Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha, Video: Mke wa David Beckham alivyotembelea Kenya

Mwanamitindo Victoria Beckham ambaye ni mke wa star wa mstaafu wa soka David Beckham ametembelea nchini Kenya kwa ajili ya kampeni ya Beyond Zero  inayosimamiwa na First Lady wa nchi hiyo mama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: Mshambuliaji wa Everton azuga kaumia uwanjani kukwepa kukamatwa na polisi

Ecuador iliwafunga Chile ambao ni mabingwa mara mbili wa kombe la bara la Amerika Kusini katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia siku ya Alhamisi lakini matokeo hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: Neymar avunja rekodi Brazil kwa damu

Superstar wa Barcelona Neymar Jr ameendeleza rekodi yake ya kupachika mabao kwenye timu yake ya taifa wakati Brazil ikiichapa Bolivia kwa bao 5-0 kwenye mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ligi ya wanawake hadi November

Timu 12 zinatarajiwa kushiriki Ligi ya Taifa ya Wanawake inayotarajiwa kuanza Novemba mosi, mwaka huu kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Maendeleo ya Soka la Wanawake na Shirikisho la Mpira wa Miguu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAF kukagua CCM Kirumba

Wataalamu wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), wanatarajiwa kutua nchini wakati wowote kuanzia sasa kwa ajili ya kukagua Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Huu ni utaratibu wa CAF...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uganda yaing’ang’ania Ghana kufuzu Kombe la Dunia

Timu ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ imefanikiwa kupata ponti moja dhidi ya Ghana kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi E kuwania kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi. Waganda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: Ronaldo ameweka rekodi nyingine ya kucheka na nyavu

Cristiano Ronaldo amefunga magoli manne wakati Ureno wakitoa kichapo cha magoli 6-0 dhidi ya Andorra kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hleb awatabiria Arsenal ‘treble’ msimu huu

Mchezaji wa zamani wa Arsenal Alexander Hleb anaamini kwamba kikosi cha sasa cha Arsene Wenger kina uwezo wa kubeba mataji matatu kwa mpigo msimu huu. Arsenal wamekuwa na matokeo mazuri katika michezo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rekodi za Argentina ikiwa na Messi na bila Messi kufuzu Kombe la Dunia

Miamba ya soka la bara la Amerika ya Kusini timu ya taifa ya Argentina ililazimishwa sare ya pili mfululizo na Peru kwa kufungana magoli 2-2 ikiwa imetoka kupata matokeo kama hayo mwezi uliopita dhidi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: Sturridge aweka rekodi kwenye maisha yake ya soka

Usiku wa Jumamosi ulikuwa ni maalum kwa mshambuliaji Liverpool Daniel Sturridge. Sturridge alianza kwenye kikosi cha kwanza cha England kilichocheza dhidi ya Malta ikiwa ni mchezo wa kwanza kwa Gareth...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mechi 8, Pointi 16, magoli 8 ya kufunga, magoli 3 ya kufungwa, Stand United...

Na Baraka Mbolembole LICHA ya kutolipwa mishahara yao kwa takribani miezi mitatu mfululizo, wachezaji wa Stand United wameendelea kufanya kazi yao uwanjani huku mkufunzi Mfaransa, Patric Liewig naye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nimeziwaza Yanga na Simba mara 10

1. Biashara ya soka inakua kila kukicha ndio maana hawa wawekezaji wamezitamani na sisi tumewapa kwa sababu tumechoshwa na wezi walikuwepo. Sio kwa sababu tumeridhika. 2. Tamaa ya mashabiki ni matokeo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Messi amedhihirisha hataki kustaafia soka Barcelona

Loe Messi anataka kipengele cha kumruhusu kuihama Barcelona kwenye mkataba wake mpya. Hata hivyo mshindi huyo mara tano wa Ballon d’Or hatarajii kuihama Barcelona hivi karibuni, anataka kuhakikisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: Dogo wa miaka 14 acheza mechi ya wakubwa Uturuki

Wiki iliyopita Celtic ilifanya jambo ambalo liliushangaza ulimwengu kwa kumuingiza uwanjani mtoto wa miaka 13 Karamoko Dembele kwenye mechi ya vijana wa U20. Jumamosi miamba ya soka ya Uturuki,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa mpya kwa wanachama wa Yanga

Klabu ya Yanga inapenda kuwatangaazia wanachama wote wa Young Africans Sports Club (Yanga) kuwa patakuwa na mkutano mkuu wa dharura siku ya Jumapili ya tarehe 23/10/2016. Wanachama wote mnaombwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simba, Yanga, ruksa uwanja wa Uhuru

Bodi ya ligi Tanzania imethibitisha timu za Simba na Yanga zitautumia uwanja wa Uhuru kwa mechi zao za nyumbani baada ya serikali kuzizuia kuutumia uwanja wa taifa kama uwanja wao wa nyumbani kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simba, Mbeya City, zazua kizazaa uwanja wa Sokoine

Pambano la Mbeya City vs Simba limeanza kushika kasi mkoani Mbeya baada ya Mbeya City kulalamikia kitendo cha Simba kutaka kufanya mazoezi jana jioni kwenye uwanja wa Sokoine. “Sisi wakati tunaendelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msimamo wa Julio kuhusu kustaafu kufundisha soka la Bongo

Licha ya uongozi wa Mwadui FC kumkatalia kocha wao Jamhuri Kihwelu Julio kujiuzulu kuifundisha timu hiyo, Julio bado ameendelea kushikilia msimamo wake kwamba hatoendelea kufundisha soka la Bongo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utafiti: Messi nafasi ya 4, Ronaldo nafasi ya 23 list ya wachezaji bora wa...

Kuna list imetoka inayowahusu wakali wawili wa La Liga Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, ambayo imeibua mijadala mikubwa. Umefanyika utafiti unaohusisha historia na takwimu za soka la Hispania ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video- Kadi ya kwanza ya kijani yatolewa nchini Italy

Wiki hii historia mpya imewekwa nchini Italy baada ya mshambuliaji wa Vicenza inayoshiriki Ligi ya Serie B, Cristian Galano kuzawadiwa kadi ya kijani kwa kucheza mchezo wa kiungwana (fair play)....

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>