Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wachezaji wa Real Madrid wamempania Gerard Pique

Huyu jamaa ni maarufu sana kwa kuwadhihaki wachezaji wa Real Madrid pale ambapo watakapo fanya vibaya kwenye kitu chochote hasa cha kuhusu soka. Gazeti la Marca limetoa taarifa kwamba Pique ni moja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

El Clasico: Zidane vs Enrique – kuanzia enzi za uchezaji mpaka ukocha. Nani...

Mchezo wa El Clasico unaotarajiwa kupigwa dakika chache kutoka sasa una vivutio vingi lakini moja kikubwa ni mchezo wa kwanza unaowakutanisha makocha Luis Enrique vs Zinedine Zidane.    Wakati makocha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAOKAMATWA NA HATIA YA UPANGAJI MATOKEO, ADHABU YAO HII HAPA…

Ile hukumu iliyokuea inasubiriwa kwa hamu na wadau wa soka nchini, inayohusu upangaji wa matokeo wa ligi daraja la kwanza katika kundi C tayari imeshakamilika. Mapema hii leo www.shaffihdauda.com...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOHAMED ELNENY AWEKA REKODI EPL 2015-16

Mohamed Elneny ameweka rekodi mpya kwenye Premier League wakati Arsenal ikicheza mchezo wa ligi dhidi ya Watford siku ya Jumamosi. Wakati mashabiki wengi wa soka wakiamini Leicester au Tottenham...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GOLI LA KANE DHIDI YA LIVERPOOL LAMPA REKODI MPYA NDANI YA SPURS

Baada ya kupiga bao wakai England ikitoka nyuma na kuchapa Ujerumani kwa bao 3-2 wiki iliyopita, Kane amerudia mambo kama hayo wakati Spura ikichuana na Liverpool kwenye uwanja wa Anfield. Ikiwa ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA EL CLASICO HII NDIYO IMEKUWA PICHA MAARUFU DUNIANI

Muda mfupi baada ya filimbi ya mwisho kupulizwa kwenye uwanja wa Nou Camp, hiyo picha Ilianza kusambazwa kwa kasi na ma-star wa Real Madrid pamoja na clab kwa ujumla ikionesha wachezaji wakiwa pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya ndiyo maamuzi ya TFF kuhusu timu za ligi daraja la kwanza.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Kamati yake ya Nidhamu hatimaye imemaliza kesi iliyochukua takribani wiki tatu kusaka maamuzi ya madai ya mechi za ligi daraja la kwanza baada ya , kuzishusha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Borussia Dortmund wamekaza kwenye mbio za ubingwa.

Kosa la kupoteza mchezo wowote kwa Borussia au Bayern Munich itakua advantage kubwa kwa timu moja wapo kati ya hizi mbili. Hadi sasa hivi kuna tofauti kati ya point 5 kati yao na wote wana uwezo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu ndiye mkali wa assist kwenye Bundesliga…anaitaka Arsenal.

Kuna uwezekanao mkubwa baadhi ya wachezaji wa Borussia wakaenda Liverpool kipindi cha usajili kikifika kwasababu ya ukaribu na kocha wao wa zamani Jurgen Klopp. Mmoja kati ya wachezaji ambao wanatajwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHABIKI ASIYEMKUBALI ARSENE WENGER AAMUA KUJICHORA TATTOO KUFIKISHA UJUMBE...

Shabiki mmoja wa Arsenal aliahidi kwamba, endapo Jamie Vardy atafunga goli kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Ujerumani basi atajichora tattoo ya Arsene Wenger. Nyota wa Leicester City...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAULI YA KANU KULIKOSOA SHIRIKISHO LA SOKA LA NIGERIA NI SOMO KWA TFF

Nohodha wa zamani wa kikosi cha Super Eagles Nwankwo Kanu amekosoa uongozi wa Shirikisho la mpira wa Miguu Nigeria (NFF) kwa kusema umechangia kwa kiasi kikubwa kwa timu yao ya taifa kushindwa kufuzu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTANA NA MAMBO 7 USIYOYAJUA KUHUSU REAL MADRID

Jumamosi ya April 2, 2016 kulikuwa na mchezo mkubwa wa ligi ya Hispania kati ya Barcelona dhidi ya Real Madrid uliochezwa kwenye uwanja wa Capm Nou na kuishuhudia Madrid ikiituliza Barcelona kwa bao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO 3 AMBAYO NILIYAONA KWENYE EL CLASICO

Na Athumani Adam Hatimaye Jumamosi tulishuhudia Real Madrid ikiibuka na ushindi ugenini dhidi ya wapinzani wao wakubwa, FC Barcelona kwenye pambano la El Classico ligi kuu ya Hispania maarufu kama La...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AL AHLY-‘TIMU BORA YA KARNE’ INAYOCHEZA MABINGWA AFRIKA KWA MARA YA 13 MFULULIZO

Na Baraka Mbolembole Al Ahly Sporting Club au ‘Klabu bora ya karne’ ni mabingwa mara nane wa taji la ligi ya mabingwa Afrika (idadi ambayo ni rekodi isiyofikiwa na timu nyingine yeyote.) Taji lao la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF IMEJICHANGANYA KATIKA SAKATA LA RUSHWA/UPANGAJI MATOKEO, NI ‘KITUKO CHA...

Na Baraka Mbolembole ‘Jambo moja katika mambo yasiyo na maana ni kutangaza habari ya kosa la mtu mdogo kwa sababu tendo lake ni kama tendo la mwendawazimu ambalo wenye akili timamu hawawezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAREMBO WAMEULIZWA WANGEPENDA KUOLEWA, KU-KISS AU KUMPIGA CHINI NANI KUTOKA...

Mtandao wa michezo wa TalkSport ume-post video baada ya kufanya mahojiano na baadhi ya ‘warembo’ kitaani na kuwauliza maswali kadhaa kuhusu safu hatari ya ushambuliaji ya Barcelona inayoundwa na Leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILIONEA AL FAHIM AWA MWENYEKITI MTENDAJI WA KLABU YA VPL

Na Mwandishi wetu Mfanyabiashara maarufu wa kiarabu Dk Sulaiman Al-Fahim ametangazwa kuwa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon ambayo itashiriki ligi kuu ya Tanzania Bara msimu ujao. Mmiliki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DONE DEAL: CHELSEA IMEMTANGAZA RASMI MRITHI WA JOSE MOURINHO, AMESAINI...

Chelsea imetangaza rasmi kwamba Antonio Conte ni kocha mpya wa klabu hiyo atakaeanza kuliongoza benchi la ufundi la The Blues mara baada ya kumalizika kwa michuano ya Euro huko nchini Ufaransa. Tarifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Champions League: Sababu 5 Kwanini Madrid wanaamini wanaweza kutwaa ‘Le...

Usiku wa mabingwa wa ulaya unarejea tena wiki hii, Real Madrid wakitoka kupata ushindi katika El Clasico wataingia uwanjani kutafuta nafasi ya kwenda nusu fainali kwa kucheza vs Wolfsburg.   Sergio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UGANDA KUTUMIA KIFO CHA DHAIRA KUFUZU AFCON 2017

Wachezaji na viongozi wa timu ya taifa ya Uganda wanataka kumuenzi golikipa wao Dhaira kwa kuhakikisha wanafuzu kwenye fainali za Africa Cup of Nations mwaka 2017 ambazo zitafanyika Gabon. Shughuli za...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>