Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RONALDO NA BINTI YAKE JORGE MENDES NINI KINAENDELEA?

Ronaldo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wakala wake Mendes (kulia) na Marisa kushoto Wiki iliyopita alipoulizwa kama ni nani anatoka naye kimapenzi hivi sasa baada ya kuachana na mrembo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALOMON KALOU MOTO CHINI NDANI YA BUNDESLIGA…MAGOLI 10 NDANI YA MECHI 13

Mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast hivi sasa ni mchezaji muhimu sana kwenye club ya Hertha Berlin. Hadi sasa Kalou ameshafunga magoli 10 kwenye mechi 13 alizocheza ambapo kati ya hayo 7 amefunga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REKODI MBALIMBALI ZILIZOWEKWA KATIKA NBA NOV 17

Brooklyn Nets wameifunga Atlanta Hawks kwa point 90-88. Kabla ya mchezo wa leo, Brooklyn walikuwa wamepoteza michezo 6 dhidi ya Atlanta. Ushindi wao wa mwisho ukiwa ule wa  January 26, 2014. Mpaka sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KICK YA PIERRE AUBAMEYANG INAZIDI KUPANDA INSTAGRAM NA UWANJANI

Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon na club ya Borussia Dortmund ni jina kubwa katika fani ya soka sasa hivi kwa kasi yake ya ajabu ya kucheka na nyavu ndani na nje ya ligi ya Bundesliga. Aubamayang...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STEPHEN CURRY ANATISHA, GOLDEN STATE WARRIORS YAENDELEA NA REKODI YAIUA...

Hata kama wakiwa hawakucheza mchezo wao uliozoeleka na kiwango cha chini, Golden State Warriors imeweza kudumisha muendelezo wao uliokuwa bora. Stephen Curry alifunga pointi 37 na kuisaidia Golden...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STURRIDGE SASA MAMBO SAFI LIVERPOOL

Mshambuliaji Daniel Sturridge wa Liverpool amejitangaza kuwa yuko fiti na sasa anatarajiwa kurudi uwanjani mara baada ya kuwa ameanza mazoezi na kikosi cha kwanza na wachezaji wenzie wa Liverpool....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: HIVI NDIVYO STARS ILIVYOWASILI BONGO

Kocha wa Stars Charles Boniface Mkwasa akilakiwa baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius K. Nyerere akitokea Algeria na kikosi cha timu ya taifa Kikosi cha timu ya taifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MESSI AONESHA VIATU MAALUM ATAKAVYOVAA KATIKA MECHI YA ‘EL CLASSICO’

Zimebaki siku mbili tu kabla ya mchezo unaosubiliwa kwa hamu na wapenzi wengi wa soka duniani kupigwa kati ya Real Madrid na Barcelona katika uwanja wa Bernabeu. Ni kiu ya wadau wengi wa soka hasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIYO TWEET YA MALINZI KWA WAZIRI MKUU MPYA

Baada ya Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kuteuliwa kuwa waziri mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi aliandika ujumbe kwenye account ya Tweeter kumpongea Mh....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ADEBAYOR AMERUDI UWANJANI NA JEZI YA TOTTENHAM HOTSPURS

Mchezaji wa kimataifa wa Togo mwenye miaka 31 amerudi tena uwanjani akiwa amevaa jezi Tottenham Hotspurs kucheza mechi ya kujitolea kwa ajili ya foundation yake ya SEA. Kwenye hiyo mechi lengo kubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FLOYD MAYWEATHER AMETUMIA ZAIDI YA MILLIONI 99 KUMNUNULIA MWANAE MWENYE MIAKA...

Kama baba anapenda kutumia pesa basi lazima azitumie na kwa mwanae pia sio kwake tu. Hivyo hivyo amefanya Mayweather ambae ni maarufu sana kwa kutumia pesa nyingi kwa ajili ya kujinunua magari ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya urejeo wa Paul Kiongera, Simba SC inahitaji mmoja kati ya...

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Kiungo raia wa Kenya, Paul Kiongera anarejea katika klabu ya Simba SC, pia Mganda, Brian Majwega atasajiliwa wakati huu wa dirisha dogo la usajili ili kuongezea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA MCHEZO WA MADRID VS BARCELONA, HIVI NI VITU VITANO USIVYOVIJUA...

Real Madrid na Barcelona zitaumana kwenye mchezo wao wa ligi maarufu kama El Clasico utakaochezwa kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu Jumamosi ya November 21, katika historia ya mchezo huo Real Madrid...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BETRAM MWOMBEKI TENA UWANJANI

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Betram Mwombeki atajiunga na timu ya ligi daraja la tatu Mkoani kwao Mwanza wakati huu ambao ameamua kumpumzika kucheza ligi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KASEJA KULAMBA DILI JIPYA

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Klabu ya Mbeya City FC itampa mkataba wa mwaka mmoja na nusu mlinda mlango wake Juma Kaseja I Juma ambaye mkataba wake wa miezi sita unataraji kumalizika mwezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NANI WA KUWAZUIA? STEPHEN NI CURRY, NA GOLDEN STATE NI WARRIORS. YAICHAPA L.A...

Stephen Curry alifunga pointi 40  huku akiiongoza Warriors kuata mitupo  8 kati ya  9 ya pointi  3 na kutumia nafasi hiyo katika robo ya nne ya kuipiga Los Angeles CLIPPERS 124-117 Alhamisi usiku. Huu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEBRON JAMES AONGOZA KIPIGO CHA CLEVELAND KWA MILWAUKEE BUCKS, LAKINI GIANNIS...

Baada ya LeBron James na kocha David Blatt  kuhoji juu ya ushupavu na ukomavu  wao kufuatia kupoteza mechi mbili mfululizo, Cavaliers ilirejea na  ikaonekana zaidi kama timu bora katika kanda ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO 7 YAKUHUZUNISHA KWENYE MCHEZO WA SOKA

Tumekuwa tukifurahia wachezaji wa timu tunazozishabikia pindi wanapofunga magoli au kusaini vitabu vyetu vya kumbukumbu na hata wakinyanyua vikombe ambavyo tumekuwa tukivitamani na kuvisubiri kwa muda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADE NA BOSH WAIONGOZA MIAMI NA REKODI IMARA DHIDI YA SACRAMENTO KINGS

Wade alifunga pointi 24 na Miami Heat kuwapiga Sacramento Kings 116-109 Alhamisi usiku ,huku wakitumia faida ya Sacramento kumkosa nyota wao DeMarcus Cousins baada kusimamishwa mchezo mmoja. Chris...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuelekea El Clasico: Messi, Suarez na Neymar vs Safu nyingine za Ushambuliaji...

Wakati Lionel Messi atakaporudi dimbani kutoka kwenye majeruhi katika mechi ya EL Clasico – kuna uwezekano akiwa anatokea benchi – then ile safu ya ushambuliaji ya Barcelona inayotajwa kuwa zaidi...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>