Alichokisema Micho baada ya Uganda kutupwa nje AFCON 2017
Kocha wa Uganda Milutin Sredojevic ‘Micho’ amekiri ni ngumu kuamini kuwa timu yake imetupwa nje ya michuano ya mataifa ya Afrika. Hatua hii ya mashindano inahitaji umakini wa hali ya juu hususan...
View ArticleCahill angepoteza maisha ya Ryan Mason
Hali ya Ryan Mason imeanza kuwa ya kuridhisha,kiungo huyo wa Hull City wikiendi uliyopita waligongana kichwa na beki wa Chelsea Gary Cahill.Ilikuwa dakika ya 13 tu ya mchezo Mason aliporuka kichwa...
View ArticleXhaka na kadi nyekundu dam dam.
Ligi ya Uingereza ina mambo mengi kila siku,kila kukicha rekodi mpya.Wikendi hii Wayne Rooney aliweka rekodi ya ufungaji Man United,pia Diego Costa baada ya tofauti zake na Chelsea amerudi uwanjani na...
View ArticleTimu tatu zinaitaka nafasi moja..Nani ataipata?
Kati ya pambano lililokuwa na msisimko mkubwa sana ilikuwa ni kati ya wenyeji Gabon dhidi ya Cameroon.Mchezo huo ulivuta hisia za watu wengi ni kati ya Gabon na Cameroon ambao ulioneshwa moja kwa moja...
View ArticleBaada ya kuingia Rwanda na Zanzibar, Kampuni ya Kajumulo World Soccer LLC...
Na Baraka Mbolembole UNAMKUMBUKA ‘Mwanaharakati wa kandanda Tanzania’ Alex Kajumulo? Huyu ndiye mmiliki wa klabu ya Kajumulo World Soccer ambayo yeye mwenyewe anasema timu hiyo bado ingali hai japokuwa...
View ArticleMkude amezungumzia ubingwa wa VPL 2016-17
Na Zainabu Rajabu NAHODHA wa Simba Jonas Mkude amesema licha ya kupishana pointi mbili na wapinzani wao (Yanga), bado anaamini ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu unakwenda Msimbazi. Simba...
View ArticleArsenal wanaongoza kufunga magoli mengi dakika za majeruhi.
Mpira ni dakika 90,matokeo ya mpira huwa yanakamilika ndani ya dakika hizo 90.Arsenal msimu huu wamefunga goli 50 lakini katika goli hizo kuna goli 18 zilizofungwa dakika za mwisho mwisho za...
View ArticleAzam imefuzu 16 bora FA Cup
Na Zainab Rajab Timu ya Azam imefanikiwa kuingia kwenye hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup au FA Cup baada ya kuibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Cosmo Politan inayoshiriki...
View ArticleVIDEO: Tunisia ilivyooinyoosha Zimbabwe na kufuzu robo fainali AFCON 2017
Tunisia imefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika baada ya ushindi wao wa magoli 4-2 dhidi ya Zimbabwe katika mchezo wao wa mwisho wa Kundi B. Shuti la Naim Sliti...
View ArticleVIDEO: Algeria wametupwa nje ya AFCON 2017 bila kupata ushindi
Algeria wameondoshwa kwenye mashindano ya mataifa ya Afrika katika hatua ya makundi wakiwa hawajapata ushindi kwenye mechi hata moja huko Gabon! Waling’ang’aniwa na kulazimishwa sare ya 2-2 na Senegal...
View ArticleMkongwe wa Yanga ametaja babu 3 zinazofanya Stars isifuzu AFCON
Kiungo wa zamani wa Yanga Credo Mwaipopo amesema haoni kama timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itafuzu kucheza michuano ya AFCON siku za hivi karibuni kwa kutaja sababu tatu ambazo anaamini ndio...
View ArticleMwamuzi aliyecheza mechi ya Yanga vs Majimaji aonja joto ya jiwe
Mwamuzi aliyechezesha mechi kati ya Majimaji na Yanga amefutwa kwenye orodha ya waamuzi kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo. Naye mwamuzi Greyson Msuya kutoka Dodoma aliyechezesha pambano mchezo kati...
View ArticleMichael Olunga wa Kenya aitosa Galatasaray na kwenda China.
China ni noma kwa sasa na limekua chaguo la wachezaji wengi. Sio tu kwa wachezaji wenye umri mkubwa lakini hata wadogo wanaochipukio wameamua kwenda zao kwenye China Super League kuvuta pesa. Nyota wa...
View ArticleMashabiki wa Togo wavunja nyumba ya kipa wao..Je, wataenda robo fainali.
Hapo jana kundi B tulishuhudia mchezaji wa pili kati ya wale watatu bora Afrika Ryad Mahrez akimfuata Aubemayang nje ya mashindank ya Afcon.Algeria na Zimbabwe zimeaga rasmi mashindano.Leo kazi ipo...
View ArticleWenger kuikosa Chelsea.
Kocha Arsene Wenger yupo katika matatizo na chama cha soka cha Uingereza Fa.Kocha huyo aliamriwa aende jukwaani dakika ya 92 katika mchezo wao zidi ya Burnley baada ya kuondoka katika eneo lake na...
View ArticleMsuva anavyokikumbuka kipigo cha 7-0 kutoka kwa Algeria
Winger wa Yanga na Taifa Stars Simon Msuva kumbe bado anakikumbuka vizuri kipigo cha 7-0 walichopewa ugenini na Algeria kwenye mchezo wa marudiano kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2018. Msuva...
View ArticleJohn Terry na Gary Cahill wametembelea Mason hospitali
Baada ya tukio lililotokea dakika ya 12 kenye mechi ya Chelsea dhidi ya Hull City limemuacha mchezaji Ryan Mason kwenye hali mbaya. Mehi hiyo ilisimama kwa muda wa dakika 10 baada ya Mason na Cahill...
View ArticleMsuva mkeka wake kampa Sadio Mane
Kama leo utamuuliza Simon Msuva ni timu gani itatwaa taji la Afrika kwenye michuano ya AFCON 2017 inayoendelea huko Gabon, bila wasiwasi atakwambia Senegal. Mchezaji huyu wa Yanga ameweka mkeka wake...
View ArticleKocha wa Azam ameizungumzia mechi yao ijayo dhidi ya Simba
Na Zainabu Rajabu KOCHA Msaidizi wa timu ya Azam Iddi Cheche amesema wamejianda vizuri kuelekea mchezo wao dhidi ya Simba ambao umekuwa wa ushindani sana kutoka kila timu kutaka matokeo mazuri...
View ArticleVIDEO: Samatta kaweka tena kambani Ubelgiji
Mbwana Samatta ameendelea kufanya kweli kwenye ligi ya Ubelgiji baada ya kuifungia tena timu ya KRC Genk wakati ikichomoka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Kortrijk kwenye mchezo wa ligi. Ni goli la...
View Article