Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuhusu Arsene Wenger kusepa Arsenal, bodi ya club imefikia maamuzi haya.

Karibia kila shabiki wa Arsenal hivi sasa anataka kocha wao Wenger aache kazi na kumpa nafasi kocha mwingine ili angalau arudishe matumaini ya kupata vikombe kwenye club hiyo. Ripoti kutoka kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANNE WATUA N’DJAMENA KUKAMILISHA KIKOSI CHA STARS KWA MAKAMUZI DHIDI YA CHAD

Kutoka kushoto: Shomari Kapombe, Aishi Manula na Farid Musa wakiwasili D’jamena, Chad kuungana na wachezaji wengine wa Stars kwa ajili ya mchezo wa kecho Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: STARS ILIVYOKAMILISHA MAZOEZI KUIKABILI CHAD

Baadhi ya wachezaji wa Stars wakifanya mazoezi mepesi ya mwisho kuelekea mchezo wao dhidi ya Chad Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimefanya mazoezi yake ya mwisho kabla ya mchezo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA MPYA YA TFF KUHUSU MCHEZO WA KU-BET

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kuwakumbusha wanafamilia wa mpira wa miguu juu ya ibara ya 59 kifungu kidogo cha 11 kinachotamka: TFF Family members shall at all times comply...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lini na Wapi Barcelona Wanaweza kutwaa ubingwa wa La Liga

FC Barcelona walimaliza weekend iliyopita kwa kuongeza wigo wa pointi kwenye La Liga baada ya mechi yao na Villareal.   Sare ya 2-2 katika uwanja wa El Madrigal, dimba ambalo Real Madrid na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALIM MBONDE: KWA SASA NIPO HURU KUFANYA MAZUNGUMZO NA TIMU YOYOTE

Salim Mbonde-Beki Mtibwa Sugar Na Baraka Mbolembole Siku 50 kuelekea kikomo cha mkataba wake na klabu ya Mtibwa Sugar, mlinzi wa kati na nahodha wa timu hiyo bingwa mara mbili wa zamani wa Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKOMBOZI WA UINGEREZA BAADA YA UTUMWA WA MIAKA 15

Na Athumani Adam Kwenye msimu wa kwanza ligi kuu England yaani Epl 1992/1993 tano bora ya orodha ya wafungaji ilibeba waingereza. Wakati huo Harry Kane alikuwa kado kuzaliwa, Jamie Vardy alikuwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANTE ANAVYOTEMBEA KWENYE KIVULI CHA PATO NGONYANI

Kuna wakati mwingine jitihada zinafichwa kwa mgongo wa watu wengine hasa wanaoangaliwa sana na jamii inayowazunguka.kila, shabiki wa mpira duniani ameshangazwa na timu ya Leicester City jinsi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO 5 YA KUANGALIA KWENYE MECHI ZA KUFUZU AFCON WIKI HII

Michezo ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya AFCON ambayo itapigwa juma hili na juma lijalo ili kuzipata timu zitakazo shiriki michuano hiyo itakayofanyika Gabon mwanzoni mwa mwaka ujao. Presha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ISOME BARUA YA SIMBA WAKIISHTAKI TFF, YANGA NA AZAM KWA NAPE NNAUYE

Haji Manara-Afisa habari Simba SC Klabu ya Simba imepeleka barua ya malalamiko kwa Waziriri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na michezo Mh. Nape Nnauye wakilalamikia Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NBA ALL STAR 2018 YAPANGWA, LIJUE JIJI LITAKALOANDAA.

Hatimaye shirikisho la mpira wa kikapu chini Marekani limetangaza mji utakaokuwa mwenyeji wa mashindano ya nyota wa mpira wa kikapu Marekani maarufu kama NBA ALL STAR GAME, utakaofanyika February 28...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAMBANO LA NANI BORA KATI YA MESSI NA RONALDO LILIPOFIKA KWA XAVI MAJIBU YAKE...

Nahodha wa zamani wa Barcelona Xavi Hernandez, amemuelezea Lionel Messi kama mchezaji bora kuliko Cristiano Ronaldo, na pia mwenye akili nyingi zaidi ya nyota huyo wa Madrid ambaye ni mpinzani wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanuni 10 za Johan Cruyff ambazo mwanasoka anatakiwa kuzifuata ili kufanikiwa

Wakati tukiendelea kumkumbuka Johan Cruyff  – leo tuangalie sheria/kanuni 10 zake juu ya soka kupitia kitabu chake cha ‘I like Football’. Wadau wengi wanasema kanuni hizi 10 zinatengeneza filosofia ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI KWELI SIMBA SC NI ‘KIRAKA CHA MUDA’ KWA BANDA, LAKINI KABLA YA KUONDOKA…

Na Baraka Mbolembole Kiungo-mlinzi wa Simba SC, Abdi Banda ameingia katika mzozo usio na maana na kaimu kocha mkuu, Mganda, Jackson Mayanja. Banda hajacheza mchezo wowote ule tangu alipoondoshwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chelsea ikipambana kwenye ligi, Captain Terry yupo batani Dubai.

Captain wa Chelsea John Terry anaweza kuwa na mechi 8 zilizobaki na club ya Chelsea kwasababu mkataba wake uanisha mwishoni mwa msimu huu. Hatima ya John Terry haijulikani bado huku ikisemakana kwamba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Unajua uwanja wa Arsenal “Highbury” ulivyo sasa hivi?

Mwaka 2006 club ya Arsenal ihamia kwenye uwanja wake mpya The Emirates Stadium ambao una uwezo wa kubeba watazamaji 60,000. Baada ya kuhama kutoka kwenye uwanja wa zamani wa Highbury, uwanja huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFRICAN SPORTS YAPIGACHINI KOCHA

Na Mwandishi wetu, Tanga Uongozi wa klabu ya African Sports ya jijini Tanga leo umeamuwa kuvunja mkataba na kocha wao Ramadhani Aluko. Akizungumza nami mchana wa leo mjumbe wa kamati ya utendaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VAN PLUIJM AMLILIA JOHAN CRUYFF

Hans van der Pluijm, kocha mkuu wa club ya Yanga SC Kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm amemzungumzia gwiji wa soka wa Uholanzi na Barcelona Johah Cruyff kuwa ni mtu wa pekee kuwahi kutokea na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOHAN CRUYFF KUPEWA UWANJA UHOLANZI

Shirikisho la soka la nchini Uholanzi wanajiandaa kumpa heshima ya aina yake hayati Johan Cruyff kwa kuupa jina jipya uwanja wa soka Amsterdam Arena. Uwanja huo ulijengwa mwaka 1996 ukitumika kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MECHI 5 NDANI YA SIKU 14, MECHI 8 APRIL, RATIBA HAIJATENDA HAKI KWA YANGA SC,...

Na Baraka Mbolembole Ni katika ligi kuu ya England pekee, tena kwa kipindi cha ‘ Xmass na Mwaka Mpya’ tu utakuta klabu zikicheza michezo isiyopungua minne ndani ya siku kumi. Nimesikitishwa sana na...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>