EXCLUSIVE INTERVIEW: YAFAHAMU MAISHA YA KAMUSOKO NJE NA NDANI YA UWANJA,...
Kiungo wa Yanga Thaban Kamusoko Jina la Thaban Kamusoko kwa sasa ni jina kubwa kwenye soka la Tanzania, huyu ni kiungo mchezeshaji wa timu ya Yanga SC ya jijini Dar es Salaam. Jamaa ni raia wa Zimbabwe...
View ArticleMASHALI AKATA NGEBE ZA CHEKA, AMTEMBEZEA KICHAPO NYUMBANI KWAO MOROGORO
Thomas Mashali (kushoto) na Francis Cheka (kulia) wakisubiri mwamuzi (katikati) amtangaze mshindi: Thomas Mashali aliibuka mshindi wa pambano hilo Bondia maarufu nchini Thomas Mashali amefanikiwa...
View ArticleYANGA YAZIDI KUPAA, TAMBWE HAKAMATIKI
Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake Mwinyi Haji (nyuma) pamoja na Deus Kaseke Hamisi Tambwe ameendeleza kasi yake ya ufungaji mara baada ya leo kutupia bao...
View ArticleSIMBA BADO HALI SIYO NZURI, MATOKEO YOTE YA VPL YAKO HIVI LEO
Michuano ya ligi kuu Tanzania bara iliendelea tena leo December 26, 2015 kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja vya miji tofauti ya Tanzania bara na kushuhudia matokeo tofauti katika viwanja hivyo...
View ArticleDAUDA TV: VIDEO ZA MAGOLI YOTE YA MECHI ZA EPL DECEMBER 26
Ligi kuu ya soka nchi England (EPL) imeendelea tena leo kwa michezo nane kuchezwa kwenye viwanaja tofauti huku Manchester United imeendelea kutaabika baada ya leo pia kuchezea kichapo kutoka kwa Stoke...
View ArticleDRAYMOND GREEN ANAITAKA ALL STAR, STEPHEN CURRY AENDELEA KUIMBWA NA WARRIORS...
Wakati Curry yupo kimya, Warriors huitaji mchezaji mwingine asimame. Msimu uliopita muda mwingi alikuwa anaibuka Klay Thompson lakini msimu ni jina jipya limeibuka sasa na linalotawala vinywa vya...
View ArticleDAUDA TV: HIVI NDIVYO ARSENAL ILIVYOSHINDWA KUKWEA KILELENI MWA EPL
Club ya Arsenal imeshindwa kukwea kileleni mwa ligi kuu England baada ya kukubali kipigo cha magoli 4-0 kutoka kwa Southampton kwenye mchezo uliochezwa December 26 (Jumamosi) usiku. Kama The Gunners...
View ArticleDAUDA TV: AMIS TAMBWE ANAENDELEA KUWATESA MAGOLIKIPA WA VPL
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la tatu kwa style ya pekee Tambwe amekuwa habari ya mjini kwa sasa na hii ni baada ya kutupia goli tano kwenye mechi mbili za ligi kuu Tanzania bara. Tambwe...
View ArticleMINGANGE: BOBAN NI MTU POA SANA, WATU HAWAJUI TU KUISHI NAYE
Boban Kocha mkuu wa Mbeya City Meja mstaafu Abdul Mingange amesema kuwa anavutiwa na kiwango kinachooneshwa na wachezaji wake Ramadhani Chombo ‘Redondo’ pamoja na Haruna Moshi ‘Boban’ tangu wamejiunga...
View ArticleTOP 5 YA MATUKIO YALIYOJIRI WAKATI WA MECHI YA YANGA VS MBEYA CITY
Shabiki wa Yanga (katikati) akiwa anachezea kichapo kutoka kwa mashabiki wa Mbeya City Kuna matukio mengi sana yalitokea jana wakati wa mchezo kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City, inawezekana ukawa hujui...
