Hawa ni wachezaji wanaolipwa pesa nyingi duniani sasa hivi,Oscar namba 1.
Baada ya kuweka wazi kwamba yeye ni mchezaji wa Shanghai SIPG hatimaye Oscar amekuwa mchezaji namba moja kwa kulipwa pesa nyingi duniani. Kwenye listi ya mishahara mikubwa Oscar anategemewa kulipwa...
View ArticleEmmanuel Eboue alitaka kujiua.
Wakati mgumu unaupitia hata kama una pesa nyingi au kidogo. Haya ndiyo yanamtokea mchezaji wa Ivory Coast Emmanuel Eboue ambaye kwa sasa anapitia kipidi kigumu baada ya kufungiwa kucheza soka kwa muda...
View ArticleJose Mourinho: Pesa za China zinavutia.
Kwa sasa hivi ukizungumzia pesa na soka basi hautaacha kuitaja ligi ya China ambayo inatumia pesa nyingi sana ili kuwaleta wachezaji maarufu kwenye ligi yao. Leo tumeshuhudia jinsi Oscar alivyo break...
View ArticleTatu Bora Mchezaji Bora Afrika Zatoka
Mshambuliaji raia wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang, mshambuliaji na winga wa Algeria Riyad Mahrez na winga wa Senegal Sadio Mané wameingia kwenye orodha ya wachezaji wattau bora wa tuzo ya...
View ArticleLyon imeinyima njia Yanga
African Lyon imeendelea kuvipa shida vigogo vya VPL, baada ya Yanga kutoka nyuma kusawazisha goli na kuambulia pointi moja katika matokeo ya 1-1. Lyon walitangulia kupata bao kupitia kwa Ludovick...
View ArticleHii ni moja ya zawadi alizopewa Samatta siku ya birthday.
Leo ni siku ambayo Mbwana Samatta anasherekea siku yake ya kuzaliwa na watu wengi wakiwemo mashabiki zake wamemuonyesha love kumtakia maisha mema na mafanikio kwenye safari yake ya soka. Kama ilivyo...
View ArticleSimba inakula Christmas kileleni
Simba imeendelea kujichimbia kileleni mwa VPL baada ya ushindi wa goli 1-0 dhidi ya JKT Ruvu ambayo ni miongoni mwa timu tatu zilizo kwenye mstari wa kushuka daraja. Bao pekee katika mchezo huo...
View ArticleFull ratiba ya Mapinduzi Cup 2017
Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Timu zitakazoshiriki kombe la Mapinduzi msimu huu zinatarajiwa kupata asilimia kumi ya mapato ya uwanjani baada ya kulipiwa gharama zote za siku ya mchezo. Kila...
View ArticleMichael Owen: Chelsea haitachukua ubingwa, labda Manchester United na….
Mchezaji wa zamani wa Liverpool ambaye sasa hivi amekua mchambuzi wa soka amesema kwamba club ya Chelsea licha ya kuongoza ligi haitachukua ubingwa wa ligi msimu huu. Michael Owen ambaye aliwai kuwa...
View ArticleDkt. Msola amezungumzia issue ya wachezaji kutoa rushwa ili waitwe timu ya taifa
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria Daniel Amokachi ambaye pia aliwahi kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo, ametoa ya moyoni kuhusu suala la kupewa rushwa na mawakala ili awaite wachezaji wao...
View ArticleNgumu Kumeza ya kufungia mwaka 2016
Naingia bar moja karibu na makaburi ya Kinondoni nakutana na jamaa mmoja, anaponiona anaropoka kwa nguvu akisema, umechelewa kidogo sana, ungekutana na wanaodogodesha mpira hapa nchini walikuwepo...
View ArticleHivi ndivyo mastaa wa michezo walivyosherekea Christmas.
Kila mtu yupo kwenye mood ya Christmas na anatumia muda kuwa karibu na familia yake kwa ajili ya mapumziko. Hivyo hivyo inakua kwa sports stars na wao pia hutumia muda huu kuwa karibu na familia zao....
View ArticleMessi ndio mchizi wa ukweli, ajiachia na wanae wa kitambo.
Kuna msemo unasema kwambw watu wengi wakipata pesa huwa wanasahau walipotoka. Marafiki wa zamani huwa wanasahaurika kabisa na mtu anapata watu wapya kwenye maisha mapya, washkaji ulikua nao zamani...
View ArticleMama yake Masau Bwire anahitaji faraja kutoka Ruvu Shooting
Leo katika uwanja wa Mabatini, Mlandizi, Kibaha, Pwani, Ruvu Shooting anamualika Tanzania Prisons katika mchezo wa VPL. Ushindi kwa Ruvu Shooting ni muhimu sana kwa timu ili ijiweke katika nafasi ya...
View ArticleKocha wa Mbwana Samatta afungiwa virago.
Boxing day yako imekujaje leo? basi kwa kocha Peter Maes imekua mbaya kwasababu kibarua chake kimeota nyasi kwenye club ya KRC Genk leo. Habari kutoka kwenye tovuti maalum ya club ya KRC Genk imetoa...
View Article Pepe kutoka Euro 4milion hadi 10milion na dili la China.
Pepe anategemewa kusepa kwenye club ya Real Madrid na hategemewi kupunguza mshahara wake zaidi ya kuongeza mara mbili yake na zaidi. Super agent Jorge Mendes amefanya mazungumzo yasiyo rasmi kwa...
View ArticleWachezaji 26 watakao miss EPL kwasababu ya AFCON.
Baada ya baadhi ya vikosi kutangazwa unaweza kujua baadhi ya wachezaji ambao watakosa baadhi ya mechi za EPL mwakaji mwezi January kwa ajili ya AFCON nchini Gabon. AFCON inategemewa kuanza tarehe 14...
View ArticleTambwe, Msuva wanaweza kufikia rekodi ya Ngassa, Bocco, Kipre?
Na Baraka Mbolembole KATIKA misimu 6 iliyopita ya Ligi kuu Tanzania Bara, Azam FC imetoa washindi watatu katika tuzo ya mfungaji bora VPL. Mrisho Ngassa alikuwa mchezaji wa kwanza wa Azam FC kushinda...
View ArticleRekodi mpya ya Eden Hazard ndani ya Chelsea.
Chelsea waendelea vizuri na kampeni yao ya kutafuta ubingwa kwa msimu huu na inaonekana hawapo vibaya sana kwenye kampeni hiyo. Hadi sasa Chelsea wameshinda mechi zao 12 kwenye msimu huu mfululizo...
View ArticleRoberto Firmino akamatwa na polisi, kupandishwa mahamani.
Nyota wa Brazil na Liverpool anategemewa kupandishwa kwenye mahakama ya jiji la Liverpool wiki hii baada ya kukamatwa akiwa amelewa na kuendesha gari. Ulikua usiku wa Christmas ambapo Firmino alikua...
View Article