Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Kuna mambo yanaumiza sana katika soka la Tanzania, Kwanini Stand United...

  Na Baraka Mbolembole Kuna mambo yanaumiza sana katika soka la Tanzania: Kwanini Stand United wanashindwa kumthamini mkufunzi bora kama Mfaransa, Patrick Liewig. Nimesikitishwa sana kama kweli kocha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Ndani ya hotel mbili za CR7

Siku kadhaa zimepita tangu superstar wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amzindue hotel yake ya pili kwenye mji mkuu wa Ureno, Lisbon, akisema ilikuwa ni ndoto yake ya muda mrefu kumiliki hotel yake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kichuya, Mzamiru, waing’arisha Simba

Magoli ya Mzamiru Yassin na Shiza Kichuya yameendelea kuiweka Simba kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara ikifikisha jumla ya pointi 23 baada ya kucheza mechi 9 hadi sasa. Mzamiru Yassin alianza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Samatta atajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora Afrika 2016

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ametajwa kwenye orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2016. Mwaka 2015 Samatta ambaye anakipiga kwenye klabu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hazard, Costa waweka rekodi mpya Chelsea ikiua 3-0 Darajani

Chelsea wamefufua matumaini ya mbio za kuwania ubingwa wa Premier League baada ya kuwafunga Mabingwa Watetezi Leicester City mabao 3-0, mchezo uliofanyika Stamford Bridge. Magoli ya Chelsea yamefungwa...

View Article


Video: Magoli yote ya Simba vs Kagera Sugar October 15, 2016

Magoli ya Mzamiru Yassin na Shiza Kichuya yameendelea kuiweka Simba kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara ikifikisha jumla ya pointi 23 baada ya kucheza mechi 9 hadi sasa. Mzamiru Yassin alianza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walcott, Ozil waing’arisha Arsenal na kuikuta Man City kileleni

Theo Walcott amefunga mabao mawili kati ya matatu na kuipa timu yake ya Arsenal iliyokuwa pungufu mbele ya Swansea chini ya meneja wao mpya Bob Bradley, mchezo uliofanyika Emirates jioni ya leo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mamelodi Sundowns yajiweka pazuri kutwaa klabu bingwa Afrika

Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imejiweka kwenye nafasi nzuri kuelekea mchezo mchezo wa marudiano wa fainali ya klabu bingwa Afrika Jumamosi ijayo baada ya kuifunga Zamalek 3-0 kwenye mechi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Messi ameweka rekodi nyingine ya magoli La Liga

Ilikuwa ni Jumamosi nzuri kwa upande wa Barcelona wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani Camp Nou. Miamba hiyo ya Catalan ilifanikiwa kunyakua pointi tatu kwenye mchezo wa LaLiga baada ya kuifunga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo matano ya kujifunza baada ya michezo ya EPL October 15

1. Manchester City inacheza pale Kevin De Bryune anapokuwa kwenye kiwango bora. Ni mapema sasa Guardiola anatakiwa kutafuta namna ya kurejesha muunganiko wa Silva na Aguero. 2. Walcott ataendelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuelekea Liverpool vs Manchester United, haya ndio maneno ya Sadio Mane

Sadio Mane amesema ana furaha kubwa juu ya uamuzi wake wa kujiunga na Liverpool badala ya Manchester United, huku akikabiliwa na mchezo dhidi ya Mashetani Wekundu hao Jumatatu. Meneja wa zamani wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Azam, Yanga, zimeshindwa kutamba uwanja wa Uhuru

Mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Azam FC ambao walikuwa wenyeji wa mchezo huo dhidi ya Yanga umeshuhudiwa ukimalizika bila timu hizo kufungana. Mchezo huo ulikuwa ni wa saba kwa upande tisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exclusive: Liewig aibua madudu Stand United ikiwemo upangaji wa matokeo

Baada ya kocha mfaransa Pratrick LKiewig kuachana na klabu ya Stand United ya Shinyanga kubwaga manyanga kuifundisha klabu hiyo, ameacha waraka unaolezea matatizo yanayoikabili klabu hiyo inayofanya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Agenda za Yanga kuelekea mkutano mkuu October 23

Yanga imetoa agenda ambazzo zitajadiliwa kwenye Mkutano Mkuu wa dharura unaotarajiwa kufanyika October 23, 2016. Agenda inayosubiiwa kwa hamu ni agenda namba 11 ambapo Mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuf...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: Mwamuzi alivyopigwa na mashabiki wa Coastal Union

Mwamuzi Thomas Mkombozi kutoka Kilimanjaro alishambuliwa na mashabiki wa Coastal Union kwa kile kilichotafsiriwa ni maamuzin yenye utata aliyokuwa akitoa wakati wa mchezo kati ya Coastal Union dhidi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVERPOOL VS MAN UNITED, JE MOURINHO KUONDOA AIBU MBELE YA KLOPP LEO?

Liverpool leo wanaikaribisha Manchester katika muendelezo wa michezo ya EPL, mchezo utakaofanyika kunako Uwanja wa Anfield saa nne kamili usiku wa leo. Livepool wanaingia katika mchezo huu wakiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kumfungia Juma Nyosso na kushabikia ‘ukatili’ wa Agrey Morris si haki, TFF...

Na Baraka Mbolembole JUMA NYOSSO anaendelea kutumikia adhabu yake ya ‘kikatili’-kutokucheza soka kwa miaka miwili kwa kosa la kumshika sehemu ya makalio nahodha wa Azam FC, John Bocco na bahati mbaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo 5 muhimu ya kiufundi kuelekea mechi ya Liverpool vs Man United

KUELEKEA MCHEZO WA LIVERPOOL VS MAN UNITED 1. KIUNGO Liverpool wanaweza kuwakosa Wijnaldum na Lallana ambao wameweza kuwapa uwiano mkubwa kwenye kiungo. Sidhani kama Klopp ataingiza wachezaji wapya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Waamuzi ni tatizo lakini shabiki hapaswi kumpiga mwamuzi…’

Na Baraka Mbolembole “Mchezaji Analipwa Kwa Uchezaji wake, anaweza kulazimishwa kwa pesa hata kucheza timu asiyoipenda. Waamuzi wana utashi binafsi, ila kwa kuwa uamuzi ni “kibarua”, lazima afuate...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nje ya pitch – Si sawa kwa Yondani, Aggrey Morris, kurudia matukio ya kina...

Na Athumani Adam Siku moja kabla ya mechi ya watani wa jadi kwenye soka la bongo Yanga dhidi ya Simba ambayo ilichezwa kwenye uwanja wa taifa October Mosi mwaka huu mshambuliaji wa zamani wa klabu...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>