Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uwanja Kipenzi cha Mashabiki wa West Ham United, Upton Park wakumbwa na ya...

Wengi hasa mashabiki wa Arsenal wanaweza kuwa na kumbukumbu juu ya hali ngumu ambazo wamekutana nazo baada ya kuhama kutoka katika viwanja vyao vya awali, kumbukumbu ikiwa kutoka Highbury kwenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waamuzi waliochezesha Simba Vs Yanga watolewa ligi kuu.

Waamuzi waliochezesha mchezo namba 49 kati ya Yanga na Simba, Martin Saanya na Samweli Mpenzu wametolewa kwenye ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, huku suala lao likipelekwa kwenye Kamati ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jonas Mkude azungumzia kuhusu tetesi za kujiunga na Yanga.

Kumekua na tetesi za mchezaji na nahodha wa Simba Jonas Mkude kwamba anataka kujiunga na club ya Yanga akitokea Simba. Tetesi hizi zimepamba moto baada ya mchezaji huyo kushindwa kusafiri na timu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utata mzito waibuka wachezaji wawekewa vikwazo kujiunga na Mbeya City.

Wachezaji wawili wa ambao inabidi wajiunge na Mbeya City wanakumbwa na utata mkubwa kutoka kwa bosi wao wa zamani “Zamunda”. Tatizo la wachezaji hawa tayari lipo mahakamani na wakili wa wachezaji hawa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Danny Mrwanda anawajengea wanae mazingira ya soka.

Kipaji hakipotea hasa pale kinapoandaliwa mapema kama wanavyofanya wenzetu wa Ulaya. Hizi sasa tunashuhudia jinsi mtoto wa Zidane anaita Enzo anavyokua vizuri kwenye club ya Real Madrid. Kipaji cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Arsenal vs Real Madrid? Timu ambazo zinaweza kukutana hatua ya 16 bora Uefa...

Tayari hatua ya makundi ya Champions League imemalizika usiku wa December 6 na timu zilizofuzu hatua ya 16 bora zimeshajulikana. Timu zote zilizoshika nafasi ya tatu kwenye makundi yao zimedondokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benzema ameifikia rekodi ya Thiery Henry kuweka kambani UEFA Champions League

Karim Benzema amekuwa mchezaji wa sita kufikisha magoli 50 kwenye michuano ya UEFA Champions League akiwa sawa kwa magoli na nyota wa zamani wa Arsenal Thiery Henry kwa kusukumiza gozi kambani katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mayanja kasema kinachoendelea Morogoro

Baada ya kuanza mazoezi mkoani Morogoro, kocha msaidizi wa Simba SC Jackson Mayanja amesema, wanatarajia kufanya mazuri kama walivyofanya katika mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Tanzania bara....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Azam kwenye hatua za mwisho kumnasa star wa Mbeya City

Katika kuhakikisha inaboresha kikosi chake katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili, klabu ya Azam FC ipo kwenye mazungumzo na mchezaji wa Mbeya City Joseph Mahundi  kwa ajili ya kukamilisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Azam Fc uso kwa uso na Mtibwa Dec 10

KATIKA kujiandaa vilivyo kuelekea mechi za raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, inatarajia kukipima kikosi chake kwa kucheza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanadada  wa kibongo aliyechezesha michuano ya mataifa ya Afrika azawadiwa gari

Baada ya kucheza michezo miwili kwenye fainali za Afrika kwa upande wa wanawake zilizofanyika Cameroon, mwamuzi wa kike wa kitanzania Jonesia Rukyaa amezawadiwa gari na wadau wa soka nchini kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee Kilomoni amefeli kuzuia mkutano wa Simba

Mahakama ya Wilaya ya Ilala metoa ruhusa kwa klabu ya Simba kufanya mkutano maalum wa dharura uliopangwa kufanyika December  11 mwaka huu. Maamuzi hayo yametokana na jaribio la zuio la mkutano huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mechi ya Europa League Sassuola vs Genk yaota mbawa

Mchezo wa Europa League uliokuwa unaikutanisha Sassuolo ya Italia dhidi ya KRC Genk umeahirishwa kutokana na hali ya hewa kutoruhusu mchezo huo kuchezwa. Barafu iliyokuwa ikishuka imesababishwa mchezo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aubemeyang na kila dalili za kwenda Real Madrid.

Real Madrid ina uwezo wa kusajili karibia wachezaji wote kwa gharama yoyote ambayo ni reasonable kwa wachezaji nyota duniani kwa sasa hivi. Habari za Aubameyang kujiunga na Real Madrid zimeongelewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Santi Cazorla awapa ujumbe mashabiki wa Arsenal.

Arsenal playmaker Santi Cazorla amwapa mashabiki wake tumaini kubwak kuhusu operation ambayo amepitia. Cazorla alifanyiwa operation kwa kutokana na jeraha alilopata kwenye michuano ya EUFA dhidi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Stephano Mwasyika: Soka la Tanzania lina maadui wengi, malengo yangu ni kuwa...

Na Baraka Mbolembole “Nimecheza mechi nyingi nikiwa Tanzania Prisons, Yanga, Moro United na Taifa Stars lakini mechi ya Algeria 1-1 Tanzania mwaka 2012 siwezi kuisahau. Ilikuwa mechi ngumu sana, pia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu za Darasa na Mavoco kumtaja Samatta kwenye nyimbo zao

Ngoma nyingi zimeachiwa hivi karibuni za wakali wa Bongo flavor, kati ya ngoma hizo ni pamoja na heat song iliyofanywa na Darasa kwa kumshirikisha Ben Paul ngoma inajulikana kama MUZIKI, lakini pia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Adios Twite, vazi la ukimataifa limekutoa Jangwani

Na Abdul Mkeyenge NIMEREJEA zangu Dar es Salaam jana jioni na leo asubuhi nimeamka mapema nikiwa na kazi moja tu. Nina kazi ya kuitafuta shajara yangu inayomuhusu Mbuyu Twite, kile kipande cha baba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF imetoa uamuzi kuhusu sakata la Hassan Kessy

Baada ya kupitia mawasilisho ya pande zote kwa njia ya mahojiano, na vielelezo Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji imebaini mambo yafuatayo ambayo yanapaswa kuchukuliwa hatua za haraka: 1....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COMMENT ya Samatta baada jina lake kutajwa kwenye wimbo wa Darasa na Mavoco

Baa ya jina lake kutajwa kwenye nyimbo za wasanii wa Bongo Flavor, mshambuliaji wa kibongo anayecheza soka la kulipwa nchini Ubelgiji amesema kwake ni heshima kubwa kuwepo kwenye nyimbo za wasanii na...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>