo za ligi kuu Tanzania bara wakiwa kwenye picha ya pamoja Wadau wa soka la Bongo walikusanyika usiku wa Julai 16 kwa ajili ya kushuhudia ugawaji wa tuzo mbalimbali kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIKASA NA FIGISU ZA LIGI YA TANZANIA (Part II)

Na Zaka Zakazi Ligi ya Tanzania ilianza mwaka 1965 ikiitwa mashindano ya kutafuta klabu bingwa ya taifa, au ligi ya taifa. Katika sehemu ya kwanza tuliona namna ambavyo mechi ya watani wa jadi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMATTA AMEZUNGUMZA NA SPORTS EXTRA BAADA YA KUFUNGA GOLI KWENYE MCHEZO WA...

Mtanzania Mbwana Samatta aliweka rekodi ya kufunga katika michuano ya Europa League baada ya timu yake ya Genk kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 mbele ya Budućnost ya Montenegro. Clouds FM kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IVO MAPUNDA ALICHEZEA TIMU ZOTE KATIKA ‘DAR DERBY,’ SASA ANATUA KWA MAHASIMU...

Na Baraka Mbolembole GOLIKIPA namba moja wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na vilabu vya Tanzania Prisons, Moro United, Yanga SC, St.George ya Ethiopia, African Lyon, Gor Mahia,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYOTA WA YANGA AJIUNGA NA MBEYA CITY

Klbu ya Mbeya City kupitia account yake rasmi ya Instagram, imethibitisha kumsajili Rajab Zahir kutoka mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga SC. Kikosi hicho cha Kinnah Phiri hakijaweka wazi...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>