Jicho la 3: ILISHAWAKUTA, SAMATTA, TAMBWE, HANS, NGAO YA AZAM FC NA MEDALI...
Na Baraka Mbolembole NANI anayehusika na uandaaji wa tuzo, vikombe na medali za washindi katika ligi/mashindano ya hadhi ya juu Tanzania Bara? Anasubiri nini kujiuzulu? Ama kweli, ‘Tanzania Football...
View ArticleNI MAN UNITED VS SOUTHAMPTON-ZLATAN KUENDELEZA WEMBE WAKE WA MAGOLI LEO!
Manchester United leo watakuwa nyumbani kwenye Uwanja wao wa Old Trafford kusaka ushindi wa pili mfululizo watakapokuwa na kibarua kizito mbele ya Watakatifu wa Saouthampton. Katika mchezo huo...
View ArticleMAAMUZI MAPYA KUHUSU KESSY KUITUMIKIA YANGA
Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imelipitisha jina la mlinzi wa kulia wa Yanga Hassan Kessy Ramadhani kuitumikia klabu hiyo baada ya hapo awali kuwepo na mvutano mkubwa na klabu yake ya zamani...
View ArticleSCHWEINSTEIGER AAMUA KUGEUKIA KWENYE GOFU BAADA YA KUTEMWA NA MOURINHO
Wakati wachezaji wenzake wa Manchester United wakiwa bize kujiandaa na mchezo wao ligi dhidi ya Southampton leo, kiungo asiye na nafasi kunako klabu hiyo Bastian Schweinsteiger ameonekana akijifariji...
View Article‘MMEJIDANGANYA’ KWA MAVUGO, LEOPARDS IMEWAJAZA MATUMAINI HEWA SIMBA
Na Baraka Mbolembole NIMEIONA Simba SC ilivyowatala mabingwa mara 6 wa kihistoria wa Cecafa Kagame Cup, timu ya AFC Leopards kutoka Kenya na kuwachapa 4-0 siku ya kusherehekea miaka 80 ya kuanzishwa...
View ArticleZLATAN AZIDI KUWASHA MOTO MAN UNITED IKIILAZA SOUTHAMPTON OT
Zlatan Ibrahimovic amefunga mabao mawili akiicheza kwa mara ya kwanza kwenye dimba la Old Trafford kama mchezaji wa Manchester United na kuzidi kuisogeza timu hiyo kileleni zaidi. Msweden huyo alifunga...
View ArticleKUONESHA MPIRA VPL MOJA KWA MOJA (LIVE) – JE NANI ANAPATA FAIDA AU HASARA?
Na Iddi Pagali Ndugu wadau wa michezo hususan mpira wa miguu (soka), shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), pamoja na Bodi ya Ligi wameingia tena mkataba wa miaka mitano na kituo cha luninga cha...
View ArticleBOLT HAKAMATIKI OLIMPIKI, AFUNGA MAHESABU NA MEDALI TATU ZA DHAHABU
Usain Bolt amehitimisha career yake kwenye Olimpiki baada ya kuchukua medali ya tatu ya dhahabu ya mita 4×100 ambayo ilikuwa ni ya kupokezana vijiti kwenye mashindano ya mwaka huu na ya tisa tangu...
View ArticleASILI YA AINA ZA USHANGILIAJI ZA WANAMICHEZO PINDI WANAPOFUNGA
Na Faraji Fowz Zeggeson Tasnia ya muziki imekuwa bega kwa bega na michezo hata imekuwa ikiingiliana wapenzi .Yani wanaopenda michezo na muziki kwa wakati mmoja. Tumeona mara nyingi tu wanamuziki...
View ArticleNI LEICESTER CITY VS ARSENAL KING POWER LEO, WOTE KUSAKA USHINDI WA KWANZA
Leicester City wanawakaribisha Arsenal kwenye mchezo wa raundi ya pili ya EPL utakaopigwa kwenye uwanja wa King Power majira ya saa 1:30 za usiku. Mabingwa hawa watetezi watakuwa na beki wao Robert...
