MADRID, MSIYEMPENDA KAJA!
Zikiwa zimebaki siku nne kuelekea mchezo wa mahasimu wakubwa wa soka la Hispania, El Classico inayowakutanisha miamba yasoka Real Madrid na Barcelona, Lionel Messi ameanza mazoezi Jumatatu hii tayari...
View ArticleHOFU YA MAGAIDI YAUFUTA MCHEZO KATI YA SPAIN NA UBELGIJI
Baada ya shambulio la kigaidi lililotokea Ijumaa usiku jijini Paris nchini Ufaransa, hali bado sio shwari barani Ulaya baada ya kuwepo kwa viashiria vya tukio jingine la kigaidi nchini Ubelgiji na...
View ArticleLAKERS YALAMBISHWA ARDHI TENA. BRANDON KNIGHT KATIKA KIWANGO CHA MAISHA YAKE
Brandon Knight aliweza kupata trible double yake ya kwanza ya maisha ya Basketball katika NBA dhidi ya klabu ya Los Angeles Lakers alfajiri a leo. Brandon Knight aliisadia klabu yake ya Phoenix Suns...
View ArticleCHICAGO BULLS YAINYOOSHA PACERS YENYE PAUL GEORGE ALIYE KATIKA KIWANGO BORA
Butler alifunga pointi 17 na alicheza kwa kuimarisha ulinzi mkali dhidi ya Paul George katika umilki wa mwisho wa mpira wa Indiana Pacers. Hii ilipelekea kuisaidia Chicago Bulls kung’ang’ana na...
View ArticleOKLAHOMA CITY THUNDER YAENDELEA KUANGUKA, YACHAPWA NA MEMPHIS GRIZZLIES...
Mario Chalmers ghafla amepitia mageuzi kutoka mmoja wa wachezaji wengi waliopitua maisha ya kudharauliwa katika uwanja wa Memphis. Lakini imemchukua michezo mitatu tu kugeuka kuwa moja ya wachezaji...
View ArticleMATOKEO YAJUMLA YA NBA NOV 16
FINAL DAL 92 PHI 86 1 2 3 4 T 28 21 19 24 92 15 29 21 21 86 FINAL IND 95 CHI 96 1 2 3 4 T 21 24 30 20 95 31 22 26 17 96 FINAL BOS 111 HOU 95 1 2 3 4 T 24 31 32 24 111 28 27 13 27 95 FINAL OKC 114 MEM...
View ArticleMWAKA MMOJA WA HASSAN KESSY SIMBA SC HAIJAFIKIA HATA THAMANI...
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Miezi 11 iliyopita Simba SC ilimsaini mlinzi wa kulia, Ramadhani Kessy kutoka klabu bingwa mara mbili ya zamani ya Tanzania bara, Mtibwa Sugar. Kessy alikuwa na...
View ArticleKUELEKEA MCHEZO WA ALGERIA VS TANZANIA, JOTO LAZIDI KUPANDA KWENYE MITAA YA...
Leo vyombo vingi vya habari vya mjini Blida vimekua vikiuzungumzia mchezo kati ya Algeria dhidi ya Tanzania wa kuwania nafasi ya kupangwa kwenye hatua ya makundi kuwania kushiriki fainali za kombe la...
View ArticleHAWA NDIO WABADALA SAHIHI WA NADIR HAROUB, KELVIN YONDAN TAIFA STARS
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Jumanne hii itacheza mchezo wa marejeano kuwania nafasi ya kufuzu kwa hatua ya makundi kuwania tiketi ya fainali za...
View ArticleVIONGOZI WA MAJIMAJI WANAPIGA SANA PESA, WACHEZAJI NJAA KALI
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Wachezaji 6 wanataraji kutimka leo kurudi mikoani mwao, na tayari wachezaji zaidi ya 8 wameondoka kwa ‘taabu’. Hakika kinachoendelea sasa ndani ya Majimaji FC ya...
View ArticleKUTOKA MBAGALA MARKET 2009 HADI MFUNGAJI BORA AFRIKA 2015…LILLE NI KITUO...
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mshambulizi wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ‘ Samagoal’ atajiunga na timu ya ligi kuu ya Ufaransa, Lille mara baada ya kutimiza ndoto zake za miaka...
View ArticleALGERIA YAIFUNGASHIA STARS FURUSHI LA MAGOLI
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeondoshwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kupangwa kwenye hatua ya makundi kwa ajili ya kutafuta nafasi ya...
View ArticleMACHUPA: UWAZI UNATAKIWA KATIKA SOKA LA KISASA TUSIKARIRI MAJINA, BADO...
Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Baada ya Stars kupata kipigo cha bao 7-0 dhidi ya Algeria kwenye mchezo wa kusaka nafasi ya kupangwa kwenye makundi ili...
View ArticleZITTO KABWE: MUHIMU KUJIFUNZA NA KUJIPANGA UPYA, TUWEKEZE KUENDELEZA VIPAJI...
Zitto Kabwe, kiongozi wa cha cha ACT Wazalendo Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Mh. Zitto Kabwe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini ametoa maoni yake kuhusiana na matokeo mabovu iliyopata...
View ArticleMKWASA AWAOMBA WAANDISHI APUMZIKE
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa Ndoto za watanzania kushiriki fainali za kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi zilisitishwa usiku wa November 17, 2015 kwenye uwanja wa...
View ArticleSAMATTA ATOA YA MOYONI KUHUSU KICHAPO CHA STARS
Nyota wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ameandika kwenye account yake ya facebook kuonesha masikitiko yake baada ya Stars kupokea kichapo cha magoli 7-0 mbele ya Algeria kwenye mchezo wa kuwania...
View ArticleDOYE MOKE : BARTHEZ ALIKUA MZEMBE, STARS INAHITAJI WACHEZAJI WA KIMATAIFA ZAIDI
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Baada ya kushuhudia timu ya kandanda ya Tanzania ikichapwa kipigo ‘kikubwa zaidi’ tangu ilipojiunga FIFA mwaka 1964, wadau mbalimbali wamejitokeza na kuweka wazi...
View ArticlePICHA: STARS YAANZA SAFARI YA KUREJEA NYUMBANI
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wameanza safari ya kurejea jijini Dar es Salaam baada ya kichapo cha magoli 7-0 walichokipata toka kwa Algeria kwenye mchezo uliochezwa jana usiku...
View ArticleROONEY AWAZIMA MIDOMO WANAOMBEZA, AING’ARISHA ENGLAND MBELE YA FRANCE
Wazungu wana usemi usemao, “Class is permanent, form is temporary” wakimaanisha uwezo na kipaji ni kitu kikubwa zaidi ya kiwango ‘fomu’ ambayo huja na kupotea. Usemi huo ulithibitika jana usiku...
View ArticleTIMU 11 ZATHIBITISHA KUSHIRIKI MICHUANO YA KIKAPU YA TAIFA CUP DODOMA.
Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini limethibitisha kuanza kwa michuano ya Taifa Cup itakayofanyika mjini Dodoma mwishoni mwa juma hili. Lengo la michuano hiyo ni kukutanisha mikoa mbalimbali katika...
View Article