Masikini Rooney!
Wayne Rooney kwasasa anapitia katika kipindi kigumu kwenye maisha yake ya soka. Tayari ameshapoteza nafasi ya kuanza katika kikosi cha Manchester United sasahivi anapanda mlima mwingine kuhakikisha...
View ArticleMiezi 12, Mechi 54 michuano yote, kupoteza 7, Yanga haihitaji kocha mwingine...
Na Baraka Mbolembole MABINGWA mara mbili mfululizo wa ligi kuu Tanzania Bara watalazimika kuishinda Mtibwa Sugar siku ya Jumatano hii ili ‘kuwaziba’ midomo wale wote wanaibeza timu hiyo msimu huu....
View ArticleNje ya pitch- SAFA waliitumia BANYANA BANYANA, TFF itumieni Kill Queens
Na Athumani Adam Kabla ya ligi ya wanawake nchini Afrika Kusini, kampuni ya masuala ya petroli iitwayo Sasol walikuwa wadhamini wakuu (official sponsor) wa timu ya taifa ya wanawake wa nchi hiyo...
View ArticleVideo: Ronaldo alivyofurahia selfie na shabiki
Kabla ya kipindi cha pili kuanza mchezo kati ya Faroe Islands na Ureno, shabiki alikimbia na kuingia uwanjani akitaka kupiga picha (selfie) na star wa Real Madrid Cristiano Ronaldo katika mchezo wa...
View ArticleVideo: Rooney akubali kupigwa chini England
Kuna story zilivuja kwamba Gareth Southgate amepanga kumtema Wayne Rooney kwenye mchezo wa England dhidi ya Slovenia, kocha huyo wa muda wa kikosi cha ‘Simba watatu’ amethibitisha uvumi huo...
View ArticleVideo: Goli la Benteke lililovunja rekodi ya Dunia kuwania kufuzu World Cup 2018
Striker wa Crystal Palace Christian Benteke ameweka historia usiku wa October 10 kwa kufunga goli sekunde ya 7 baada mchezo kuanza wakati Ubelgiji ikicheza dhidi ya Gibraltar. Romelu Lukaku...
View ArticleVideo: Goli la Pogba la mita 30 lilivyoipa ushindi Ufaransa dhidi ya Uholanzi
Tayari yalishaanza maneno kwa kocha wa Ufaransa Didier Deschamps kwamba ampige chini kiungo wa Manchester United Paul Pogba kwenye kikosi cha Ufaransa kilichocheza dhidi ya Uholanzi. Nyota huyo mwenye...
View ArticleSiri ya kiwango cha CR7 kwa sasa…
Na Victor Mengi Huwezi ukawa unampenda mchezaji na hujui kwanini unampenda mchezaji huyo, mimi ni mpenzi sana wa mchezaji Criastiano Ronaldo. Ninasababu mia kwanini ninampenda mchezaji huyu, Cristiano...
View Article‘Guardiola ana majivuno zaidi ya Mourinho’
Kocha wa klabu ya Zenit St Petersburg Mircea Lucescu amesema kwamba, kocha waManchester City Pep Guardiola ana maringo zaidi ya hasimu wake mkubwa kocha wa Manchester United Jose Mourinho. Kocha huyo...
View ArticleVPL: Yanga SC v Mtibwa Sugar, Mabingwa watetezi wataendelea kuwanyanyasa Mtibwa?
Na Baraka Mbolembole MECHI 7 za ligi kuu ya kandanda Tanzania Bara ( VPL) zinataraji kuchezwa Jumatano hii. Mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga SC wataikaribisha Mtibwa Sugar FC ya Turiani, Morogoro...
View ArticleNeno la Dauda kwa mkewe na mwanae wakisherekea birthday yao
October 11 ni siku ambayo Solskjaer na mama yake wanaadhimisha siku za kuzaliwa kwao, ni furaha ya aina yake ambapo siku ya kuzaliwa (Birthday) ya mama na mtoto zimeangukia siku moja. “Leo ni siku...
View ArticleMsimamo wa TFF kuhusu Yanga kukodishwa kwa kampuni ya Yanga Yetu Limited
Siku chache baada ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT) kutangaza kutotambua mabadiliko ya klabu ya Yanga kukodishwa na kampuni ya Yanga Yetu Limited, leo October 11 shirikisho la soka nchini TFF...
View ArticleUbovu wa Theo Walcott na ubinafsi wa Sturridge wainyima ushindi England
Haijalishi ni ubovu kiasi gani waliouonesha kwenye michuano ya Euro 2016, ni ngumu kuamini England wangetoka uwanjani vichwa chini baada ya pambano dhidi ya Slovenia. Wakiwa chini ya kocha wa muda...
View ArticleSababu za legend wa Man United Eric Cantona kuwa shabiki wa Sporting Club de...
Ni muda mrefu umepita tangu Eric Cantona alivyostaafu soka lakini bado anamapenzi ya dhati na mchezo huu. Mfararansa huyo aliamua kustaafu mapema akiwa na umri wa miaka 30 na kukimbilia kwenye tasnia...
View ArticleVideo: Style mpya ya dabbing imeanzishwa Free State Stsrs Afrika Kusini
Style ya dab kwenye soka Style ya Dap ialanza kupata umaarufu kwenye mchezo wa soka kuanzia mwaka uliopita, baada ya kuwa maarufu kutokana na kutumiwa na Cam Newton star wa NFL na Carolina Panthers....
View ArticleBaada ya kuchinja kondoo, Iraq yapata ushindi wa kwanza kufuzu Kombe la Dunia...
Hii ni katika harakati za kuhakikisha Iraq inafuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 zitakazofanyika Urusi. Hadi sasa Iraq bado hiana ponti katika mchakato wa kuwania kufuzu fainali hizo,...
View ArticleCourtois ‘amwakia’ Hazard Ubelgiji
Thibaut Courtois alichukizwa na kitendo cha mchezaji mwenza wa Chelsea Eden Hazard kufanya masihara ambayo yangepelekea kuruhusu goli na kuharibu clean sheet katika mchezo ambao Ubelgiji walishinda...
View ArticlePSG wako tayari kutoa €222 m kuinasa saini ya Neymar Jr
Paris Saint-Germain wameamua lengo lao kuu ni kumnasa mshambuliaji wa Brcelona Neymar Jr katika kipindi cha dirisha lijalo la usajili wa majira ya kiazi. Mabingwa hao wa Ligue 1 wako tayari kuweka...
View ArticleMchezaji kushuka kiwango si sababu ya yeye kuzomewa
Kushuka kwa kiwango cha mchezaji si sababu ya yeye kuzomewa, washabiki tumekuwa na tabia zisizo na aibu na naziita tabia za kinafiki kwa sababu humpenda sana mchezaji anapokuwa ‘ona fire’ na kosa tu...
View ArticleNusu karne ya England bila Kombe la Dunia
Na Rashid Seif Maisha yanaenda kasi sana, matukio mbalimbali yanatokea kilasiku, historia zinaandikwa, moja katika jambo ambalo pengine litakaa kwenye vichwa vya habari kwa muda mwingi ni mwaka ambao...
View Article