MAJABVI AKUBALI YAISHE SIMBA
Kiungo wa Simba SC Justice Majabvi Klabu ya Simba inapenda kuufahamisha umma kuwa mchezaji wake toka Zimbabwe Justice Majabvi ameomba kurejea kwenye timu baada ya kutafakari upya uamuzi wake wa awali...
View ArticleMCHEZAJI MWENYE MKONO MMOJA AFUNGA KIKAPU CHAKE CHA KWANZA KWENYE MASHINDANO...
Mungu ndiye mwamuzi ya yote, Mungu ndiye mpangaji na yeye ndiye mpaji. Kijana anayesoma katika chuo cha Florida Zach Hodskins lazima anauishi usemi huu. Ni kijana aliyezaliwa na tatizo la kuwa na...
View ArticleMATOKEO YA JUMLA YA NBA DEC 22
FINAL MEM 104 PHI 90 1 2 3 4 T 31 22 24 27 104 23 24 19 24 90 FINAL DET 93 MIA 92 1 2 3 4 T 18 36 18 21 93 34 18 23 17 92 FINAL DAL 99 TOR 103 1 2 3 4 T 16 20 31 32 99 32 17 23 31 103 FINAL LAL 111...
View ArticleNAPE NNAUYE AIPIGA CHINI KAMATI YA ‘MAGUMASHI’ STAND UNITED
Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Nape Nnauye ameingilia kati mgogoro wa klabu ya Stand United ya Shinyanga na kuivunja kamati...
View ArticleZANZIBAR SAND HEROES YAFANYA KWELI KIMATAIFA
Na Abubakar Khatib (Kisandu), Zanzibar Kikosi cha timu ya Taifa ya Zanzibar kwa soka la ufukweni (Sand Heroes) kimerejea visiwani Zanzibar na kombe la ushindi wa pili kwenye mashindano ya Afrika ya...
View ArticleKUNANI SOKA LA ZANZIBAR?
Na Abubakar Khatib (Kisandu), Zanzibar Baada ya Jumannne kutangazwa tarehe ya kufanyika mkutano mkuu wa dharura wa ZFA hatimae jana (Jumatano) yameibuka mengine mapya. Makamu wa Rais wa chama cha...
View ArticlePICHA 10 SIMBA WANAVYOIANDALIA DOZI MWADUI YA JULIO
Wekundu wa Msimbazi Simba wameendelea kujifua kwenye uwanja wa chuo cha DIT jijini Mwanza kuelekea kwenye mchezo wake wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara dhidi ya Mwadui FC utakaochezwa December 26...
View ArticleDR. TIBOROHA NA STORY MPYA KUHUSU HARUNA NIYONZIMA
Dkt. Jonas Tiboroha katibu mkuu wa klabu ya Yanga Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima amekuwa kwenye vichwa vya habari vya vyombo vya habari nchini kwa siku kadhaa sasa baada ya uongozi wa klabu yake...
View ArticlePICHA: RONALDO APATA MAPOKEZI BABKUBWA NBA
Mshambuliaji Cristiano Ronaldo wa miamba ya soka ya nchini Hispania Real Madrid ametumia fursa ya mapumziko ya sikukuu za krismasi kutembelea nchini Marekani ambapo alitokea katika mechi ya mpira wa...
View ArticleLIGI YA UFARANSA BALAA, MONACO HATARINI KUSHUKA DARAJA PAMOJA NA KUWA YA PILI
Waswahili wana misemo yao, lakini hii ya ligi kuu nchini Ufaransa ni balaa. Klabu ya soka ya Monaco iko katika nafasi ya pili ya msimamo wa ligi hiyo ikiwa na points 32 lakini imeachwa kwa points 19...
View ArticlePOLE MOURINHO, LABDA ANGEKUWEPO TRUMAN..
Nilikuwa natizama mchezo wa Chelsea dhidi ya Sunderland, huu ulitoa picha kamili ya nini kimeendelea pale katika klabu ya Chelsea. Mashabiki walitoa ya moyoni, wachezaji wakaonyesha walichokuwa...
View ArticleSAN ANTONIO SPURS HAWASEMWI LAKINI HAWASHIKIKI, WAMWANGUSHIA DOZI MINNESOTA...
Spurs hawasemwi sana na ndicho wanachokifurahia kwa sasa. Naamini hata kocha wao Gregg Popovich anapenda kuona namna ambavyo Golden State Warriors wamekamata vyombo vya habari na kutawala vinywa vya...
View ArticleUSAJILI DIRISHA DOGO: HAWA NDIYO WACHEZAJI WALIOPITISHWA NA WALIOKWAMA
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji chini ya Mwenyekiti wake Richard Sinamtwa, jana Jumatano ilikaa na kupitia malalamiko/pingamizi za usajili wa wachezaji yaliyokuwa yamewasilishwa TFF mara tu...
View ArticleMBWANA SAMATTA ATUA UBELGIJI KUKAMILISHA USAJILI
Taarifa kutoka nchini Ubelgiji zinasema kwamba, mchezaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga kwenye klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DR Mbwana Samatta muda wowote anaweza kujiunga na klabu ya Genk...
View ArticleCHEKA,MASHALI, KUMALIZA UBISHI LEO? NI KATIKA PAMBANO LA UBABE VS KISASI
Mabondia wakitunishiana mshuli (kulia) Francis Cheka na (kushoto) ni Thomas Mashali Mabondia Francis Cheka wa Morogoro ambaye ni bingwa wa ngumi za kulipwa duniani wa uzito wa kati (WBF) pamoja na...
View ArticleNIYONZIMA ATOA NENO KWA YANGA PAMOJA NA MASHABIKI
Haruna Niyonzima amewataka mashabiki wake kuwa wavumilivu kwani suala lake linatarajiwa kupatiwa ufumbuzi hivi karibuni baada ya kuwasilisha maelezo kwa uongozi wa timu yake. Niyonzima pia ameitakia...
View ArticleHIVI NDIVYO SAMATTA, ULIMWENGU, WANAVYOKUTAKIA MERRY CHRISTMAS
Leo wakristu duniani kote wanasherekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo siku ambayo ni maarufu kwa jiana la ‘Christmas’ ambayo huadhimishwa kila mwaka inapofika December 25. Mwaka huu wachezaji wa...
View ArticleMSEMAJI WA AFRICAN SPORTS AJIUZULU AKIDAI TIMU IMEJAA ‘VIHIYO’
Baada ya kujiuzulu mwenyekiti wa klabu ya African Sports ya Tanga, mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo Muhasham Hatibu ameibuka na kukiri klabu yao inamatatizo mengi ya kiutawala na...
View ArticleKOBE AENDELEA KUTELEZA NA MASHABIKI, AMKATA CURRY, LEBRON NA DURANT KURA ZA...
Mashabiki wa mchezo wa kikapu duniani kote wameendelea kumuaga Kobe Bryant kwa staili ya aina yake. Ukiachilia mbali katika viwanja tofauti anakoenda, sasa wamehamia katika upigaji kura wa kuchagua...
View ArticleEXLUSIVE INTERVIEW: UNATAKA KUJUA KWANINI SAMATTA ANAKWEDA KUCHEZA UBELGIJI,...
Mshambuliaji wa TP Mazembe Mbwana Samatta (katikati) akiwatoka wachezaji wa Club America wakati wa michuano ya FIFA Club World Cup iliyomalizika hivi karibuni nchini Japan Safari ya nyota wa Tanzania...
View Article