RATIBA YA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA WEEKEND HIII
Baada ya pilika za wiki nzima hatimaye leo ni ,mapumziko, kwa wale wapenda soka leo ligi mbalimbali barani Ulaya zitaendelea kwa mechi kadhaa kupigwa. EPL, La Liga, Bundesliga na nyingine nyingi...
View ArticleZANZIBAR MWENYEJI MICHUANO YA KAGAME 2016
Na Abubakar Kisandu, Zanzibar Chama cha soka visiwani Zanzibar (ZFA) kimethibitisha kuwa mwenyeji wa mashindano makubwa ya vilabu kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati KAGAME CUP, ambayo yanatarajiwa...
View ArticleAIRTEL TANZANIA YAPIGA ‘TAFU’ TASWA SC
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (kushoto) akimkabithi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa Taswa SC, Majuto Omary, baada ya Airtel kuchangia kwa vifaa hivyo kwa timu za mpira wa miguu na...
View ArticleMOURINHO AMCHIMBA ‘MKWARA’ DIEGO COSTA, AMTAKA ABADILIKE
Kocha Jose Mourinho wa Chelsea, ameponda uwezo wa nyota wake Diego Costa kwamba amepoteza makali na kwamba anashindwa kuongoza timu ipasavyo katika safu ya ushambuliaji tofauti na ilivyokua msimu...
View ArticleVAN GAAL: ROONEY HACHEZI KWASABABU TU NI NAHODHA
Kocha Louis Van Gaal anasema hamchezeshi Wayne Rooney kwasababu tu ni nahodha wa timu bali ni umuhimu wake kikosini ikiwa ni pamoja na kusaidia timu kwa kiasi kikubwa achilia mbali ukame wa kufunga...
View ArticleSTARS YAONGOZA KUNDI KUTINGA ROBO FAINALI CHALLENGE CUP
Hatua ya makundi ya michuano ya Challenge Cup imefikia mwisho leo huku timu ya taifa ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro Stars’ ikimaliza kwa kuongoza kundi A baada ya sare ya kufunga goli 1- 1 dhidi ya...
View ArticleCURRY AWEKA REKODI YAKE, WARRIORS WAWEKA REKODI YAO. GOLDEN STATE WARRIORS...
Stephen Curry alifunga pointi 41 katika robo tatu , huku akiiongoza Warriors kupata mitupo 22 ya point 3 katika majaribio 38 na wakifunga pointi nyingi zaidi kwao kwa msimu huu. Klabu ya Warriors...
View ArticleDAUDA TV: MAN CITY YAJIPOZA KWA SOUTHAMPTON
Manchester City leo wamejipoza kwa ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Southampton mchezo ulipigwa kwenye dimba la Etihad, kabla ya mchezo huo Man City ilikuwa na kumbukumbu ya vipigo kutoka kwa Liverpool...
View ArticlePACERS WANA MOTO MKALI, PAUL GEORGE HASHIKIKI. INDIANA PACERS YAIFUMUA CHICAGO
Baada ya kuvunjika mguu katika maandalizi ya timu yake ya taifa, hakuna aliyejua majaaliwa ya Paul George tena. Wakati wengi wakiamini hatokuwa yule tena aliyezoeleka, khali imekuwa tofauti kwani...
View ArticleJAMIE VARDYYYYYY…. AWEKA ALAMA YAKE RASMI KATIKA EPL, AVUNJA REKODI
Mchezaji na mshambuliaji wa Leicester City Jamie Vardy amevunja rekodi ya kuwa mshambuliaji aliyefunga magoli mengi zaidi na katika mechi nyingi mfululizo. Jamie Vardy kavunja rekodi ya Ruud Van...
View ArticleMGOSI AMPA TANO BRIAN MAJWEGA
Mshambuliji na nahodha wa kikosi cha Simba SC Mussa Hassan Mgosi Nahodha wa klabu ya Simba SC Musa Hassan Mgosi amemfagilia mchezaji Brian Majwega ambaye anafanya mazoezi na kikosi cha Simba akisema...
View ArticleKUMBE GUADIOLA ANAITAKA MANCHESTER UNITED…!!
Gazeti la Daily Mail la nchini England limeripoti kuwa pamoja na kocha Pep Guadiola wa Bayern Munich kuhusishwa na klabu ya Manchester City, lakini vyanzo vya karibu vya mocha huyo vinasema kuwa Pep...
View ArticleNAUNGANA NA HAMIS YUSUPH, HERRY MZOZO, TUNAWAHITAJI KINA WASSO, EMMA GABRIEL,...
Emanuel Gabriel akishangilia goli baada ya kuifungia timu ya Friends Rangers kwenye mchezo wa fainali michuano ya Magufuli Cup miezi michache iliyopita Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Kiukweli...
View ArticleJAMIE VARDY APONGEZWA NA MASTAA BAADA YA KUWEKA REKODI MPYA EPL
Mshambuliaji wa Leicester City ya nchini England, Jamie Vardy jana aliweka rekodi ya kipekee katika ligi kuu soka nchini humo baada ya kufunga goli dhidi ya Manchester United, likiwa ni goli lake la...
View ArticleSIMBA YAINGIA MAFICHONI KUITAFUTIA DAWA AZAM
Katika muendelezo wa matayarisho ya kujiandaa na kuendelea kwa ligi baada ya kusimama kwa muda mfupi kupisha mechi mbalimbali za timu ya Taifa katika michuano ya Chalenji pamoja na michuano ya...
View ArticleMOURINHO ASIFIA KIWANGO CHA CHELSEA LICHA YA KUBANWA NA SPURS
Licha ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na Tottenham, kocha wa Chelsea Jose Mourinho amekimwagia sifa kikosi chake kutokana na kiwango kilichoonesha kwenye mchezo wa leo kikiwa ugenini ambako...
View ArticleDAUDA TV: HALI YAZIDI KUWA MBAYA ARSENAL, YABANWA MBAVU NA KUONGEZEWA MAJERUHI
Arsenal imepoteza nafasi ya kufungana kwa pointi na Manchester City ambao ni vinara wa ligi kuu ya England (EPL) baada ya Lewis Grabban kuisawazishia Norwich na kuufanya mchezo huo kumalizika kwa sare...
View ArticleDAUDA TV: KLOPP AANDIKA USHINDI WA KWANZA ANFIELD, LIVERPOOL IKIICHAPA SWANSEA
Jurgen Klopp amepata ushindi wake wa kwanza kwenye ligi ya EPL akiwa kwenye uwanja wa Anfield baada ya James Milner kuifungia goli pekee Liverpool kwa mkwaju wa penati kipindi cha pili cha mchezo huo...
View ArticleGOLDNE STATE WARRIORS WAJA NA FUMBO JIPYA KATIKA NBA. WAENDELEAA KUWEKA...
Kuna swali moja kubwa lililopo katika ligi kuu ya kikapu nchini Marekani (NBA) kwa sasa nalo ni lini Golden State Warriors watapoteza mchezo wao wa kwanza. Nani atawafunga, nani atawazuia wasifunge, na...
View ArticleMATOKEO YA JUMLA YA NBA NOV 28
FINAL TOR 84 WAS 82 1 2 3 4 T 16 23 23 22 84 23 22 23 14 82 FINAL BKN 88 CLE 90 1 2 3 4 T 24 26 18 20 88 17 27 25 21 90 FINAL DEN 81 DAL 92 1 2 3 4 T 25 27 5 24 81 22 26 25 19 92 FINAL ATL 88 SAS 108...
View Article