NDANI YA NOU CAMP: KOCHA WA ATLETICO MADRID AMEONESHA UBORA WAKE WA KUMILIKI...
Wakati Atletico Madrid akijiandaa kwa mchezo wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Barcelona, kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone ameonesha uwezo wake wa kusakata kambumbu...
View ArticleRIO FERDINAND AMESAFIRI HADI HISPANIA KUMUULIZA PIQUE NANI BORA KATI YA MESSI...
Gerard Pique ni miongoni mwa wachezaji wenye mapenzi ya kupindukia kwa klabu ya Barcelona, alikutana na mchezaji mwenzake wa zamani wa Manchester United Rio Ferdinand na kufanya interview kuhusu mambo...
View ArticleKWA NINI UNAJIANDAA KUISHANGILIA AL AHLY DHIDI YA YANGA?
Na Baraka Mbolembole Wakati TP Mazembe ya DR Congo ilipokuja Tanzania kucheza na Simba SC katika gemu ya marejeano ya ligi ya mabingwa Afrika, April, 2011 mashabiki wengi wa timu hasimu na Simba,...
View ArticleChampions League: Miaka miwili baada ya goli la Koke, hatma ya Barca kutetea...
Huyu tayari ni legend wa Atletico Madrid. Akiwa na miaka 24 tu, Koke tayari ameshacheza michezo 250 akiwa na klabu hiyo ya Jiji la Madrid. Koke alianza kuitumikia Atletico akiwa mdogo kabisa na ngazi...
View ArticleSABABU 3 ZA ATLETICO MADRID KUICHAPA BARCELONA KWENYE ROBO FAINALI YA...
Ni siku 21 zimepita tangu timu zinazoshiriki michuano ya Champions League zilipocheza michezo yao ya mwisho ya hatua ya 16 bora, lakini Jumanne hii na Jumatano zitashuhudiwa timu 8 zilizofuzu hatua ya...
View ArticleINAWEZEKANA HUKUONA RAMOS NA CASEMIRO WALIVYOITULIZA MSN, ANGALIA VIDEO HII…
Kufuatia ushindi wa magoli 2-1 walioupata Real Madrid dhidi ya Barcelona, Spanish TV iliwaangazia Sergio Ramos na Casemiro namna walivyoizimisha MSN ya Barcelona kwenye mchezo wa El Clasico. Baadaye...
View ArticleUCL: Wolsfburg vs Madrid – Ronaldo anaiwinda rekodi mpya ya ufungaji ulaya
Real Madrid kwa mara nyingine tena watakuwa wanamuangalia mshambuliaji wao Cristiano Ronaldo wakati watakaposafiri kwenda kupambana na Wolfsburg katika robo fainali ya michuano ya kombe la...
View ArticleSAVIO BINGWA BASKETBALL DAR
Wachezaji wa timu ya basketball ya Savio kutoka Don Bosco Youth Center wakisherekea ubingwa wa mkoa wa Dar es Salaam baada ya kuifunga Vijana City Bulls kwa jumla ya vikapu 66-59Timu ya mpira wa kikapu...
View ArticleJOL: TUSHAWASOMA YANGA, WAJE TU
Kocha mkuu wa Al Ahly Martin Jol (katikti) akiingia kwenye basi kuelekea hotelini mara baada ya kushuka uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es Salaam Wapinzani wa Yanga Al Ahly wamewasili leo...
View ArticleLEICESTER CITY WANATEMBEA NA MOYO WA SIR ALEX FERGUSON
Na Dastan Nehemia Ilikuwa ni kawaida enzi za Sir Alex Ferguson akiwa anaifundisha Manchester United kushuhudia akishinda mataji kwa kutumia wachezaji wenye thamani ndogo sokoni hata wengine kuwa na...
View ArticleSAMATTA ATUMIKE KAMA DARAJA KWA WACHEZJI NA VILABU NCHINI
Na Dastan Nehemia Usajili wa Mbwana Samatta kutoka TP Mazembe kwenda KRC Genk ya Ubeligiji ni hatua nzuri kwa wachezaji chipukizi wa Tanzania na vilabu vya soka kutumia usajili huu wa Samatta kama...
View ArticleChampions League: Luis Enrique 7-0 Diego Simeone
Tangu kuwasili kwa Diego Simeone, Atletico Madrid wamekuwa moja ya vilabu tishio Spain na bara la ulaya nzima. Los Rojiblancos walishinda ubingwa wa La Liga msimu wa 2013/14 baada ya sare katika dimba...
View ArticlePSG VS MAN CITY: PSG WATAENDELEZA UBABE KWA VILABU VYA EPL?
Vilabu tajiri zaidi duniani vinakutana leo usiku kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya klabu bingwa barani Ulaya, kitu cha kuvutia ni kwamba vilabu vyote hivi vinahitaji kufuzu ili kuingia hatua...
View ArticleNDANDA YAPELEKA SHANGWE MSIMBAZI NA JANGWANI
Ndanda FC ya mkoani Mtwara imeikazia Azam FC na kuilazimisha sare ya kufungana magoli 2-2 kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara uliosukumwa kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Azam...
View ArticleMAN CITY YAIKOMALIA PSG KWAO (Video)
Goli la kusawazisha lililofungwa na Manchester City limewasaidia matajiri wa England kulazimisha sare ya kufungana magoli 2-2 dhidi ya Paris St-Germain kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali...
View ArticleMADRID YADUWAZWA UJERUMANI (Video)
Wolfsburg imeishangaza Real Madrd baada ya kuicharaza kwa mabao 2-0 kwenye mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa barani Ulaya ikiwa ni hatua ya robo fainali. Wenyeji hao walipewa penati iliyozua utata...
View Article#Uefalona: Je Barca Hupendelewa Na Waamuzi? Huu Hapa Uchambuzi Wa Kina Juu Ya...
Beki wa Atletico Madrid Filipe Luis ameituhumu UEFA kuilinda Barcelona baada ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya mabingwa wa ulaya ambao walifungwa katika dimba la Nou Camp na pia...
View ArticleNNAUYE: KWANINI TUNAADHIBU MKOA MZIMA KWA KWA UPUUZI WA WACHACHE? (Audio)
Nape Nnauye-Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye amesema ataipitia ripoti ya hukumu iliyotolewa kwa waliokutwa na hatia kwenye...
View ArticleNSAJIGWA: YANGA WASIKUBALI KUINGIA KATIKA ‘MTEGO’ HUU, ILI KUSONGA MBELE AL...
Na Baraka Mbolembole Kuelekea mchezo wa Jumamosi hii kati ya mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga SC dhidi ya Al Ahly ya Misri, nahodha wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania...
View Article‘SIMBA SC HAIUNGI MKONO RUSHWA/UPANGAJI WA MATOKEO, YAITAKA TAKUKURU KUPIGA...
Haji Manara-Afisa habari Simba SC Na Baraka Mbolembole Mkuu wa kitengo cha habari wa klabu ya Simba SC, Hajji Manara ameiomba Taasisi ya Kupambana na Kuzia Rushwa nchini-TAKUKURU kuweka kambi na...
View Article