Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAGUZI TEFA BADO ‘KIZUNGUMKUTI’

Mwenyekiti wa uchaguzi DRFA Rashid Sadala (kushoto) akiwa na mwenyekiti wa uchaguzi wa TEFA Mashaka Mgaya Uchaguzi wa chama cha soka mkoa wa kisoka wa Temeke, umezuiwa kwa agizo la mahakama kutokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABA WATOTO WA UWOYA APIGWA CHINI NA KLABU YAKE YA BONGO

Kikosi cha Stand United ‘Chama la Wana’ cha mjini Shinyanga kimemtema mchezaji wake Hamad Ndikumana kikidai umri wake ni mkubwa hivyo ameshindwa kuendana na kasi ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMPHIS DEPAY SASA KAZI KWAKO MAN UNITED

Baada ya kutopangwa tangu mara ya mwisho alipocheza na kutolewa wakati wa mapumziko katika mechi dhidi ya Arsenal, Memphis Depay sasa anatarajiwa kuongoza mashambulizi ya Manchester United mara baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA MECHI ZOTE ZA EPL JUMAMOSI HII

Baada ya ligi mbalimbali kusimama kwa muda kupisha ratiba ya michezo ya kimataifa, ligi kuu ya England itaendelea tena kwa mechi kadhaa kupigwa kwenye viwanja tofauti kutafuta pointi tatu ili kujiweka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA MCHEZO WA EL CLASICO, FAHAMU TAKWIMU MBALIMBALI ZA MIAMBA HIYO YA...

Real Madrid leo usiku itakuwa mwenyeji wa FC Barcelona kwenye pambano la kwanza la El Clasico msimu huu kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu. Rafa Benitez atakuwa anakiongoza kikosi cha Madrid kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAHEEM STERLING KUIADHIBU LIVERPOOL LEO?

Na Simon Chimbo Klabu za Liverpool na Manchester City leo zinakutana katika mchezo wa ligi juu nchini England katika mechi inayotarajiwa kuwa Kali na ya kusisimua katika uwanja wa Etihad mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEYMAR AMEKOMAA, SUAREZ ANATOA MAJIBU. BARCELONA YAIANGAMIZA MADRID NA HATIMA...

Neymar na Luis Suarez waliendelea na rekodi yao bora ya ufungaji msimu huu  wakiiangamiza RealMadrid na kuendeleza wigo wa pointi kufikia 6. Pengine sasa Barcelona inathibitisha ubora wake kwa vilabu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARSENE WENGER ASHINDWA KUJIZUIA, ‘AIZODOA’ UEFA

Kocha wa klabu ya Arsenal mfaransa Arsene Wenger amelalamikia sheria za shirikisho la mpira wa miguu barani Ulaya, UEFA kuhusu dawa za kuongeza nguvu kwa wachezaji ‘doping’ kuwa zinasapoti matumizi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KUIPIGA CHINI SIMBA, HII NDIYO TIMU INAYOMUHITAJI MATOLA KWA UDI NA...

Seleman Matola (kushoto) alipokuwa akipokea cheti chake cha ukocha kutoka kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi Aliyekuwa kocha msaidizi wa klabu ya Simba SC Selemani Matola, siku chache zijazo huenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: YANGA YAENDELEA KUJIFUA BOKO

          Mabingwa watetezi wa kombe la ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Yanga SC leo wameendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterani kujiandaa ya mwendelezo wa ligi kuu Tanzania bara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu gani zitavuka na kutolewa kwenye Champions League wiki hii

Nafasi 3 kati ya 16 za hatua ya mtoano wa UEFA Champions League zimeshachukuliwa na bado kuna vilabu 27 vinagombea nafasi 13 zilizobaki huku michezo miwili ikiwa zimebaki kabla ya hatua ya makundi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALVES ARUSHA DONGO KWA RONALDO NA MADRID

Beki wa kulia wa Barcelona Dani Alves amesema kwamba Cristiano Ronaldo lazima atarajie kupata lawama nyingi baada Real Madrid kupata kipigo kitakatifu kutoka kwa Barcelona. Ushindi wa Barca wa mabao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEUER AAHIDI KUISAIDIA ARSENAL KUSONGA MBELE MICHUANO YA UEFA

Manuel Neuer ameahidi kutumia ujuzi wake wote kuhakikisha wanashinda mchezo wa ligi ya Mabingwa leo usiku dhidi ya Olympiakos ili kuinusuru Arsenal kutupwa nje ya michuano ya klabu bingwa Ulaya....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Arsenal kuaga leo? – Timu gani zitavuka na kutolewa kwenye Champions League...

Nafasi 3 kati ya 16 za hatua ya mtoano wa UEFA Champions League zimeshachukuliwa na bado kuna vilabu 27 vinagombea nafasi 13 zilizobaki huku michezo miwili ikiwa zimebaki kabla ya hatua ya makundi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANZIBAR HEROES YATUPWA NJE CHALLENGE CUP

Uganda Cranes wameiangushia kipondo timu ya Zanzibar Heroes kwenye mchezo uliochezwa mapema leo wa kundi B kwenye michuano ya CECAFA Challenge Cup inayoendelea nchini Ethiopia. Hata hivyo Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILI STARS MWENDO MDUNDO CHALLENGE CUP, YAKATA TIKETI KUCHEZA ROBO FAINALI

Timu ya taifa ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro Stars’ imefanikiwa kuendeleza ushindi kwenye mashindano ya Challenge yanayofanyika nchini Ethiopia, Kili Stars leo imeifunga Rwanda kwa magoli 2-1 kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOLA ASAINI MKATABA KUIFUNDISHA TIMU YA LIGI DARAJA LA KWANZA

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Simba SC Selemani Matola amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha timu ya Geita Gold Sc Baada ya Selemani Matola kujiuzulu nafasi yake kama kocha msaidizi wa Simba kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muller aweka rekodi mpya na kuwafunika Messi, Raul na Ronaldo

Bayern Munich wamepata ushindi wao wa 4 katika hatua ya makundi ya Champions League maimu huu – lakini leo pia ilikuwa ni siku ya Thomas Muller kuandika rekodi mpya na kuwazidi Lionel Messi, Cristiano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAUDA TV: MESSI AUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWABA YEYE NI SUMU, BARCA YAISHUSHIA...

Messi akicheza mchezo wake wa pili tangu aliporejea kutoka kwenye majeruhi ya muda mrefu ameisaidia timu ke kuibuka na ushindi wa magili 6-1 dhidi ya AS Roma kwenye mchezo wa kundi E wa michuano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAUDA TV: ARSENAL YAFUFUA MATUMAINI YA KUSONGA MBELE MICHUANO YA ULAYA

Ushindi wa magoli 3-0 walioupata Arsenal wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Dinamo Zagreb umefufua matumaini ya klabu hiyo kusonga mbele kwenye michuano ya Ulaya baada ya Bayern Munich...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>