DORTMUND VS LIVERPOOL: KLOPP ATAWEZA KUTEGUA BOMU ALILOLITEGA MWENYEWE?
Pambano kali linasubiriwa pale Ujerumani kwenye uwanja wa Signal Iduna Park usiku wa leo kati ya miamba ya soka la Ujerumani Borussia Dortmund dhidi ya Liverpool ikiwa ni mchezo wa kwanza wa hatua ya...
View Article‘KIGOGO’ TFF AKIMBILIA MAHAKAMANI KULISHTAKI GAZETI LILILOMTAJA KWENYE...
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine ameanza taratibu za kulifikisha mahakamani gazeti la kila siku la Tanzania Daima ikiwa ni pamoja na wamiliki na wachapaji...
View ArticleTFF KUWAWEKA KIKAANGONI WATUMISHI WAKE
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesikitishwa na taarifa zilizosambaa katika mitandao kuanzia jana zikiwahusisha viongozi wa timu moja ya daraja la kwanza na baadhi ya watumishi wa TFF....
View ArticleTFF YASIMAMISHA MTUHUMIWA WA UPANGAJI MATOKEO
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine amemsimamisha Juma Matandika kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma zinazohusiana na hadhi za wachezaji (players status). Hatua...
View ArticleJUMA MGUNDA: UBAGUZI UAUA SOKA LA TANGA
Matokeo mabovu yanayoziandama timu za mkoa wa Tanga yamezidi kuwaweka njia panda wadau wa soka huku wakiwa hawana matumaini ya kuona ligi kuu ya Tanzania hapo mwakani msimu ujao. Timu 3 za Tanga,...
View ArticleLIVERPOOL YAIKOMALIA DORTMUND UGENINI (Video)
Divock Origi ameipa Liverpool goli muhimu la ugenini kwenye mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya Europa League dhidi ya Borussia Dortmund mchezo ambao umemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya...
View ArticleItawabidi Real Madrid Kuuondoa Mkosi Wa Miaka 29 Ili Kufuzu Nusu Fainali Ulaya
Kipigo cha kushtua kutoka Wolfsburg kilifikisha tamati rekodi ya Madrid kutopoteza mechi hata moja katika michuano ya ulaya msimu huu, na itawabidi wacheze na kufanikiwa kulipa deni la 2-0 kwa mara...
View ArticleHAYA NDIYO MAAMUZI YA MGODI WA GEITA BAADA YA GEITA GOLD SPORTS KUJIHUSISHA...
Mgodi wa dhahabu wa Geita ambao ndiyo wadhamini wakuu wa Geita Gold Sports umesitisha udhamini wake kwa muda kwa klabu hiyo inayotuhumiwa kupanga matokeo ya ligi daraja la kwanza. Msemaji wa mgoni huo...
View ArticleKABLA YA KUWAKABILI WAARABU, MINGANGE AZIPA DARASA LA BURE YANGA NA AZAM
Meja mstaafu Abdul Mingange-Kocha Ndanda FC Wawakilishi wa tanzania katika michuano ya kimataifa Young Africans pamoja na Azam FC wametakiwa kujituma na kujitolea kwa asilimia 100 katika michezo yao...
View ArticleSALEH ALLY: KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WATUHUMIWA WA RUSHWA TFF NDIYO MAPINDUZI...
Saleh Ally-Mhariri kiongozi gazeti la Champion Mhariri kiongozi wa gazeti la michezo la Champion Saleh Ally na mmiliki wa blog ya habari za michezo inayofahamika kwa jina la salehjembe amesisitiza...
View ArticleRAIS WA TFF, JAMAL MALINZI, UKO MADARAKANI HADI SASA KWA USAFI UPI?
Jamal Malinzi, Rais wa TFF Na Martin M. M Kuweka kumbukumbu sawa, TFF ni kifupi cha maneno, Tanzania Football Federation (shirikisho la mpira wa miguu Tanzania), baada ya hapo tunaweza kuanza kujadili...
View ArticleLa Liga: Barca watahitaji kuiondoa ‘laana’ ya Uwanja wa Anoeta ili kuifunga...
FC Barcelona Jumamosi ya kesho watasafiri kutoka kwao kwenda mpaka kwenye uwanja ambao wamekuwa wakipata matokeo yasiyoridhisha katika miaka ya hivi karibuni. Katika mechi 5 zilizopita ambazo Barca...
View ArticleHIKI KIFAA CHA KITURUKI NA RONALDO VIPII? (Video & Picha)
Model wa Uturuki Cansu Taskin amejitokeza kwenye television ya nchini kwao wiki ili kujadili uhusiano wake na star wa Real Madrid Cristiano Ronaldo. Kwa mujibu wa Cansu Taskin, huwa anawasiliana kila...
View ArticleSHABIKI WA ARSENAL AFANYA KUFURU KWENYE HARUSI YAKE
Ushabiki wa soka umewafanya watu wafanye mambo mengi ambayo yamewashangaza na kuwashtua wengi, kuna ambao wanafikia hata kukatisha maisha yao kwasababu timu zao zinapata matokeo mabaya. Kuna wengine...
View ArticleKANU: VIJANA NI MTAJI WA MAFANIKIO YA SOKA LA KESHO
Usiku wa April 8, 2016 Star Times iliwakutanisha wadau wa soka Tanzania na Nwankwo Kanu mkali wa zamani wa Arsenal, Inter Milan, Ajax na timu ya taifa ya Nigeria The Super Eagles kujadili masuala...
View ArticleMASHABIKI AL AHLY WAVAMIA TAIFA, WAPIGA MWANDISHI
MASHABIKI wa Al Ahly jioni hii wamevamia Uwanja wa Taifa ambako timu yao ilikuwa ikifanya mazoezi na baadaye kumpiga mpiga picha wa kituo kimoja cha habari. Tukio hilo limetokea jioni hii wakati Al...
View ArticleJOL: KILA TUNAPOPITA TUNAONYESHWA TATU, TUMEJIANDAA
Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri ambayo kesho itashuka kwenye uwanjani kuumana na wenyeji wao Yanga Martin Jol ametoa kali akisema kila anapopita wanaonyeshwa wanapigwa tatu ishara ambayo itabidi...
View ArticleMourinho azungumzia ajira mpya – viashiria vinaonyesha Old Trafford ndio...
Huku tetesi za kujiunga kwake na Manchester United zikiwa zimeshika hatamu, leo kocha wa kireno Jose Mourinho amefanya mahojiano yaliyochapishwa na gazeti la Ureno O Jogo. Kocha huyo wa zamani wa...
View ArticleSAMATTA AONESHA THAMANI YA NAMBA 77 (Video)
Mbwana Samatta ameendelea kufanya vyema akiwa na klabu ya Genk baada ya kutupia kambani bao moja wakati timu yake ikiiua Oostende kwa magoli 4-0. Samatta aliingia uwanjani dakika ya 77 kisha kupachika...
View ArticleVAN PLUIJM: ‘CHA KWANZA NI KUFUNGA, CHA PILI, HAWATAKIWI KUPATA GOLI, MAMBO...
Hans van der Pluijm, kocha mkuu Yanga SC Na Baraka Mbolembole “Tumejiandaa ipasavyo kwa wiki nzima na kila mchezaji yuko katika hali nzuri ya kukabiliana na Al Ahly. Ni timu ambayo ni imara na ni...
View Article