View ArticleAZAM YAIPUMULIA YANGA KILELENI
Shomari Kapombe akipongezwa na wachezaji wanzake wa Azam FC baada ya kuifungia timu yao bao la pili Magoli kutoka kwa Kipre Tchetche na Shomari Kapombe yameipa Azam ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya...
View ArticleCURRY AENDELEA NA MWAKA BORA WA AJABU, ATWAA TUZO NYINGINE KUBWA.
Stephen Curry kawa Stephen Curry. Anaimbwa kuliko mchezaji mwingine yeyote. Anaonekana kupanda kiwango kuliko mchezaji mwingine yeyote. Analeta mchezo mpya ambaye hakuna aliyewahi kufikiri kuwa...
View ArticleHUYU NI MKE WA PAUL NONGA NA HIKI NDICHO ALICHOPOST INSTAGRAM
Mke wa mshambuliaji mpya wa Yanga Paul Nonga ‘amejifungua’ mtoto tarehe 26 December 2015 ambayo ilikuwa ni siku ya Boxing Day, lakini mrembo huyo anayekwenda kwa jina la Jacky Paul Nonga ametupia...
View ArticleEXCLUSIVE: CHANONGO, UBWA, WATUA TP MAZEMBE
Haruna Chanongo (kulia) Abuu Ubwa (kushoto) na mjumbe wa kamati kuu ya klabu ya TP Mazembe Frederic Kitengie Wachezaji wa wili wa kitanzania Haruna Chanongo na Abuu Ubwa wote kutoka Stand United ya...
View ArticleNENDA ZAKO SAMATA, LAKINI USISAHAU KUWA TANZANIA YETU IMEKETI…
Inasemekana kuteleza sio kuanguka, lakini ukiteleza ukaanguka pia sio mwisho wa safari, sharti unyanyuke umalizie umbali uliosalia. Moja ya nchi ambazo inawezekana kabisa baada ya kuteleza ziliamua...
View ArticleWALICHOSEMA CHANONGO NA UBWA WAKIELEKEA KWENYE TRIAL TP MAZEMBE
Wakati Chanongo na Ubwa wanasubiri ndege kwenda Lubumbushi nilipata mawasiliano nao na kuongea nao kuhusu safari yao hiyo ambayo ikifanikiwa ni mwanzo mzuri kuelekea mafanikio yao kwenye soka. Baada...
View ArticleEXCLUSIVE: TP MAZEMBE YAPOKE OFFER RASMI KUTOKA KLABU YA ULAYA IKIMTAKA...
Neema imezidi kuwashukia wachezaji wa kimataifa wa Tanzania wanaokipiga kwenye klabu ya TP Mazembe ya Congo DR. Baada ya Mbwana Samatta kupata timu ya barani Ulaya hatimaye pacha wake Thomas Ulimwengu...
View ArticleAMINI USIAMINI, MASHABIKI ULAYA WAMGOMBEA ULIMWENGU
Wakati AS Saint-Étienne wakiwa wameweka offer mezani kwa TP Mazembe ya kumtaka Thomas Ulimwengu, mashabiki wa Besiktas FC wameingiwa na wazimu wakimtaka Ulimwengu kwa udi na uvumba ili nyota huyo...
View ArticleLIVERPOOL YAGONGWA NYUNDO NA WEST HAM… KLOPP KUINGIA SOKONI?
Liverpool haionekani kuwa tayari kuwania nafasi nne za juu. Nguvu, uongozi na ari ya kujiamini imepotea katika klabu hiyo yenye maskani yake pale Anfield. Ikiwa inaendelea kupata matokeo yake ya...
View ArticleMAN UNITED YAONA MWEZI, ANTONIO APIGA BAO LA KWANZA 2016 NDANI YA EPL
December 2, 2016 imepigwa michezo kadhaa huku kila timu ikitaka kuhakikisha inaanza vyema mwaka 2016 kwa kupata ushindi na kujitengenezea mazingira ya ubingwa wakati vilabu vingine vikipambana kuwania...
View Article