‘Inabidi ifike mwisho sasa kufungwa na Simba, tumejipanga kupinga hilo’– Ditram
Na Baraka Mbolembole MSHAMBULIZI wa Mbeya City FC, Ditram Nchimbi anaamini kikosi chao kina ubora wa kutosha kuifunga Simba SC katika pambano la ligi kuu Tanzania Bara jioni ya leo. City itawavaa...
View ArticleAudio: Azam msikiliezeni Pluijm kwa makini
Kocha Mkuu wa Yanga amesema wanatakiwa kujiandaa vizuri kuelekea mchezo wao dhidi ya Azam kwasababu kila timu inapocheza na Yanga inajipanga vizuri kwa lengo la kuwafunga mabingwa watetezi wa ligi kuu...
View ArticleVideo: Wanaonizomea wananipa mzuka – Msuva
Ukiachana na ushindi wa magoli 3-0 walioupata Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar, gumzo kubwa katika mchezo huo ilikuwa ni kuzomewa kwa winger wa timu hiyo Simon Msuva. Msuva yeye anasema haumizwi kichwa na...
View ArticleMsuva ametaja goli lake bora baada ya kufikisha magoli 50 Yanga
Goli la Simon Msuvu dhidi ya Mtibwa Sugar limekamilisha idadi ya magoli 50 ya kijana huyo tangu alipoanza kuichezea Yanga katika michuano yote. Msuva alifunga bao la pili kwenye mcheo huo uliomalizika...
View ArticleNje ya pitch – Mzee Akilimali ana hoja kuelekea mfumo mpya
Mzee Ibrahim Akilimali-Katibu Baraza la Wazee wa Yanga Na Athumani Adam “Mwaka 2006 tulikuwa na mgogoro kati ya Yanga asili na Yanga kampuni, tukafikia muafaka kwamba kuwe na Yanga SC pamoja na Yanga...
View ArticleWenger amekuja na kauli mpya juu ya athari za kujaza wachezaji vijana
Kocha wa Arsenal Arsenal Wenger amesema kukaa kwake muda mrefu kwenye soka kumemfunza vitu vingi sana na kutanabaisha kwamba, ili timu iweze kuwa na mafanikio inahitaji wachezaji wenye umri kati ya...
View ArticleBaada ya kupanda daraja Sweden, Kilimanjaro FC kusajili Watanzania…
Na Baraka Mbolembole BAADA ya kufanikiwa kupanda daraja, kutoka ligi daraja la saba hadi daraja la sita, Kilimanjaro FC-timu iliyoanzishwa na Watanzania nchini Sweden inakusudia kuongeza nguvu katika...
View ArticleUmoja ndiyo siri ya mafanikio Simba- Mayanja
Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amesema wamejisikia furaha kubwa kutokana na ushindi wa mabao 2-0 waliopata kwenye mchezo wa jana wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City uliofanyika...
View ArticleGoli la kwanza la Obrey Chirwa Yanga, ameipata funguo yake?
Na Baraka Mbolembole MSHAMBULIZI raia wa Zambia, Obrey Chirwa amefanikiwa kufunga goli lake la kwanza akiwa mchezaji wa Yanga SC. Mchezaji huyo aliyesajiliwa kwa kitita cha zaidi ya milioni 200 mwezi...
View ArticleVipigo vitatu, mechi nne mfululizo pasipo ushindi, Azam FC inaelekea wapi?
Na Baraka Mbolembole AZAM FC imepoteza mchezo wa tatu kati ya minne ya mwisho katika ligi kuu Tanzania Bara msimu siku ya jana Jumatano. Kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Stand United kimeiporomosha timu...
View ArticlePogba ampa somo Mourinho ili aoneshe ubora wake
Paul Pogba amekiri kwamba angependa kuchezeshwa mbele zaidi kwenye klabu yake ya Manchester United na kusema kuwa sehemu anayocheza kwa sasa inamgharimu sana. Mfaransa huyo alirejea Old Trafford kwa...
View ArticleLIVERPOOL VS UNITED… KLOPP VS MOURINHO… UNAKUMBUKA?
Kwa msaada wa Daily Mail. Borussia Dortmund 2-1 Real Madrid – Champions League Kundi D, October 2012 Hii ilikuwa mara ya kwanza wanakutana ambapo ilishuhudia Klopp akiwa na klabu yake ya Borrusia...
View ArticleChidiebere kutozungumza zaidi ya wiki mbili
Mshambuliaji wa Stand United ya Shinyanga Abasirim Chidiebere huenda asizungumze kwa zaidi ya wiki mbili kutokana na nyaya maalum alizofungwa kwenye taya zake na meno ili kumsaidia kupona majeraha...
View ArticleRashford amefichua beki anayemuogopa zaidi EPL
Marcus Rashford amemtaja Laurent Koscielny kama beki mgumu kabisa kuwahi kukutana naye mpaka sasa kwenye maisha yake ya soka. Rashford amekuwa kwenye kiwango bora tangu apate nafasi kwa mara ya kwanza...
View ArticleMtazamo wa ‘King Kibadeni’ kuelekea mabadiliko ya Simba na Yanga
Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania ambaye kwa sasa ni mwalimu wa soka Abdallah Kibadeni ‘King Kibadeni’ ameunga mkono mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji kwa klabu kongwe nchini za...
View ArticleJicho la 3: Simba SC wanajidanganya kumtegemea Mavugo kushinda VPL…
Na Baraka Mbolembole “Napenda sana kufunga mabao, kuwapita mabeki wote hata kipa. Si sababu ya umahiri wangu, ila hii ndiyo tabia yangu.” aliwahi kusema mshambuliaji nyota wa zamani wa Brazil, Ronaldo...
View ArticleCristiano Ronaldo- Mimi ndiyo mchezaji bora duniani
Nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amesema yeye ndiyo mchezaji bora duniani kwa sasa na kuongeza kuwa juhudi zake za kupambana kila siku ndizo zinamfanya awe alipo. Mreno huyo kwa sasa ndiyo...
View ArticleMourinho ameanza viuchokozi kuelekea mchezo dhidi ya Liverpool
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema mchezo wao dhidi ya Liverpool ni wa kawaida kama ilivyo mechi nyingine zinazokutanisha timu mahasimu. Mourinho atakuwa na vijana wake Jumatatu kwenye...
View ArticleVPL: Mechi 7, Simba kuendelea kubaki kileleni au kuwapisha Stand United...
Na Baraka Mbolembole MECHI 7 za ligi kuu Tanzania Bara zinataraji kuchezwa mwishoni mwa wiki hii. Siku ya Jumamosi kutakuwa na game tano. Vinara wa ligi hiyo, Simba SC wataikaribisha Kagera Sugar FC...
View ArticleManeno ya Griezmann kwa Ribery baada ya kumwambia yeye si world class
Bosi wa Atletico Madrid Diego Simeone amesifu ukomavu wa Antoine Griezmann baada ‘kucheka kwa dharau’ kufuatia maneno ya Franck Ribery kwamba yeye sio ‘world class’ Griezmann aliibuka mfungaji bora na...
View Article