Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Washambuliaji wanne Yanga wamefunga magoli 20 kati ya 24…’

Na Baraka Mbolembole Amis Tambwe alifunga mara mbili katika ushindi wa Yanga SC 4-0 JKT Ruvu siku ya jana, magoli yake hayo mawili yamemfanya kufikisha jumla ya magoli 6 msimu huu na kukaa juu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simba SC haijawahi kuifunga Mwadui FC katika VPL…

Na Baraka Mbolembole Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’ ndiye kocha aliyeipandisha ligi kuu Tanzania Bara timu ya Mwadui FC ya Shinyanga, Februari 2015 tena wakiwa mabingwa wa ligi daraja la kwanza. Akiwa ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakala wa Farid Musa akanusha kupatikana kibali cha kazi, mchakato bado...

Jana usiku Azam TV kupitia kipindi cha MSHIKEMSHIKE VIWANJANI walithibisha kupatikana kwa kibali cha kazi cha kiajana Farid Musa kwa ajili ya kwenda kucheza soka la kulipwa kwenye klabu ya Tenerife ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Los Angeles Lakers Yafyatua Breki Za Houston Rockets, James Harden Yupo Vizuri.

Houston Rockets ina kocha mpya kupitia kwa Michael D’Antonio na yupo ili aiondoe klabu hiyo kwenye kipindi kigumu ili ifikie hadhi ya wachezaji wake kama James Harden ambaye ni moja kati ya wachezaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CEO wa Juve athibitisha klabu yake ndio itamlipa Raiola $30m kwenye mauzo ya...

Mkurugenzi mkuu wa  Juventus Giuseppe Marotta amethibitisha kwamba wakala wa Paul Pogba atalipwa kiasi cha 27 million euros ($30 million) kama malipo yake kutoka kwenye uhamisho wa Pogba kwenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ferguson awatoa Chelsea kwenye mbio za ubingwa EPL

Kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson ameiondoa Chelsea katika mbio za ubingwa wa Premier League msimu wa 2016-17. Akifanya mahojiano maalum na Kicker, Ferguson alitetea mwenendo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ronaldo afunguka kuhusu mahusiano yake na Messi

Cristiano Ronaldo amepiga chini dhana ya uadui iliyopo baina yake na Lionel Messi na kusisitiza kuwa wawili hao wanaheshimiana, licha kuwa hawana urafiki wa aina yoyote. Staa huyo wa Real Madrid na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Anthony Davis Afanya Makubwa, lakini timu yake yachapwa.

Kocha wa Denver Nuggets, Mike Malone aliamuakuwa timu yake haikuwa na haja tena ya kupambana na mchezaji aliyekuwa kwenye kiwango cha juu Alfajiri ya leo, Anthony Davis. Aliamua Denver Nuggets...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yanga yawaponza wachezaji Kagera Sugar, wasimamishwa kwa tuhuma za upangaji...

Uongozi wa Kagera Sugar umewasimamisha wachezaji wake wawili golikipa Hussein Sharif ‘Casillas’ na beki Erick Kyaruzi kwa tuhuma za kuihujumu timu wakati wa mchezo wa liopoteza kwa kufungwa magoli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rushwa kwenye soka la Bongo ni kansa inayotafuna soka letu, dawa tunayo mkononi…

Hussein Sharif Casillas na Erick Kyaruzi wamesimamishwa kuichezea Kagera Sugar wakituhumiwa walicheza chini ya kiwango na kufungisha magoli ambayo ukiangalia unahisi kuna mipango ilikuwa imefanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uongozi umemuomba Hans van Pluijm kuendelea kuifundisha Yanga

Zikiwa zimepita siku nne tangu kocha mkuu wa Yanga Hans van Pluijm kuamua kuandika barua ya kujiuzulu kuifundisha klabu ya Yanga, uongozi wa klabu hiyo leo October 28 umemuandikia barua kumuomba Hans...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wenger ajichanganya kuhusu Ozil na tuzo ya Ballon dO’r

Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amejikuta akimpongeza kimakosa nyota wake Mesut Ozil kwa kuchaguliwa kwenye tuzo ya Ballon d’Or ilhali mchezaji huyo hakuchaguliwa. Wiki hii orodha ya wachezaji 30...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Clippers yaionyoosha Portland Trail Blazers, Griffin yupo safi sasa.

Portland Trail Blazers imekuwa moja ya vilabu tishio kwenye NBA tangu msimu uliopita ambapo haikuwa inapewa nafasi sana mpaka pale walipoibuka Damian Lillard na C.J Mccolllum ambao muunganiko wao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya Wade kurejea nyumbani Chicago, apata ushindi wa kwanza dhidi ya...

Wengi wakisikia jina la mchezaji Dwayne Wade, akili na fikra zinakuwa kule suth beacg, Miami ambako ndiko alikojitengenezea jina mpaka kuitwa mr. Miami na kisha kuchukua ubingwa wa NBA mara tatu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bocco awainua Azam dakika za jioni Kaitaba

Wakata Miwa wa Kagera Sugar kwa mara nyingine tena leo wameruhusu kipigo cha pili mfululizo katika Uwanja wao wa Kaitaba baada ya kufungwa na Azam FC magoli 3-2 katika muendelezo wa michezo ya Ligi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Tutafanya kila kitu kinachowezekana kutetea ubingwa wetu – Hans van Pluijm’

Na Baraka Mbolembole MUDA mfupi baada ya kutengua uamuzi wake wa kujiuzulu kuinoa timu ya Yanga SC, mkufunzi raia wa Holland, Hans van der Pluijm amesema atafanya kila awezalo pamoja na wachezaji wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jicho la 3: Yanga na Simba ni za kale kuliko Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Na Baraka Mbolembole KATIBU mkuu wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) ndugu, Mohamed Kiganja juzi alizungumza na Waandishi wa Habari na kusema klabu za Yanga SC na Simba SC zinapaswa kurekebisha kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Cesc Fabregas awatibua mashabiki wa Arsenal kwa post yake ya Instagram

Cesc Fabregas ametosha kidonda kwa mashabiki wa Arsenal baada ya post yake kwenye Instagram kuzua mjadala mkubwa. Katika kusherehekea miaka yake 13 tangu aanze kucheza soka la ushindani kwa mara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Takwimu, rekodi na dondoo muhimu uelekea Mwadui vs Simba uwanja wa Kambarage,...

Leo vita ya ligi kuu Tanzania bara inaendelea katika viwanja tofauti, mchezo unaopewa uzito mkubwa ni kati ya Mwadui ambao ni wenyeji wa Simba kwenye uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga. Mechi hii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Guardiola arusha kijembe cha chini chini kwa Man United kwa matumizi ya...

Pep Guardiola ameendelea kuwachimba Manchester United chini chini kwa matumizi yao makubwa ya mipira ya mirefu na kudadavua anachopenda hasa kifanyike kwenye timu yake. Guardiola leo atakuwa na kibarua...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>