Klabu ya Arsenal imepost ujumbe kuhusu Uhuru wa Tanzania bara
Wakati Tanzania bara ikisherekea miaka 55 tangu ipate uhuru wake, klabu ya Arsenal inayocheza ligi kuu ya England imepost picha kwenye mtandao wa Facebook ya bendera ya Tanzania iliyoandikwa ‘Happy...
View ArticleMachache kuhusu Kaseke ndani na nje ya Yanga
Yahaya Mohamed ‘Mkazuzu’ alikutana na kiungo mshambuliaji wa Yanga Deusi Kaseke amabaye alisajiliwa kutokea Mbeya City. Amepiga nae stori na nyota huyo ambaye pia ni miongoni mwa wachezaji wa timu ya...
View ArticlePICHA 5: Matokeo mechi ya kirafiki Poilisi Moro vs Simba
Mchezo wa kirafiki kati ya Polisi Morogoro dhdi ya umemalizika kwa Simba kupata ushindi wa magoli 2-0 katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. Magoli ya Simba yamefungwa na Ibrahim Ajibu , goli la...
View ArticleBEACH SOCCER: Tanzania imepata ushindi mbele ya Uganda
Mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa soka la ufukweni kati ya timu ya taifa ya Tanzania dhidi ya Uganda umemalizika kwa Tanzania kupata ushindi wa magoli 7-5. Mechi hiyo iliyochezwa kwenye uwanja maalum...
View ArticleSimba yatinga fainali U-20
Simba U20 imetinga hatua ya fainali ya michuano ya ligi kuu Tanzania bara kwa vijana chini ya miaka 20 baada ya kuifunga timu ya Stand United ya Shinyanga. Dakika 90 za mchezo huo wa nusu fainali...
View ArticleYanga inyang’anywe pointi zote kwa kumtumia Kessy – Rage
Ismail Aden Rage-Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba SC Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Rage ameitaka klabu ya Simba kwenda mbele zaidi kudai haki yao na si kukubali kiasi cha shilingi milioni...
View ArticleWachezaji wa Uganda wapigwa chini kwa upangaji matokeo
Beki wa zamani wa kimataifa wa Uganda Godfrey Kateregga na Saddat Kyambadde wametimuliwa na Police Football Club kwa upangaji matokeo. “wachezaji hao walikiri,” alisema mwenyekiti wa klabu Assan...
View ArticlePep Gurdiola anataka FIFA waweke Sub sita kwa mechi moja
Kocha wa Manchester city amefunguka kuhusu kitu ambacho hakubaliani nacho kwa mujibu wa sheria za soka hasa kwenye swala zima la kubadirisha wachezaji kwenye mechi. Kocha wa Manchester City amesema...
View ArticleDavid Seaman: Sanchez na Ozil wakisepa, Arsenal hakuna ubingwa
Legend wa Arsenal David Seaman ni mmoja kati ya wachezaji ambao walikua kwenye kikosi cha kwanza cha Arsenal ambacho kilijenga mashabiki wengi sana. Kikosi kile cha kina Henry na Viera ndio kwa kiasi...
View ArticleBalotelli: Naweza kushinda Ballon Dor
Kila anayempenda Mario Balotelli sasa hivi amefurahia come back yake kwenye kikosi chake kipya. Watu wengi walijua kwamba ndio mwisho wa kipaji cha mchezaji huyo lakini inaonekana ana furaha sana...
View ArticleLwandamina aanza kwa kichapo Yanga
Yanga imechwapwa 2-0 na JKU ya Zanzibar kwenye mchezo wa kujipima nguvu uliochezwa kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga yachezesha timu mbili Yanga wamechezesha vikosi viwili tofauti katika...
View ArticlePluijm ameishuhudia Yanga ikilazwa na JKU
Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu ya Yanga Hans van der Pluijm alikuwa jukwaani akiishuhudia klabu yake ikipoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU ya Zanzibar. Pambano hilo lilisukumwa kwenye uwanja wa...
View ArticleWaziri Nchemba anakaba hadi mechi za kirafiki!
Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba, ameonekana tena kwenye mchezo wa kirafiki wa Yanga wakati wanaikabili JKU kutoka visiwani Zanzibar. Mh. Nchemba ameonekana kwenye mechi nyingi za...
View ArticleKaburu kasema hajamuona ‘mkata umeme,’ amemuona ‘kishoka’
Makamu wa Rais wa klabu ya Simba SC Geofrey Nyange ‘Kaburu’ amesema hajamuona kiungo wa Yanga Justine Zulu ambaye kwa sasa ni maarufu kwa jina la ‘mkata umeme’. Badala yake Kaburu amesema aliyemuona...
View ArticleAUDIO: Maneno ya Lwandamina baada ya kupoteza mchezo wa kirafiki
Kocha mpya wa Yanga amesema Yanga ni timu nzuiri ameona walivyocheza , ameona mapungufu yaliyojitokeza baada ya mchezo wao wa kirafiki dhidi ya JKU yaliyopelekea kupoteza mchezo huo kwa magoli 2-0 na...
View ArticleMaamuzi yaliyofikiwa na Simba kwenye mkutano wa dharura
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa klabu ya Simba SC Patrick Kahemele, zaidi ya 98% ya wanachama waliohudhuria mkutano wameunga mkono agenda mabadiliko ya katiba iliyopelekwa kwenye mkutano wa dharura....
View ArticleDiego Costa kaishusha Arsenal kileleni
Chelsea wamerejea tena kileleni ma Premier League ni baada ya kushinda mchezo wao wa tisa mfululizo kufatia Diego Costa kufunga bao pekee la ushindi wakati wakichuana na West Brom kwenye uwanja wa...
View ArticleBaada ya mechi ya El Classico, refa afungiwa kwa kuwa karibu na Barcelona
Sasa hivi imethibitishwa na refa msaidizi Paul Devis amefungiwa na La Liga kutokana na kuonekana kuwa karibu sana na Barcelona kwenye mechi ya El Classico. Baada ya mechi hiyo kutoka 1-1, Radio moja...
View ArticleMan United imepata ushindi wa kwanza Old Trafford tangu September
Goli pekee la Henrikh Mkhitaryan limeipa Manchester United ushindi kwa mara ya kwanza kwenye uwanja wa Old Trafford katika michezo ya Premier League, mara ya mwisho Man United kuibuka na ushindi O.T...
View ArticleTaarifa kuhusu jeraha la Mkhitaryan
Baada ya kufunga goli moja la ushindi kwenye mechi dhidi ya Spurs, Mkhitaryan alitolewa nje baada ya kupata challenge kutoka kwa Danny Rose. Baada ya kutoka tu mashabiki wa Manchester wakaanza...
View Article