View ArticleSIMBA YAANZA MSIMU MPYA WA VPL KWA POINTI 3
Mfungaji wa bao la pili la Simba Fredrick Blagnon akipongezana na Laudit Mavugo Simba imeuanza vyema msimu wa ligi kuu Tanzania bara kwa kupata ushindi wa magoli 3-1 mbele ya Ndanda FC ya Mtwara katika...
View ArticleAGUERO NA NOLITO WAPIGA MBILI-MBILI CITY IKIITWANGA STOCK CITY BRITANIA
Manchester City chini ya Guardiola wakiwa ugenini wameendeleza wimbi lao la ushindi baada ya kuifumua Stock City mabao 4-1. Sergio Aguero na Nolito kila mmoja amefunga magoli mawili na kuipa City...
View ArticleLIVERPOOL WATOKOTA UGENINI MBELE YA BURNLEY, WAPIGWA 2-0
Magoli ya kipindi cha kwanza kutoka kwa Sam Vokes na Andre Gray yaliwapa ushindi wa nyumbani Burnely dhidi ya Liverpool baada ya kucheza mchezo mkubwa sana uliwashangaza majogoo hao wa jiji la...
View ArticleBATSHUAYI AFUNGUA UKURASA WA MABAO CHELSEA IKISHINDA KWA MBINDE UGENINI DHIDI...
Diego Costa leo ameifungia tena Chelsea goli la ushindi kwa mara ya pili mfululizo wakati Chelsea walipotoka nyuma kwa bao 1 na kuibuka na ushindi wa mabao 2 dhidi ya Watford kwenye dimba la Vicarage...
View ArticleARSENAL CHUPUCHUPU KWA LEICESTER
Mabingwa Watetezi wa EPL Leicester City wameshindwa kuibuka na ushindi kwenye mechi ya pili mfululizo dhidi ya Arsenal, ambao pia walikuwa wakisaka ushindi wao wa kwanza msimu huu kwenye dimba la King...
View ArticleVideo: SUAREZ APIGA HAT-TRICK BARCA IKIUA 6
Luis Suarez amepiga hat-trick kwenye mechi ya ufunguzi wa La Liga wakati Barcelona ikiiangamiza Real Betis. Arda Turan alianza kufungua mvua ya magoli kwa kuifungia Barca kwa shuti la karibu kabla ya...
View ArticleNEYMAR KAIKAMILISHA NDOTO YA BRAZIL ILIYOWASHINDA PELE, RONALDO, RONALDINHO,…
Neymar alifunga mkwaju wa penati ya ushindi wakati wenyeji timu ya Brazil ikiichapa Ujerumani kwa penati 5-4 na kushinda medali yao ya kwanza ya dhahabu kwenye soka la wanaume katika historia ya...
View ArticleHIVI KWELI WENGER, SANCHEZ NI MSHAMBULIAJI WA KATI?
Na Mahmoud Rajab Arsene Wenger tayari ameanza kujitoa kwenye mbio za ubingwa mapema baada ya ya kushuhudia tena timu yake ikitoka suluhu na Leicester City jana. Ni mchezo wa pili huu kwa Arsenal bila...
View ArticleUFAFANUZI KADI NYEKUNDU YA AJIBU MSIMU ULIOPITA, ILIMZUIA KUCHEZA DHIDI YA...
Baada ya mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib kuitumikia klabu yake kwenye mchezo wa kwanza wa ligi msimu wa 2016/17 dhidi ya Ndanda FC, umezuka mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii kama nyota huyo...
View ArticleSAMATTA ATUPIA MBILI GENK IKIIBUKA NA POINTI 3 UGENINI
Mbwana Samatta ameendelea kufanya vyemma kwenye ligi ya Ubelgiji baada ya kufunga magoli magoli mawili wakati Genk ikishinda ugenini kwa magoli 3-0 dhidi ya Lokeren. Samatta alianza kufunga goli la...
View Article