Simba imechukua pointi 3 kwa mara ya kwanza mbele ya Mwadui
Simba imepata ushindi wake wa kwanza mbele ya Mwadui FC tangu timu hiyo inayomilikiwa na mgodi wa almasi ilivyopanda kucheza ligi kuu Tanzania bara kwa mara ya kwanza msimu wa 2015-2016. Simba...
View ArticleArsenal wazidi kuisukuma Sunderland mkiani EPL
Arsenal wamezidi kumwongezea presha ya kufukuzwa meneja wa Sunderland David Moyes baada ya kushusha kipigo cha mabao 4-1 na kuzidi kuwaacha mkiani wa Premier League huku wakiwa hawajashinda mchezo hata...
View ArticleAguero azidi kujiwekea rekodi kwa West Brom
Manchester City wamefufuka na kutoka kipigo cha mbwa mwizi dhidi ya West Bromwich Albion baada ya kushinda mabao 4-0. Mabao ya Man City yamefugwa na Sergio Aguero na Ilkay Guendogan, wote wakifunga...
View ArticleZlatan amejiwekea rekodi mpya Premier League baada ya suluhu ya Man United vs...
Manchester United wamepiga mashuti 37, mashuti mengi zaidi kuwahi kupigwa kwenye Premier League tangu msimu wa 2003-04. Ander Herrera amepewa kadi nyekudu ya kwanza kwenye Premier League, akiwa La...
View ArticleHat-trick ya Ronaldo yavunja mwiko wa Alaves La Liga
Cristiano Ronaldo amepiga hat-trick na kukosa penati na kuipa timu yake ya Real Madri ushindi mnono wa mabao 4-1. Deyverson aliwapa Alaves mapema tu goli la kuongoza kabla ya Ronaldo kusawazisha kwa...
View ArticlePogba na De Gea wawaandikia mashabiki wa Man United ujumbe baada ya suluhu ya...
Kama ilivyo kwa mashabiki wengi wa Manchester United, Paul Pogba na David De Gea wameonesha kusikitishwa na mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha ya Manchester United hasa katika mchezo wa jana dhidi ya...
View ArticleAUDIO: Mayanja ameitaja sababu ya kumtoa Mavugo katikati ya kipindi cha...
Inawezekana kabisa kuna watu walishangazwa kumshuhudia mshambuliaji wa Simba Laudit Mavugo akipumzishwa katikati ya kipindi cha kwanza na nafasi yake kuchukuliwa na Ame Ali ‘Zungu’ katika mechi ya...
View ArticleLebron ni Lebron, Cavaliers ni Cavaliers, waichapa Orlando Magic
Moja ya michezo mizuri na iliyovutia msimu huu ambapo LeBron James na klabu yake ya Cleveland Cavaliers walipata changamoto, lakini waliendeleza ubabe wao dhidi ya Orlando Magic. Mchezaji James...
View ArticleChicago yaendelea kuwa bora, Wachezaji wapya waendelea kuwa mchango
Ikiwa na wachezaji wapya tisa,huku watatu wakiwa ni wa kikosi cha kwanza, Chicago Bulls walitegemewa kuanza taratibu msimu moya wa NBA, lakini hali imekuwa tofauti kidogo na wameanza kwa namna ambayo...
View ArticleBossou afunga bao la kwanza VPL, Yanga ikizisambaratisha mbao za Mwanza
Yanga SC leo ni kama wamewajibu wapinzani wao Simba baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Mbao FC kutoka jijini Mwanza, mchezo uliofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam....
View ArticleVIDEO: Highlights za magoli yote Yanga vs Mbao FC
Beki wa Yanga Vicent Bossou ameandika historia mpya kwenye ligi kuu Tanzania bara baada ya leo kufanikiwa kupasia kamba kwa mara ya kwanza ndani ya VPL tangu alipojiunga na mabingwa hao wanaotetea...
View ArticleAUDIO: Mbao ilininyima usingizi – Pluijm
Kocha wa Yanga Hans van Pluijm amekiri timu ya Mbao FC ilikuwa ikimnyima usingizi kutokana na ubora wa timu hiyo amabayo imepanda kucheza ligi kuu Tanzania bara msimu huu ikiwa ni msimu wake wa...
View ArticleSimba hakuna kulala, yaanza mipango ya kuimaliza Stand United
Baada ya ushindi wake wa 3-0 dhidi ya Mwadui mkoani Shinyanga, kikosi cha Simba kimeendela na mazoezi chini ya kocha mkuu Joseph Omog na wasaidizi wake kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa...
View ArticleTakwimu muhimu EPL Weekend iliyopita
Na Athumani Adam Ligi kuu nchini England iliendelea siku ya Jumamosi na Jumapili kwa michezo tisa kufanyika kwenye viwanja mbali mbali. Baada ya kumalizika kwa mechi hizo za mzunguko wa kumi zipo...
View ArticleTANZIA: Bondia Thomas Mashali afariki dunia
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Thomas Mashali maarufu kama Simba aliyefugika amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa kushambuliwa na watu wasiojulikana maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaam....
View ArticleShearer: Aguero ndiyo mchezaji pekee world class EPL
Legend wa Newcastle United Alan Shearer amekuja na habari mpya iliwastua wengi kwa kusema kuwa kwenye Ligi Kuu ya England kuna mchezaji mmoja tu mwenye uwezo wa kucheza timu yoyote ulimwenguni ambaye...
View ArticleMan United miaka mitatu baada ya Ferguson
Soka sasa limebadilika Mno. Kimsingi ladha halisi ya mpira wa miguu inapotea kwa kiasi kikubwa mno. Kuanzia kwa makocha wenyewe, wamiliki wa vilabu hivi, wachezaji mpaka mashabiki hali inayopelekea...
View ArticleMkude amefichua siri ya mafanikio Simba
Kikosi cha Simba bado kipo mkoani Shinyanga kikiendelea kujiandaa na mchezo wake wa pili katika mkoa huu baada ya kucheza na Mwadui Jumamosi iliyopita, Jumatano November 2 Stand United watakuwa...
View ArticleMkurugenzi Mtendaji wa Bayern Munich amwondoa Schweinstiger Manchester United.
Mkrugenzi mtendaji wa Bayern Munich, Karl-Heinz Rummenigge amemtaka mchezaji wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger kuondoka katika klabu hiyo pamoja na kuwa amerejeshwa katika kikosi cha...
View ArticleLos Angeles Clippers wapo vizuri, wainyoosha Phoenix Suns
Clippers wameendelea kuwa na kiwango bora na ambacho kinawafanya kuendelea kuwa kujiamini vyema. Muunganiko wa Griffin, Chris Paul na DeAndre Jordan umeendelea kuwa wenye kuaminika na unaoweza kuwa...
View Article