Kwanini Johan Cruyff alikuwa akivaa jezi namba 14?
Johan Cruyff alikuwa akivaa jezi namba 14 ambayo kwa wakati wake ilikuwa namba ya jezi ambayo huvaliwa na wachezaji wa reserves. Hakuwa anaivaa jezi hiyo katika misimu sita ya mwanzo wa maisha yake...
View ArticleMWADUI YALISOGELEA TAJI LA FA CUP
Michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) ngazi ya robo fainali imeendelea leo kwa mchezo mmoja, ambapo Mwadui FC wameibuka na ushindi wa mabao 3- 0 dhidi ya wneyeji Geita Gold FC....
View ArticlePICHA: SAMATTA AIONGOZA STARS KWENYE MAZOEZI KUIKABILI CHAD
Nahodha wa Stars Mbwana Samatta akiwa kwenye mazoezi kuelekea mchezo dhidi ya Chad Timu ya taifa ya tanzania ‘Taifa Stars’ imeendelea vyema na maandalizi ya kuwania kufuzu kwa michuano ya Afrika AFCON...
View ArticleShanta Ronaldo: Kijana wa Kidenmark aliyedata na CR7, Husafiri kutoka Denmark...
Kijana mmoja wa kidenmark na mahaba yaliyopitiliza kwa Cristiano Ronaldo, na amekuwa akitumia fedha nyingi kujitengeneza afanane nae na mara kwa mara amekuwa akisafiri kwenda jijini Madrid kujaribu...
View ArticleFAHAMU MACHACHE KUTOKA KWA MTANZANIA ANAYECHEZA SOKA ENGLAND
MKchezaji wa Tanzania Adi Yusuf anayecheza Mansfield Town inayoshiriki ligi daraja la pili England akimiliki mpira wakati wa mazoezi Inawezekana Tanzania ikawa na hazina ya wachezaji wengi wanaocheza...
View ArticleDAKIKA 20 ZIMETOSHA KUMFANYA VARDY AANDIKE REKODI ENGLAND (Video)
Striker wa Leister City aliingia uwanjani zikiwa zimesalia dakika 20 game kumalizika wakati huo England ikiwa nyuma kwa goli 2-1 dhidi ya Ujerumani, ndani ya dakika tano Vardy akawanyanyua mashabiki...
View ArticleKUTOKA OUAGADOUGOU, 2007 HADI N’DJAMENA, 2016, ERASTO NYONI AMEANZA MECHI...
Erasto Nyoni-Mchezaji wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Na Baraka Mbolembole Unajifunza nini kutoka kwa kiungo-mlinzi wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na klabu ya Azam FC?...
View ArticleNANI KUNUNUA NAMBA 45 MSIMU WA USAJILI MAJIRA YA KIANGAZI
Na Athumani Adam Mwanafalsafa wa lugha ya kiingereza, William Shakespear aliwahi kusema “we know where we are, but know not where we may be”. Shakespear alimaanisha kwamba “tunajua tulipo sasa lakini...
View ArticleMATUKIO 10 YALIYOWATOA MACHOZI WACHEZA SOKA
Mpira wa miguu ni mchezo wa aina yake na ndiyo mchezo pendwa kuliko yote duniani. Baada ya mchezo wa kwa kawaida kuna matokeo ya aina tatu kushinda, kufungwa na kutoka sare. Watu wanatofautiana...
View ArticleKansa yachukua maisha ya mwanasoka mwingine – Abel Dhaira Afariki Dunia
Dunia ya soka imepata msiba mwingine siku kadhaa baada ya kifo cha Johan Cruyff, wana afrika mashariki tuna Msiba mwingine. – golikipa wa zamani wa Simba, Abel Dhaira hatunae tena. Golikipa huyo...
View ArticleCHAD YASABABISHA ‘MAJANGA’ KUNDI G KUFUZU AFCON 2017
Timu ya Taifa ya Chad ‘Les Sao’ imejiondoa katika michuano ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) itakayofanyika mwaka 2017 nchini Gabon. Taarifa ya kujitoa kwa Chad imetolewa na...
View ArticleBAADA YA CHAD KUKIMBIA KUWANIA KUFUZU FAINALI ZA AFCON, HAYA NDIYO MAAMUZI YA...
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Jumapili ya March 27 limepokea taarifa kutoka shirikisho la soka la Chad kuhusu kujitoa kwa timu yao ya taifa kwenye mechi za kuwania kufuzu kucheza fainali za...
View ArticleMTAZAMO WA SHAFFIH DAUDA BAADA YA CHAD KUJITOA KUWANIA KUFUZU FAINALI ZA...
Baada ya timu ya taifa ya Chad kujitoa kwenye mashindano ya kuwania tiketi ya kushiriki fainali za AFCON mwaka 2017, watu wengi wamekuwa na maoni tofauti hususan nafasi ya Tanzania kufuzu kwa fainali...
View ArticleHIVI NDIVYO STARS ILIVYOKUWA NA NAFASI KUBWA YA KUFUZU AFCON 2017 KAMA CHAD...
Na Baraka Mbolembole Hakika kitendo cha timu ya Taifa ya Chad kujitoa katika harakati za kufuzu kwa fainali za CAN 2017 ni cha kuchukiza sana hasa wakati huu wa karne ya 21. Upande wangu ni kama kila...
View ArticleMKASA WA YANGA NA ENEO LA JANGWANI UNAFANANA NA MKASA WA LIVERPOOL NA ENEO LA...
Na Zaka Zakazi Halmashauri ya jiji la Liverpool iliisaidia sana Liverpool FC ilipotaka kufanya upanuzi wa uwanja wao wa Anfield. Kikwazo kikubwa kilikuwa udogo wa eneo la pembeni ya uwanja huo...
View ArticleMAJIBU YA LUKAKU KUHUSU KUCHEZA CHINI YA MOURINHO
Romelu Lukaku amesema hana tatizo lolote ikiwa atapata nafasi nyingine ya kuwa chini ya kocha ya Jose Mourinho ambaye hapo awali walikuwa wote kunako klabu ya Chelsea. Mshambuliaji huyo raia wa...
View ArticleRONALDINHO AINGIA KWENYE HEADLINES ZA USAJILI MPYA
Kaka wa Ronaldinho ambaye pia ni meneja wake Roberto Assis ameweka wazi kwamba kunauwezekano mkubwa mteja wake akahamia ligi ya Marekani ‘Major League Soccer’ au akaelekea China kucheza kwenye...
View ArticleWALIONUNUA TIKETI KUANGALIA STARS VS CHAD KURUDISHIWA PESA ZAO
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwarudishia fedha zao kesho Jumanne, wapenzi wa mpira wa miguu waliokuwa wameshakata tiketi za kushuhudia mchezo wa kundi G kati ya Tanzania v...
View ArticleROMANIA YAGUNDUA MBINU MPYA ZA KUFUNDISHA HISABATI KWA KUTUMIA SOKA
Timu ya taifa ya Romania imekuja na wazo la kuwasaidia watoto wa nchi hiyo kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye somo la Hesabu baada ya kuchapisha jezi zilizobeba maswali ya hesabu mgongoni wakati...
View ArticleKOCHA WA ZANZIBAR HEROES AUTAKA URAIS WA ZFA
Salum Bausi-Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Salum Bausi ndoto zake...
View Article